mwanza

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hivi gari za kutoka Mwanza kwenda Mbeya zinafika saa ngapi Mbeya

    Nauliza basi za Mwanza kwenda Mbeya zinafika huku saa ngapi na huwa zinalala njiani au ni moja kwa moja? Ikiwezekana nipatieni na mawasiliano yao hapo Mwanza.
  2. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Sasa Mwanza tuigeuze ,,Egoli“ yetu!

    Mji wote wa Johannesburg nchini AK ulijengwa na dhahabu ya nchi hiyo, hivyo sasa tumeanza ukurasa mpya nimesikia makao makuu ya Kampuni yetu ya Dhahabu ya Twiga yatakuwa Mwanza City, hivyo hiyo ndiyo ,,Egoli“ yetu, kazi ni kwetu tu sasa, ... Egoli, AK, Mji wote wa Johannesburg ulijengwa na...
  3. Craig

    JamiiForums Tanzania Champion Investment matapeli Mwanza

    Habari za kazi wanajamvi. Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENT ipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria. Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini. Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada...
  4. James William

    JamiiForums Tanzania Jipatie dagaa safi wa Mwanza waliokaangwa

    Kwa wale wapenzi wa dagaa safi waliokaangwa kutoka Mwanza wakati ndo huu sasa wa kuchukua mzigo unaohitaji. Tunapima kulingana na mahitaji ya mteja na mzigo ambao mteja anauhitaji. Wanaohitaji mzigo mkubwa zaidi utahudumiwa, hata kwako wewe unayehitaji mzigo kidogo utapata kuanzia sh 1000 tu...
  5. Wangari Maathai

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa wa Mwanza

    Heri ya mwaka mpya. Ninauza dagaa wa Mwanza, ukitaka kuwa wakala nicheki tufanye biashara kwa bei nzuri sana na wale wanaoagiza gunia chache chek na mimi Natuma mikoa yote Tanzania Dagaa hawana mchanga kabisa, wapyaa. Mawasiliano: 0688 590080 Airtel 0626 740265 Halotel
  6. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Bil 3/- zatua Mwanza kulipa fidia ujenzi daraja Kigongo - Busisi

    JUMLA ya Sh bilioni 3.145 zimepokelewa mkoani Mwanza na Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kwa ajili ya kuwalipa fi dia wananchi. Watu hao ni watakaopisha ujenzi wa Daraja la Kisasa la Kigongo- Busisi lililopo Wilaya za Misungwi na Sengerema mkoani Mwanza. Hilo ndilo daraja...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Malipo ya maegesho ya magari jijini Mwanza sio haki

    Nimebahatika kutembelea jijini Mwanza mwisho wa mwaka huu na nimekutana na kitu cha ajabu ambacho sijawahi kukiona duniani kokote kuhusu jinsi ya kulipia maegesho ya gari. Mtu anakuja kuscan plate number yako bila hata wewe kujua, hivyo ni wajibu wako kujua hata kama ni mgeni kuwa unatakiwa...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Achanwa tumbo hadi kutolewa utumbo kwa kuhoji matumizi ya Tsh. 10,000 aliyoacha asubuhi

    Benedictor Gogogo (48) mkazi wa kijiji Cha Itabagumba Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza nchini Tanzania amenusurika kifo kwa kuchanwa tumbo na kitu chenye ncha kali hadi utumbo kutoka nje baada ya kutokea ugomvi kati yake na mke wake. Akizungumza na Mwananchi kwa simu leo Alhamisi Januari 2...
  9. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

    Wana MWANZA wamempokea Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa shangwe na kuweka historia kwenye mkoa huo kwa kuamua kukabidhi hadhi ya Chifu wa Wasukuma. Hakika huu ni msimamo wa kujivunia sana kwa wana MWANZA na inaonyesha kuwa sasa wameanza kujua mchele ni upi na chuya ni zipi kati ya CCM na CHADEMA...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Temesa yakanusha kuhusu magugumaji kuzuia vivuko kufanya kazi Mwanza

    TEMESA inapenda kukanusha uvumi unaoenea mitandaoni kupitia video pamoja na picha zikielezea kusimama kwa huduma za vivuko katika kivuko cha Kigongo Busisi mkoani Mwanza kutokana na kuwepo kwa magugu maji. Tukio la magugu maji lilitokea siku ya tarehe 24 Desemba 2019 na magugu maji hayo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kama una mzigo wowote unaitaji usafirishwe kutokea Dar na mikoa yote ya kati kwenda Mwanza wiki hii, pata msaada haraka

    Hello JF team, Kama una mzigo wowote unaitaji usafirishwe kwa gari aina ya Canter kutoka Dar, Moro, Dodoma, Singida, Shinyanga hadi Mwanza. Au kama unahitaji mzigo utoke kati ya mikoa hiyo na kwenda kati ya mikoa hiyo ndani ya wiki ya tarehe 30 hadi tarehe 5 January nitakusaidia. Nipigie simu...
  12. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kwa hili tukio polisi Mwanza wanapeleleza nini?

    Tukio lilitokea tarehe 26/10/2019. Watuhumiwa walikamatwa na kupelekwa ofisi ya kata ya Kahama Ilemela Mwanza. Watuhumiwa waliteswa na kupigwa na mwanajeshi akishirikana na Migambo wa mtendaji wa kata. Mtendaji wa kata alikuwepo na mwenyekiti alikuwepo. Wananchi walijazana hapo kwenye ofisi ya...
  13. F

    JamiiForums Tanzania X-Mass in pictures Moshi, Arusha, Dar, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Tabora, nk

    Heri ya Xmass wana JF! Karibuni tusherehekee xmass japo kwa picha. Share picha za shamra shamra za xmass hapa kutoka popote ulipo, pamoja wana JF.
  14. tereweni

    JamiiForums Tanzania Tsh 96 billion set to transform Mwanza Airport

    Good afternoon wadau After ujio wa Rais Magufuli Mwanza; government has embarked on a sh 96bn project for the expansion and upgrading of mwanza Aiport to international standards. Ukiangalia kwa haraka unaweza sema Mwanza wamechelewa mno kwenye kurekebisha miundombinu yake ili kuendana na kasi...
  15. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

    Ratiba hiyo inajieleza ===== Mwanza. Ndege mpya aina ya Bombardier Q-400 iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania imetua uwanja wa Mwanza nchini humo na kupokelewa na wananchi na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais John Mgufuli. Viongozi wengine waliohudhuria mapokezi ya ndege hiyo iliyotua...
  16. J

    JamiiForums Tanzania 40% ya wateja wa Shirika la Ndege ( ATCL) ni wakazi wa Jiji la Mwanza

    Hii taarifa inaonyesha jinsi jiji la Mwanza lilivyo na mchango mkubwa sana katika uchumi wa taifa. Ni wakati sasa wa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa zaidi katika jiji la Mwanza kwa faida kubwa ya taifa letu. Ni hayo machache. Maendeleo hayana vyama!
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kupanga ni kuchagua Moshi tulipokea treni, Mwanza wanapokea ndege na Unguja walipokea meli ya mafuta

    Yote hiyo ni katika kutekeleza ilani ya CCM. Kila mkoa na kila wilaya walau imebahatika kupata tukio moja kubwa la utekelezaji ilani ya CCM ambalo ni kumbukumbu nzuri. Sisi wakazi wa ubungi kwa mbunge Mnyika na meya Jacob tumebahatika kupata miradi mingi sana ikiwemo stand ya kimataifa ya...
  18. gango2

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

    Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia Rais Magufuli amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa). “Ndege yetu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CCM yakutana Mwanza: Yampongeza Rais Magufuli, Walio hama vyama vya Upinzani waongeza Ruzuku ya chama hadi Bil 13

    Kamati kuu ya CCM imekutana jijini Mwanza na kuongozwa na Mwenyekiti wake Dr Magufuli. Kamati kuu imempongeza Rais Magufuli na serikali yake kwa ujenzi wa miradi mikubwa inayoendelea nchini. Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kwa sasa hakuna kikwazo chochote kinachoweza kupunguza kasi ya...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kisesa, Mwanza

    Ninauza kiwanja Million 10 nafungua majadiliano kwenye bei. Kiwanja ni kikubwa kipo Kisesa eneo la Mwandulu. Urefu 42 na upana 36. Kiwanja ni changu kimepimwa, upimaji shirikishi. Kiwanja kimebakia katikati pekee, hakijajengwa majirani wote wamejenga tayari. Kwa maelezo zaidi namba yangu ni...
Back
Top Bottom