Mkiachana unamuita takataka je, huyo Mwanamke aliyempenda na kumjali zaidi yako amuite nani?

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,372
Yes he broke your heart.

Naam yawezekana aliuchubua moyo wako ,mithili ya mchinjaji anayetayarisha nyama kwa ajili ya walaji wenye uchu.
Na yawezekana kwa sababu umeonesha kila dalili ya mfadhaiko na malalamiko chungu nzima juu ya kile unachokiita ufedhuli kama sio unyama wake dhidi yako.

Yes , he did hurt you, Si wasemaga hadi kwa marafikizo ya kwamba aliurarua moyo wako kama simba anavyomrarua swala aliyejiingiza katika mtego wa Laana. Yes he is a stinking piece of trash!, kama unavyonadi hadi kwa marafiki zake na wanafamilia wake,acha mitandao ya kijamii whatsApp status na InstaStory kumpiga vijembe ilhali wewe sio mtunzi hata wa mashahiri.

Taarabu hizi kipindi hiki zenye Readmore kwa captions huwa wazitoa wapi.!? Lakini si huyuhuyu unasema ulimuacha kwa kumfuma yuko na mwanamke mwingine? Ukaendelea kuutukuza na kuimba kila beti ya ule wimbo wenu pendwa wa wanaume wote ni MBWA au takataka si ni wewe huyo?

Yes, He fixed another girl's broken heart, na ukasema anamjali sana .mithili ya ndege na kindale, ukasema hata zawadi hujawahi kupata kama apatavyo huyu msichana mwingine.

Yes, He really loves her, kwa huyo bibie mwingine he is a precious piece of Treasure. So , if a man who broke your heart Is the same man who has fixed the other lady's broken heart, How we should call him?

Because you called him trash, na wajua ni mila na desturi yako kufanya hivyo kwa kila mwanaume aliyeuchinja na kuujeruhi moyo wako?

How should the other lady call him!?
 
FB_IMG_16490247998395985.jpg
 
Kupatwa kwa juaaa
 
😂😂😂👌👌👌✌✌ wape wape wapeeeeeeeeeeee3eeeeeee

afu nae dem anaambiwa hivo anafurahiii kuskia mwenzake anaitwa takataka unasahau ukimpa kisogo soon utaitwa majitaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom