mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mawematatu

    Diamond ana hekima Sana. Wengi hawamuelewi. Wakati mwingine hata chawa wake ndio wanamutungia maneno

    Mada inajieleza. Naseeb anaheshima Sana. Na kama unajua unapokuwa na heshima watu wanakuheshim naazia Kwa wema. Wema anavyoheshimiana na mond ni ishara ya kwanza, na anapozaa wanae na mwenza wake wanabaki kuheshimiana, juzi kati huyu binti ambaye amejaaliwa heshima na ni mpole (Jina ) alikuwa...
  2. MK254

    Putin hakujifunza baada ya kilichomkuta Ukraine, ameamsha ugomvi mwingine na Japan

    Baada ya vita vya pili vya dunia, Urusi na Japan hawakutia saini mkataba wa kumaliza vita, ina maana mpaka leo hayo mataifa mawili yako vitani licha ya kuishi kwa amani, wamekua wakiongea na kuelewana kimsingi na kwa namna ya kusaini mkataba. Sasa juzi Urusi imekwenda kuvamia nchi ya watu...
  3. C

    Jicho la Ujasusi la Tanzania linatakiwa kuwa macho sasa kuliko wakati mwingine wowote ule

    Habari wana JF Watanzania, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.. Nitajadili mambo makubwa mawili 1. Vita 'kamili' ya III ya dunia. 2. Namna Tz inavyofanyiwa ujasusi Hoja No. 1 Kwa wasiojua ni kwamba vita kamili ya 3 ya Dunia imekwisha kuanza. Pole kwa wale wanaosema kuna...
  4. Komeo Lachuma

    Rais wa Nchi unapokaa muda mrefu kwenye Nchi ya Mtu mwingine unadharaulika

    Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua. Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa...
  5. D

    Kuna faida gani ya furaha au huzuni yako kumfikia mtu mwingine asiyehusika?

    Natamani sana somo la ustaarabu lianze kufundishwa Shule za msingi huenda inaweza kusaidia! Natamani sana watu wajifunze kufurahi au kuhuzunika pasipo kuathiri wengine! Hapa ninamaanisha watu watambue umhimu wa kufanya mambo yao, ikabaki ya kwao pasipo kuathiri watu wengine bila sababu...
  6. JanguKamaJangu

    Bunge laulizwa alipo Job Ndugai, lasema halina taarifa alipo, inawezekana yupo jimboni kwake

    Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai. Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha...
  7. peno hasegawa

    Luhaga Mpina apinga majibu ya Serikali kuhusu kauli kuwa hawana taarifa ya agizo la Mahakama kuhusu kurudisha mifugo ya wafugaji

    Dodoma. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amepinga majibu ya Serikali kuhusu kauli kuwa hawana taarifa ya agizo la Mahakama kuhusu kurudisha mifugo ya wafugaji kama ilivyoamuliwa na mahakama. Mpina amesema inashangaza na kusikitisha kuona kuwa, Mahakama ilishamuru wafugaji warudishiwe mifugo yao...
  8. Equation x

    Ni muda gani, ambao ni sahihi, kwa mfiwa kuoa/kuolewa na mtu mwingine?

    Aliyefiwa na mke au mume; ni baada ya muda gani ndio anaruhusiwa kuoa/kuolewa? Maisha ya ndoa huwa ni matamu sana, hasa kwa wale wachache waliobahatisha kupata mtu sahihi. Inafikia kipindi, wanakuwa na mfanano fulani; unaweza kuwa wa sura, kuongea, au tabia. Inapotokea mmoja wapo anafariki...
  9. Kijakazi

    Rais Biden ajichanganya, amtaja Michelle Obama kama aliyekuwa "Vice President"

    Hizi ni zama za mitambo tu, hatuchekani kabisa hapo, Duh!
  10. Da Vinci XV

    Mkiachana unamuita takataka je, huyo Mwanamke aliyempenda na kumjali zaidi yako amuite nani?

    Yes he broke your heart. Naam yawezekana aliuchubua moyo wako ,mithili ya mchinjaji anayetayarisha nyama kwa ajili ya walaji wenye uchu. Na yawezekana kwa sababu umeonesha kila dalili ya mfadhaiko na malalamiko chungu nzima juu ya kile unachokiita ufedhuli kama sio unyama wake dhidi yako. Yes...
  11. royal tourtz

    Siku nikiwa na mwanamke mwingine ndio utajua tabia yangu, mke hakuongeza neno!

    Iko hivi nina rafiki yangu mmoja ambaye anaendesha magari daladala za hiace isela to magu. sasa kwa uzuri aliniambia mapema kuwa kuna dada kakosea namba kutoka segerema na anamchatisha sana hivyo hadi anaenda kupaki gari usiku bado mawasiliano yalikuwa ni moto sana. Jamaa alipofika kwake...
  12. MK254

    Video: Msiba Urusi, imepoteza kamanda mwingine kule Ukraine

    Haijatokea kwa muda mrefu kwa taifa kupoteza majenerali kama Urusi, ni hatari sana na hasara kubwa na aibu kuu....
  13. T

    Mambo gani umeyafanya au kuyapitia maishani mwako ambayo hutamani mwanao/mtu mwingine kuyapitia?

    Ahlan wa sahlan Ukiwa kama mwanadamu lazima kuna mambo mabaya umeyapitia katika maisha yako ambayo hutamani mwanadamu mwingine (mwanao,ndugu n.k) aje kuyajua na kuyapitia. Binafsi sitapenda mtu yeyote hususani wanangu aje kujua kuhusu Kamari (kubeti). Why? Ni ulevi ambao mtu akishauonja ni...
  14. Kamanda Asiyechoka

    Uonevu mwingine Jeshi la Polisi; Wafanyabiashara wasota mahabusu siku 563 na kuporwa mali zao

    Ni mwendelezo wa mateso kwa wananchi. ======= Hali ya hewa katika Jeshi la Polisi bado haijakaa sawa baada ya hivi karibuni kushutumiwa katika matukio kadhaa ambayo yanaonekana kuwa kinyume cha utaratibu wao, leo tena Machi 14, Gazeti la Mwananchi limeandika juu ya sakata jipya. Santus...
  15. YEHODAYA

    Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine

    Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine Jaji Tiganga alisimama kidete kama mhimili huru kusema Mbowe na wenzie wana kesi ya kujibu waanze kujitetea kutokana ushahidi uliopatikana Mhimili wa Serikali ukiwa huru ambao ndio washitaki...
  16. N

    Swali kwa wanaume: Hivi ukimwona au kusikia mkeo au girlfriend uliyempenda ana mtu mwingine na furaha unajisikiaje?

    Kanye West tangia ameachwa amechanganganyikiwa kabisa na juzi mahakama imempa ushindi kim kwa mama officially yupo single . Kanye anatishia kumuua huyo boyfriend wa Kim . Je. wewe unaweza tishia?
  17. N

    Hivi kwanini Sisi binadamu tunakubali kutawaliwa (to be controlled) na binadamu mwingine?

    Hivi kwanini Sisi binadamu tunakubali kutawaliwa (to be controlled) na binadamu mwingine -- Mfano wanasiasa, relationships, lazima mtu awe juu yetu
  18. GENTAMYCINE

    Je, na Rais Hayati Magufuli nae angestaafu angekuwa anaenda Bunju kwa 'Helicopter' kuiangalia Simba kama afanyavyo mwingine huko Kigamboni kwa Yanga?

    Ni matumaini yangu Makubwa kuwa hizo Helicopter huwa zinakuwa Salama na zinafanyiwa Matengenezo makubwa kwani kwa mwaka huu Watanzania hatuhitaji Kuomboleza tena. Halafu wala msihangaike kwenda huko Avic Town Kigamboni ilipo Yanga SC Kisirisiri kwani wengine tunawajua hata mlivyokuwa Uongozini...
  19. Kamanda Asiyechoka

    Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

    Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama. Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni. Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
  20. M

    Madaraka ni DHAMANA. Wanaomuonea Mbowe watapukutika mmoja baada ya Mwingine

    Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi sana. Mengi sana dhidi ya wenye madaraka wanaobambikia watu kesi za ajabu ajabu hasa za kisiasa. Ingawa watu wanaonewa kila kona, wanauwawa bila hatia na polisi kwa mfano kule Mtwara, kijana asiyekuwa na hatia kauwawa sababu ya dhulma. WAALIFU Kama Urio, na...
Back
Top Bottom