Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeibuka usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Mei 23, 2020, katika Kisiwa cha Kome eneo la Mchangani, halmashauri ya Buchosa, Sengerema, mkoani Mwanza na kuteketeza vibanda vingi vya wafanyabiashara pamoja na mali zilizokuwemo kwenye vibanda hivyo...