Mchumba ameenda Mpanda amenisaliti zaidi ya mara tatu, amerudi Mwanza kaninyima uroda kaenda kumpa jamaa mwingine. Ananiomba msamaha eti nimuoe

ze jj

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
485
571
Habarini za usiku wanaJf,

Mchumba wangu alienda Mpanda kipindi cha Corona. Huko mambo yakabadilika ikathibitika pasiposhaka kuwa amenisaliti.

Aliporudi akaenda kwa jamaa mwingine ambapo tena akanisaliti. Nilipokuja kumbana na ushahidi wa picha za majamaa wakiwa naye live bed. Amelia kilio ananiomba msamaha eti ni shetani.

Ananiomba nimsamehe kwakuwa aliwahi kamata SMS za mwanamke kwenye simu yangu akanisamehe. Ananibembeleza kuwa kwa sasa amejifunza nimuoe hatorudia kamwe.

Je, unaweza samehe kosa la usaliti?
 
Huyo usimpe nafasi ya kuwa karibu nawe, mtupe na kijiti chake. Pia fahamu sasa kuna kitu anajua kwako ndicho anapata, (sio mapenzi) baadae ataendelea na atakueleza kwamba uliyafahamu yake kabla ya ndoa. Ila haujitambui wewe, unashangaza!!!
 
1599212055397.png
 
mkuu zama hizi ke wengi wapo hivo, kama anampenda aoe tu.
Sio kweli,,kama kweli anatafuta Mke wa maisha ,,basi huyo hafai,,cha msingi kijana atulie,kama ni Muslim amuombe mola wake naye atajibiwa kwa kupewa Mke mwema na kama mkristo afunge na kuomba kisha atapata Mke mwema ila huyo hafai hata robo,narudia tena huyo mwanamke hafai na naamini anampendea jamaa Pesa na Si true love.
 
Sio kweli,,kama kweli anatafuta Mke wa maisha ,,basi huyo hafai,,cha msingi kijana atulie,kama ni Muslim amuombe mola wake naye atajibiwa kwa kupewa Mke mwema na kama mkristo afunge na kuomba kisha atapata Mke mwema ila huyo hafai hata robo,narudia tena huyo mwanamke hafai na naamini anampendea jamaa Pesa na Si true love.
wanawake wanachepuka sana, sema kama hujamfuma utajua mwaminifu.
 
wanawake wanachepuka sana, sema kama hujamfuma utajua mwaminifu.
Mkuu,, jitahid ukiwa katika mahusiano chagua mwanamke unayeridhika nae ,,ila yeye akupende,,pia jaribu kucontroo hisia zako,,ni bora mwanamke akupende asilimia kubwa atatulia ila wew ukimpenda bas atakutesa,pia jaribu kumtom...Ba vizur,tafuta Pesa ili akidhi mahitaj yake,usisahau kumsifia Mara kwa Mara na kila siku,mridhishe kitandan na vizawad vidogo vidogo bila kumsahau Mungu awatangulie katika ndoa yenu hapo mnaweza salimika na vishawishi kiasi kama ukifanya hayo.
 
Mkuu,, jitahid ukiwa ktk mahusiano chagua mwanamke unayeridhika nae ,,ila yeye akupende,,pia jaribu kucontroo hisia zako,,ni bora mwanamke akupende asilimia kubwa atatulia ila wew ukimpenda bas atakutesa,pia jaribu kumtom...Ba vizur,tafuta Pesa ili akidhi mahitaj yake,usisahau kumsifia Mara kwa Mara na kila siku,mridhishe kitandan na vizawad vidogo vidogo bila kumsahau mungu awatangulie ktk ndoa yenu hapo mnaweza salimika na vishawishi kiasi kama ukifanya hayo.
mimi tayar nina ndoa bt nimemueleza hivo coz kuna jamaa yangu kafanyiwa visa na mkewe akaoa mwingine bt alomuoa ndo mtihani zaidi mpaka ikabidi amrudishe wa kwanza

kwenye mahusiano/ndoa ukibahatika unaweza jisifu bt ukiteleza utajuta sana.
 
Nashangaa up to this moment bado una wasiliana nae. Ingetakiwa uwe umesha mwacha siku nyingi.
Unaonekana uko weak kufanya maamuzi.. na yeye kishajua huna uwezalo kwake. Ndio maana anqenda kuchepuka na wengine huko akijua utamsamehe ulivyo boya.

Amka kenge wewe. Fanya maamuzi
 
Back
Top Bottom