Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,746
Wakuu

Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa, ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja.

Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba.

Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu.

Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
 
Wakuu
Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa,ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja.

Hv mama yako angetoa mimba ww ungekuwepo....embu acheni kuhalalisha utoaji mimba(uuaji)....hv kesho mbele ya MUNGU atajibu nn ajiulize hapa kwanza
 
Shemeji yangu aliachiwa mke wa rafiki yake awe anamsaidia wakati mume amekwenda kusoma Ulaya. Yule mama alikua na kila kitu ila hakujua kuendesha gari. Kila Jumamosi shemeji alimpleleka shopping.

Kutahamaki shemeji anamimba, nyumbani house girl ana mimba na mkewe ana mimba.

House girl alifukuzwa kazi na mke, alikomaa ofisini kwa jamaa akimwambia harudi kwao kwani alitoka kwao akiwa bikra. Ilibidi jamaa atafute chumba.
 
Wakuu
Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa,ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja.
Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba.
Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu.
Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
Jamaa anafeli wapi? Ampe mimba na hausigeli wa mchepuko na hausigeli wa nyumbani kwake ili akili imkae sawa.
 
Shemeji yangu aliachiwa mke wa rafiki yake awe anamsaidia wakati mume amekwenda kusoma Ulaya. Yule mama alikua na kila kitu ila hakujua kuendesha gari. Kila Jumamosi shemeji alimpleleka shopping.

Kutahamaki shemeji anamimba, nyumbani house girl ana mimba na mkewe ana mimba.

House girl alifukuzwa kazi na mke, alikomaa ofisini kwa jamaa akimwambia harudi kwao kwani alitoka kwao akiwa bikra. Ilibidi jamaa atafute chumba.
Tumewaza sawa
 
Mimi 2019 niligombana na wife nikajitenga kdg huko nikatembeza mashine na kujikuta nina mimba tano tofaut nimetegeshewa wote kumbe wanalia gape ile nafasi ya wife
Ghafla wife nae akanambia ana mimba nilichoka

Atlast nilitoa tatu(Mungu anisamehe) wawili wakagoma katakata

Nikarudiana na wife akazaa nikamweleza kuhusu mimba hizo mbili akaelewa life likasonga

Wale madem walioamua kuzaa walijua me na wife over walichoka wakabaki kutishia kumwambia bila kujua anajua tayali

Walitarajia kupata matumizi makubwa nimefata walaka wa serikali namna ya kuhudumia mtoto wa nje wamechoka akili
 
Si angemrudishia house girl bikra yake?
 
Eeh sasa hawa ndio vidume tunaohitaji. Wanawake wanataka mimba jamani sasa shida iko wapi tuwape tuu ila walee wenyewe
 
Mimi 2019 niligombana na wife nikajitenga kdg huko nikatembeza mashine na kujikuta nina mimba tano tofaut nimetegeshewa wote kumbe wanalia gape ile nafasi ya wife
Ghafla wife nae akanambia ana mimba nilichoka
Atlast nilitoa tatu(Mungu anisamehe) wawili wakagoma katakata
Nikarudiana na wife akazaa nikamweleza kuhusu mimba hizo mbili akaelewa life likasonga
Wale madem walioamua kuzaa walijua me na wife over walichoka wakabaki kutishia kumwambia bila kujua anajua tayali
Walitarajia kupata matumizi makubwa nimefata walaka wa serikali namna ya kuhudumia mtoto wa nje wamechoka akili
Yaani hawa wanawake bwana sijui bado hawaelewi kuwa kugegedana kavu haimanishi nataka mtoto nachotaka ni utamu orijino
 
Mimi 2019 niligombana na wife nikajitenga kdg huko nikatembeza mashine na kujikuta nina mimba tano tofaut nimetegeshewa wote kumbe wanalia gape ile nafasi ya wife
Ghafla wife nae akanambia ana mimba nilichoka
Atlast nilitoa tatu(Mungu anisamehe) wawili wakagoma katakata
Nikarudiana na wife akazaa nikamweleza kuhusu mimba hizo mbili akaelewa life likasonga
Wale madem walioamua kuzaa walijua me na wife over walichoka wakabaki kutishia kumwambia bila kujua anajua tayali
Walitarajia kupata matumizi makubwa nimefata walaka wa serikali namna ya kuhudumia mtoto wa nje wamechoka akili
Dah kweli uzinzi ni mzigo mazee🤔🤔🤔
Ukae ukijua tukifa tunaenda kuzaliwa tena sayari nyingine kama ulikuwa mwanaume duniani unaenda kuzaliwa mwanamke and viceversa,
So tegemea hicho ulichowafanyia hao wanawake unaenda kufanyiwa the same thing, tena na wanaume tofauti hadi karma iishe 😠😇😇
 
Back
Top Bottom