mwanza

  1. J

    JamiiForums Tanzania 40% ya wateja wa Shirika la Ndege ( ATCL) ni wakazi wa Jiji la Mwanza

    Hii taarifa inaonyesha jinsi jiji la Mwanza lilivyo na mchango mkubwa sana katika uchumi wa taifa. Ni wakati sasa wa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa zaidi katika jiji la Mwanza kwa faida kubwa ya taifa letu. Ni hayo machache. Maendeleo hayana vyama!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kupanga ni kuchagua Moshi tulipokea treni, Mwanza wanapokea ndege na Unguja walipokea meli ya mafuta

    Yote hiyo ni katika kutekeleza ilani ya CCM. Kila mkoa na kila wilaya walau imebahatika kupata tukio moja kubwa la utekelezaji ilani ya CCM ambalo ni kumbukumbu nzuri. Sisi wakazi wa ubungi kwa mbunge Mnyika na meya Jacob tumebahatika kupata miradi mingi sana ikiwemo stand ya kimataifa ya...
  3. gango2

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

    Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia Rais Magufuli amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa). “Ndege yetu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CCM yakutana Mwanza: Yampongeza Rais Magufuli, Walio hama vyama vya Upinzani waongeza Ruzuku ya chama hadi Bil 13

    Kamati kuu ya CCM imekutana jijini Mwanza na kuongozwa na Mwenyekiti wake Dr Magufuli. Kamati kuu imempongeza Rais Magufuli na serikali yake kwa ujenzi wa miradi mikubwa inayoendelea nchini. Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kwa sasa hakuna kikwazo chochote kinachoweza kupunguza kasi ya...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kisesa, Mwanza

    Ninauza kiwanja Million 10 nafungua majadiliano kwenye bei. Kiwanja ni kikubwa kipo Kisesa eneo la Mwandulu. Urefu 42 na upana 36. Kiwanja ni changu kimepimwa, upimaji shirikishi. Kiwanja kimebakia katikati pekee, hakijajengwa majirani wote wamejenga tayari. Kwa maelezo zaidi namba yangu ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano. Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Jijini Mwanza sare za CHADEMA zinauzwa wapi kwa ajili ya sikukuu ya kesho?

    Nimefika jijini Mwanza nikiwa na kijana wangu ambaye ni mfurukutwa wa CHADEMA tayari kushiriki sherehe za uhuru hapo kesho. Huyu kijana wangu anatamani siku ya kesho avae T shirt ya chama akipendacho cha CHADEMA lakini kwa bahati mbaya tulikozunguka kote hatujafanikiwa kuwaona wajasiriamali...
  8. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Uwekaji Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Sherehe zinazofanyika Katika Bandari ya Igogo Jijini Mwanza.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

    Kamati kuu ya Chadema kwa kauli moja imeazimia kushiriki katika sherehe za Uhuru zitakazofanyika Mwanza kitaifa.
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Uhuru 9/12/2019 kufanyikia Mwanza, wenye maneno anzeni kuisema Kanda ya Ziwa

    Hureee! Ni habari za chini ya kapeti Kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru, sherehe kufanyikia Mwanza
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini sasa miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika iadhimishiwe jijini Mwanza?

    Huku kukiwa na lundo la tuhuma kuwa utawala wa awamu ya tano umegubikwa na ubaguzi wa kikanda hatimaye Rais John Pombe Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Sherehe hizo kwa mara ya kwanza zinafanyika nje ya makao makuu ya nchi ukiachilia mbali...
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Magufuli kwenda Chato , 9/12/2019 Kuadhimisha Mwanza

    Magufli aliingia kwa mbwembwe madarakani huku akifuta sherehe za uhuru na kuelekeza hiyo bilioni 2 itumike kujenga barabara Mweng Morroco. M Alitoa maneno ya shobo na dhihaka kwa watangulizi wake as if hiyo hela ilikuwa ikiliwa na CHADEMA kumbe ni wanajeshi wasio na chama. Kajisahau sasa...
  13. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Lodge nzuri ya kufikia Mwanza Mjini

    Wenyeji wa Mwanza naomba msaada wa kujua lodge nzuri ya kufikia Mwanza Mjini. Nina safari ya Mwanza hivi karibuni ila sina uzoefu wa wenyeji wa mjini. Naomba anayefahamu Lodge nzuri anisaidie kujua kufahamu ila iwe mjini au maeneo ya jirani na mjini. Ahsante.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, tumekubali na tutahudhuria Sherehe za Uhuru za mwaka huu wa 2019 kama Mgeni Rasmi kwakuwa zitafanyika Mwanza au?

    Kwanini na mwaka huu pia Pesa za Sherehe za Uhuru nazo zisipelekwe/zisielekezwe katika Miradi mikubwa ya Maendeleo ya Wananchi badala yake kwa mwaka huu Sherehe zipo, Mhudhuriaji Mkuu nae atahudhuria ambapo Kitaifa zitafanyika Mkoani Mwanza? Nasubiri majibu yenu Wakuu.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme umeanza hapa Mwanza?

    Maeneo mengi hapa hakuna umeme. Hivi mgao wa umeme umeanza tena? Tulikwisha sahau kama kuna mgao wa umeme. Kama umeanza basi mtuarifu tufufue majenereta yetu.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rais wetu mpendwa msamaha wako kwa wafungwa ulikuwa ni Mwanza tu?

    Nakumbuka wakati Rais anatoa msamaha kufuta kesi kwa wafungwa aliahidi ifanyike na magereza mikoa mingine lakini hadi sasa bado kiza kinene. Je lilikuwa changa la macho au wasaidizi wake hawakumwelewa????? Au kwa kuwa Mwanza ni kanda atokayo?
  17. F

    JamiiForums Tanzania TARURA Mwanza na kero ya maegesho - Rais Magufuli tusaidie

    1. Unascaniwa ikiwa haupo 2. Hakuna anayekujulisha kwa mdomo au text message 3. Unafanya jitihada kujua iwapo ulikuwa scanned, unaulizia kwa kutumia simu 152*00, usafiri, TARURA, deni jibu linakuja huna deni 4. Unakaa baada ya masaa kama 4 unajaribu tena jibu ni huna deni, unaachana na suala...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Watu 4000 hufa maji Ziwa Victoria kila mwaka

    Serikali imesema zaidi ya watu 4,000 hufa maji kila mwaka Ziwa Victoria kutokana na sababu mbalimbali, ikiwamo hali halisi ya vyombo vya usafiri, uwezo wa mabaharia, ubebaji mizigo, hali ya hewa, pamoja na ziwa hilo kutofanyiwa vipimo kujua maeneo yenye miamba na kina kirefu tangu ilipofanyika...
  19. mhuri25

    JamiiForums Tanzania Sherehe za uhuru 2019 kitaifa kufanyika jijini Mwanza

    Wakuu habari za wakati huu, kuna taarifa za chinichini japo hazijawa rasmi kuwa SHEREHE ZA UHURU mwaka huu kufanyika kitaifa jijini MWANZA, kiukweli nimeridhishwa na maamuzi haya kuleta sherehe hizi mikoani. Rai yangu kwa SERIKALI isiishie Mwanza tu mwakani waangalie hata KIGOMA huko angalau...
  20. alphonce.NET

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Buswelu Mwanza Tanzania

    Inauzwa: Nyumba kubwa ya kuishi, iko kwenye kiwanja kikubwa cha square meters 2,539 (surveyed area) Mahali ilipo: Wilaya ya Ilemela, Busweru, Mwanza (Kilomita 2 kutoka ofisi za halmashauri ya Ilemela) Vilivyomo: vyumba vinne vya kulala, (master bedroom 1 na vyumba vitatu) Sitting & Dining...
Back
Top Bottom