Kongamano la BAVICHA kuilipua Mwanza, Mnyika kuhutubia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,625
218,056
Instagram media - CD3k-LXptTD ( 789 X 640 ).jpg

Ratiba ya Nchi inaonyesha kwamba Mwanza kuna kongamano la BAVICHA Jumapili hii na litahutubiwa na Katibu Mkuu wa chama Mhe. John Mnyika

Ewe kijana wa Mwanza hutakiwi kukosa kongamano hili hasa ikizingatiwa kwamba , Bavicha ndio Taasisi bora kabisa ya vijana kwa sasa barani Africa , njoo upate madini yatakayokusaidia katika maisha yako yote yaliyosalia hapa duniani .

UPDATES
Subpost 1 - Vijana na wanachama  tayari wamewasili ukumbini, tayari kuanza kwa z ( 380 X 640 ).jpg
Subpost 2 - Vijana na wanachama  tayari wamewasili ukumbini, tayari kuanza kwa z ( 380 X 640 ).jpg
 
Attachments

  • Katibu Mkuu wa Chadema Mhe. John Mnyika akiwasili katika ukumbi wa Vijana Center ( 352 X 640 ).mp4
    5.1 MB

Ratiba ya Nchi inaonyesha kwamba Mwanza kuna kongamano la BAVICHA Jumapili hii na litahutubiwa na Katibu Mkuu wa chama Mhe. John Mnyika

Ewe kijana wa Mwanza hutakiwi kukosa kongamano hili hasa ikizingatiwa kwamba , Bavicha ndio Taasisi bora kabisa ya vijana kwa sasa barani Africa , njoo upate madini yatakayokusaidia katika maisha yako yote yaliyosalia hapa duniani .
Mkuu ilikuaje TAL hakwenda Mwanza? Mbeya anakuja lini?
 
Kosa lingine mnalotaka kufanya ni hili
Subirini kampeni zifunguliwe muwaeleze vijana wa nchi hii mtawafanyia nini
Hii kwenda kukata viuno na kutunishiana misuli waachieni waliokosa Elimu
Msifanye ushindani usio na tija
Watangazeni au wasaidieni viongozi wenu kuwapigia debe jimbo kwa jimbo
 
Watu Wabayaa Eti Ooo Kaka Mkubwa Ni Mwezi Mchanga....Haendi Bila Sindano Za Watu Wa Mirembe....

Mara Majikupwa Majikujaa....

Mi nawambia Acheni Hizo,mbona Kaka Ni Intelligent Na Mwenye Hoja Nzito!!!
 
Wanafikili kishinda Urais ni kama kuokota dodo chini ya muembe! Rais wao atakuwa rais wa JF tu l!!
Rudi shule ukajifunze Kuandika na Kusoma Kiswahili tuuu kizungu naona kinakusumbua zaidi!
**wanafikiri
Wanafikili ndio nini

Eti Rais wa JF kwani wewe humu unatafuta nini si mkaanzishe forum yenu basi !
Jifunze kuheshimu vya wenyewe
 
Ratiba ya Nchi inaonyesha kwamba Mwanza kuna kongamano la BAVICHA Jumapili hii na litahutubiwa na Katibu Mkuu wa chama Mhe. John Mnyika

Ewe kijana wa Mwanza hutakiwi kukosa kongamano hili hasa ikizingatiwa kwamba , Bavicha ndio Taasisi bora kabisa ya vijana kwa sasa barani Africa , njoo upate madini yatakayokusaidia katika maisha yako yote yaliyosalia hapa duniani .
Ratiba yangu ikiruhusu nitakuwepo
 
Lipueni tu,lakini kura hampati.Hamuwezi kuzunguka nchi nzima kutukana na kudhalilisha kiongozi wetu halafu tuwachague.Mwanza hampati hata diwani mmoja.
Ww dada acha umbea!
Mtu akitukana si anakamatwa anapelekwa polisi anafunguliwa mashtaka anapelekwa mahakaman anatolewa ushuhuda akipatikana guilty anafungwa??

Mtukanwe nyie wajinga mnyamaze kimya na mnavyopenda kutumia polisi?
 
Ratiba ya Nchi inaonyesha kwamba Mwanza kuna kongamano la BAVICHA Jumapili hii na litahutubiwa na Katibu Mkuu wa chama Mhe. John Mnyika

Ewe kijana wa Mwanza hutakiwi kukosa kongamano hili hasa ikizingatiwa kwamba , Bavicha ndio Taasisi bora kabisa ya vijana kwa sasa barani Africa , njoo upate madini yatakayokusaidia katika maisha yako yote yaliyosalia hapa duniani .
Vijana wazalendo wa taifa hili wanaenda kupikwa na magwiji wa siasa za upinzani Tanganyika na Zanzibar
 
Back
Top Bottom