Nimekosea wapiUandishi bado ni tatizo
Kama wewe ni mkristo Kasome kitabu cha waamuzi kwenye Biblia utajua ukweli!!kifupi zamani Sana Mungu ndio alitawala wanadamu na kushusha jumbe na mwelekeo wa mataifa kupitia manabii Sasa wanadamu wakataka wawe na mfalme atakae waongoza !Ndipo wakamwambia samweli nabii kuhusu hilo!! Mungu akasema laana kuhusu ombi hilo ambalo hakupendezwa kuwa wafalme watatufanya watumwa SANA ndio hivyo Hadi leo!!!
ni vizuri kumuelewa binadamu mwenzio otherwise utajikuta used manipulated and even killedMambo ya binadamu waachie wenyewe.
Are you serious why need of controlling other personKwangu kutawala si tatizo ila tatizo ni huo utawala unatawala vipi..???
Kuna watu acha tu watawaliwe maana wakiwa hivihivi kitawaka hapata kalika acha watawalike kiimani, kiongozi na kiuchumi.
Kutawala au kutawaliwa kunategemea na uweza wa mtu katika nafasi husika kupo mahali patahitaji elimu fulani ili mtu atawale maana maarifa yake huenda ndio mwanga zaidi hapo lazima mtawalike otherwise mumzidi maarifa.. zipo sehemu nyengine hutumika ujanja ujanja na hii ndo ipo zaidi kwasasa haswa kwenye siasa na dini pia..
Coz hawana ufahamu wa kutosha.Are you serious why need of controlling other person
Je maeneo ambayo hayakuwa na manabii wa Mungu (mfano huku kwa wabantu na huko kusin mwa Africa, American,australia kabla ya ujio wa hiz din) walitawaliwa na nan?Kama wewe ni mkristo Kasome kitabu cha waamuzi kwenye Biblia utajua ukweli!!kifupi zamani Sana Mungu ndio alitawala wanadamu na kushusha jumbe na mwelekeo wa mataifa kupitia manabii Sasa wanadamu wakataka wawe na mfalme atakae waongoza !Ndipo wakamwambia samweli nabii kuhusu hilo!! Mungu akasema laana kuhusu ombi hilo ambalo hakupendezwa kuwa wafalme watatufanya watumwa SANA ndio hivyo Hadi leo!!!
What about kwenye uhusiano.why wanawake wengine wapo controlling na wengine hawapo controllingTumekubari kutawala kwasababu tumekubari kuwapa mamlaka na nguvu watu wachache (wenye nguvu na ushawishi au la) ili watuongoze kufikia malengo ambayo wengi tunayaitaji kufikia
NB: japo sio wote wanatusaidia kufikia malengo ya wengi
Nako ni Hvyo hvyo wamekubari kuwapa mamlaka na nguvu wenza wao wakiamin kuwa watawafikisha pale wanapoamin mahusiano yao yanatakiwa kufika. Na ndio maana wakigundua kuwa wanasalitiwa unaanza kuwaona kama vile wanakuwa na viburi vile sio viburi bali wamechukua zile nguvu na mamlaka waliokuwa wamewapa ili kuwaongoza kufikia target za mahusiano yenu.What about kwenye uhusiano.why wanawake wengine wapo controlling na wengine hawapo controlling
Unasikia mtu Anasema ngoja nimuombe Mume wangu ruhusa ,whyNako ni Hvyo hvyo wamekubari kuwapa mamlaka na nguvu wenza wao wakiamin kuwa watawafikisha pale wanapoamin mahusiano yao yanatakiwa kufika. Na ndio maana wakigundua kuwa wanasalitiwa unaanza kuwaona kama vile wanakuwa na viburi vile sio viburi bali wamechukua zile nguvu na mamlaka waliokuwa wamewapa ili kuwaongoza kufikia target za mahusiano yenu.
Ana amini yule ndio kiongozi wakeUnasikia mtu Anasema ngoja nimuombe Mume wangu ruhusa ,why