Yanayomkuta Carol Ndosi ni ushahidi mwingine kuwa hakuna aliye salama dhidi ya ukatili wa Polisi

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,493
86,007
Siandiki haya kwa ushabiki au kwa kufurahia ila naandika ili niwakumbushe kuwa ukatili wa Polisi ukitamalaki basi hakuna aliye salama.

Kuna taarifa kuwa Da Carol Ndosi ameshikiliwa kituo Cha Polisi Oysterbay huku akinyanyaswa na "kushambuliwa" na Askari kwa kile kinachodaiwa na yeye mwenyewe kuwa "kurekodi" video ya ajali.

Carol Ndosi mara nyingi sio zote amekua against na Harakati zozote zile za kupinga haya yanayoendelea nchini, alifikia kipindi hata kudai kuwa Yeye na Polisi ni kitu kimoja.....Leo hii amewekwa Chini ya Ulinzi Tena Kwa vipigo huku akinyimwa dhamana Hadi muda huu.

Tunawataka Polisi Tanzania kumpa dhamana Carol kwa kosa lolote wanalomtuhumu nalo na pia IWE FUNDISHO kwa sisi tunaojiita CCM na Neutral kuwa Hatuko salama, tukemee na kuonya kwa maslahi mapana ya nchi na wananchi.



20220514_155534.jpg
 
First they came for the socialists, and I did not speak out—because I was not a socialist.

Then they came for the trade unionists, and I did not speak out— because I was not a trade unionist.

Then they came for the Jews, and I did not speak out—because I was not a Jew.

Then they came for me—and there was no one left to speak for me.

Ana bahati Bado Watetezi Wachache tupo
 
Ila sister nae mjuaji sana,ngoja ajifunze kitu..washapigana sana spana na mzee wa kudawnload pesa..(mzee wa forex) kule twitter.
 
Back
Top Bottom