mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna timu bila mchezaji wa upande mwingine kutolewa kwa kadi nyekundu akuna ushindi

    Hizi kadi nyekundu zimewanufaisha Sana mikia na kuvuna point 3 muhimu, mechi ya Dodoma jiji, mechi ya leo na polisi, pia mechi ya fainali kombe la shirikisho kigoma dhidi ya yanga, bila hizo kadi awa mabwana wangeondoka patupu kwenye izo mechi, kadi nyekundu zimekuwa mkombozi wao kwa sasa!
  2. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Nani mwingine akimuona Polepole anamuona Nyerere?

    Hakika kila nikimtazama kijana huyu Comrade Polepole nauona uongozi wa aina ya Nyerere. Nchi inatakiwa iilinde hii hazina huyu ni Nyerere aliyezaliwa upya. Kiboko ya mabeberu na mabwanyenye. Wametumwa kina le mutuz na steve nyerere kumchafua wameishia kuonekana vituko, chuma kinaendelea kutema...
  3. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Badala ya kuhangaika kunishukuru, kafanye nilivyokufanyia kwa mwingine mbele ya safari na siku zote

    Tabia mbaya ya wengi wa madereva Bongo, hasa Dar es Salaam ni kutokuruhusu madereva wengine kuingia barabara kuu ingawaje sheria inawapa wao maamuzi hayo. Lakini, kuna wakati mwingine nao utaka kuingia njia kuu. Yawezekana hawa ndio wanaolazimisha. Na inawezekana wanabania wengine kulipiza...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi Wakenya tutazuiwa riadha, haya Mkenya mwingine avunja rekodi

    Jameni tuanze kuachia achia, ila hamna mwendo huo huo mbele kwa mbele. Kenya's Angela Tanui celebrates her victory at Xiamen Marathon on April 11, 2021 Kenya's Angela Tanui has broken the course record to win the Amsterdam Marathon, Netherlands. She clocked in at 2 hours 17 minutes 57...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna wakati mwingine wowote zaidi ya sasa wapinzani kuchukua nchi kama kungekuwa na wapinzani wa kweli

    Kama tungebahatika hata kupata chama kimoja tu kinachojiendesha kitaasisi hapa Tanzania, 2025 tunge zungumza mengine, maana kilamtu leo anajua kuwa CCM inakuna nazi. Lakini lolote linaweza tokea kwani mama tayari amesema kunavijicho choko ndani tena vinapitia kwenye vijigazeti vya Uhuru.
  6. BAK

    JamiiForums Tanzania Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo. Hayo ndio yalikua matarajio...
  7. Ruyama

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kutatua matatizo bila kumshirikisha mtu?

    Nina tatizo la kifamilia kila nikiwaza nimshirikishe rafiki yangu wa karibu nina sita wazazi wamesha solve lakini bado mwanamke anarudia rudia kutojirekebisha. Yaani nina mawazo mno sijui nifanyeje ili niwe poa watoto tunao nawaza kuachana lakini naumia nikikumbuka watoto WHAT CAN I DO yaani...
  8. Lameckjr

    JamiiForums Tanzania Nani mwingine katumiwa email na FUNDSFORAFRICA

    Wakuuu Mambo vipi tena kwenu mimi Mtumishi wa Mungu, Naulizia hivi nani Mwingine katumiwa hii email ya fundsforafrica waliiiona Tangazo Mimi nimetumiwa lakini siielewi elewi Kwenye zile nafasi za procurement na field officer
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

    Habarini ndugu zangu polen na majukumu ya kila siku, nimekuja mbele yenu kama kijana mwenye shida ya kiushauri na mawazo ili nipanue akili na niwe na uwezo mkubwa wa kuchukus maamuzi sahihi kutokana na mawazo yenu na mawazo yangu kwa pamoja. Mimi ni kijana na nipo kakika mahusiano ya na...
Back
Top Bottom