daza steven
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 359
- 357
Huo ulikuwa utabiri wa mke wa mzungu ambaye ni tajiri mkubwa dunia mama Melinda Getes ambapo utabiri wake ulipaliliwa na shirika la afya duniani WHO.
Utabiri huo haukuishia hapo ulikwenda mbali zaidi kwa kusema kuwa ugonjwa wa Korona utaipiga Afrika barabara yaani thelusi 3 ya watu weusi Afrika watakuwa wamefarika dunia kufikia mwishoni mwa mwezi wa 5, Afrika itakuwa imekwisha
Hawa ni watabiri wa kizungu ambao hawajawai kuitakia mema Afrika hata siku moja yaani tangia utumwa hadi ukoloni na leo ukoloni mamboleo ndiyo mjie nduguzangu
Hebu tuangalie takwimu za dunia za maabukizi na vifo hadi sasa
Sasa chukua 5,900,000 - 125,000 = 5,775,000 haya ni maambukizi nje ya Afrika. Vifo 360,000 - 3000 = 357,000 hivi ni vifo nje ya bara la Afrika hii ni sawa na 0.1% iweje maiti zizagae washindwe.
Laanah turwalaa.

- Watu walio ambukizwa duniani kote hadi sasa ni (5,900,000) milioni tano na laki tisa dunia nzima. Watu waliofarika dunia ni (360000) lakitatu na sitini duniani.
- Marekani pekee ambapo anatokea mtabiri mama Melinda maambukizi ni (1,900.000) Milioni moja na laki tisa na vifo vinazidi (100,000)
- Kule kwa Marikia Eliza Uingereza maambukizi ni 270,000 na vifo ni 37,000
- Ispania maambukizi ni 280000 na vifo ni 27,000
- France maambukizi ni 186,000 na vifo ni 28,662