mwanza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi yeyote jijini Mwanza, Nimehitimu Chuo cha Usafirishaji NIT

    ,
  2. hp4510

    JamiiForums Tanzania Nahitaji connection ya mtu ambae anafanya biashara ya samaki Mwanza

    Naitaji mtu ambae yuko Mwanza ambae anafanya biashara za samaki kwa maana ya uchuuzi na usafirishaji mpaka Dar es Salaam. Au kwa yoyote ambae anajua A to Z ya kununua samaki mpaka usafiri to Dar es Salaam
  3. H

    JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali ya Tanzania, watu wasiruhusiwe kuingia wala kutoka Dar, Arusha na Mwanza

    Huu ni mtazamo wangu katika kuunga mkono juhudi za Serikali kupambana na COVID-19. Watu wasikae ndani moja kwa moja lakini, ili kupunguza kuenea kwa tatizo nchi nzima, ni vizuri Serikali ikaamua watu wa dar wafanyie Shughuli zao Dar, Arusha na Mwanza kadhalika...Hii ni mikoa ya biashara hivyo...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mwanza barabara kikwazo (Ilemela imekithiri)

    KUelekea uchaguzi mkuu, Mwanza kama zamani za miaka ya 2000, tatizo limebaki kuwa barabra zetu. Miaka hiyo nimekumbuka barabara ya city centre to Airport, ilikuwa kichomi cha hatari. Leo Mwanza barabra bado ni tatizo kubwa, Kishiri-Buhongwa, Igoma Kishiri, Kishiri Fumagila, Buhongwa -Bulale...
  5. chuki

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bunda Mjini kumekucha viongozi wa CCM Wilaya waanza kushikana uchawi kwa sababu ya rushwa za Mwanza huduma

    "Mmoja amlima barua mwenzake ili makao makuu waingilie kati" barua imeambatanishwa. Hali inazidi kuwa tete Wilaya ya Bunda baada ya Viongozi wa CCM wilaya kushutumiana kula rushwa za Mtia Nia Zury Nanji maarufu kama Mwanza Huduma. Viongozi hao wamefikia hatua mbaya ya kushutumiana na kuomba...
  6. chuki

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanza Huduma adaiwa kumwaga pesa kama Njugu Bunda Mjini akisindikizwa na Viongozi wa CCM Wilaya

    Katika hali ya kushangaza Zury Nanji maarufu kama Mwanza Huduma Mfanyabiashara wa Jijini Mwanza ameonekana Bunda Mjini akigawa pesa hadharani. Huku akiwa na mabaunsa, wapambe na wanakwaya wakimsindikiza Mwanza Huduma amepita Vijiwe vya Kahawa na Maegesho ya Magari na kugawa kati ya shilingi...
  7. mr man city

    JamiiForums Tanzania Hospitali au Kituo cha Afya Binafsi chenye ubora Mwanza

    Naomba kujuzwa hospitali au kituo Cha afya Cha PRIVATE ili nimuanzishe kliniki mama mtarajiwa wa mwanangu. Ana mimba ya wiki 17. Nahisi nimemchelewesha kuanza kliniki ndio maana sitaki kelele za manesi wa hospitali zetu za serikali.
  8. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania TANESCO Mwanza, kuna mgao rasmi unaendelea?

    Meneja wa Tanesco Mkoa wa Mwanza, acha mambo yako, hii ni wiki ya pili sasa kila ilifika saa moja jioni umeme unakatika. Tatizo hili sasa limekuwa ni "sugu" kwa muda wa wiki mbili na pindi mnapokata umeme taarifa rasmi haitolewi. Idara ya Mawasiliano na uhusiano inafanya kazi gani? Kwanini...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfanyabiashara wa zao la ulezi kutoka Mwanza, Arusha au Kilimanjaro

    Habari za humu? Nina ulezi tani zaidi ya ishirini, natafuta mnunuzi wa uhakika kutoka mikoa ya Arusha, Mwanza au Kilimanjaro. Kama una nia ya kununua nipm tufanye biashara. Hakuna bei fixed, ni maelewano.
  10. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mmiliki wa mabasi ya J4 ahukumiwa adhabu ya kifo kwa kuwaua watu wawili kwa kukusudia

    Mahakama Kuu Mwanza imemhukumu adhabu ya kifo mfanyabiashara wa kampuni ya mabasi J4, Jumanne Mahende (45) baada ya kumtia hatiani kwa makosa ya kuwaua watu wawili kwa kukusudia. Jumanne alikuwa akikabiliwa na Kesi ya mauaji namba 131 ya mwaka 2015 Anadaiwa kuwa Julai 13, mwaka 2015, saa 4...
  11. shamimuodd

    JamiiForums Tanzania Wafiwa wazika nguo tu baada ya kushindwa kulipa gharama za matibabu na Mochwari Hospitali ya Bungando

    GTs, Imetokea huko Mwanza, familia moja ilipata majanga ya mtoto kuungua moto, akapelekwa hospitali Bungando na kulazwa kwa siku kadhaa na bahati mbaya akafariki. Uongozi wa Hospitali ya Bungando walizuia mwili na hivyo kupelekea familia kwenda kuzika nguo tu. Na hili limetokea mwezi huu, na...
  12. Nemesis

    JamiiForums Tanzania Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

    Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya na Serikali kupitia kodi za wananchi, michango, fedha za wafadhili na wahisani mbalimbali. Kwa...
  13. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Mnaokaa Mwanza, mnaoifahamu Mwanza vizuri msaada wenu tafadhari kwa mdogo wenu

    Habarini za asubuhi hii ndugu zangu, poleni na miangaiko ya hapa na pale kwa jumatatu hii ya leo. Niende kwenye maada moja kwa moja. Baada ya kuangaika kutafuta ajira kwa mda mrefu atimae nime-bahatika kupata sehemu ya kujishikiza kwa muda mfupi kidogo (ni project), Niliachoamua mpaka sasa ni...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli jenga viwanja vya michezo kama vya majiji ya Mwanza, Arusha, Tanga na Mbeya

    Nimewaza na kuona ni vema tumuombe RAIS wetu wa JMT, pesa kwa ajili ya ujenzi wa viwanja vya michezo kwa majiji ya Mwanza, Arusha, Tanga na Mbeya. Najua DODOMA tulipata ofa za wahisani. Naomba na kushauri hivyo maana namna ya kukuza michezo kwa ngazi za kimataifa ni kuwa na miundo mbinu...
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Wafungwa 150 kutoka katika Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora Wapelekwa Gereza la Kwitanga Mkoani Kigoma Kulima Michikichi

    Wafungwa 150 kutoka katika Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora wamepelekwa katika Gereza la Kwitanga Mkoani Kigoma ikiwa ni mkakati maalumu wa Serikali kuliteua gereza hilo kuwa Kituo Kikuu cha Uzalishaji wa zao la mchikichi nchini. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
  16. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Dr. Abbas: Tenda ya ujenzi wa reli ya SGR kutoka Mwanza-Isaka itatangazwa wakati wowote

    Shirika la Habari la Kimataifa la CNBC Africa tarehe 29 Februari, 2020 limerusha kwa zaidi ya nchi 100 duniani makala inayoeleza mafanikio ya Tanzania katika sekta mbalimbali Ripoti ya RMB ya mwaka 2020 imeitaja Tanzania imekuwa ya 21 duniani, Afrika imekuwa ya 4 na Afrika Mashariki imekuwa ya...
  17. chuki

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wafuasi wa Mgombea Zury Nanji, anayewania Ubunge Bunda Mjini Watishana kuuana kwa Risasi, Mmoja awekwa Rumande

    Wafuasi wa Mgombea Zury Nanji maarufu kama Mwanza Huduma, wametupiana maneno na kutishana kuuana kwa Risasi, Wafuasi hao ni Mkiti wa CCM Wilaya ya Bunda Justine Lukaka ambae ni mbeba mikoba ya Muhindi huyo na amenukuliwa kila mara akisema "anae Mgombea wake kichwani mwenye ngozi nyeupe"...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa madini ya dhahabu Mwanza akamatwa kwa tuhuma za kuwajeruhi watu wawili kwa risasi

    Mfanyabiashara wa madini ya dhahabu jijini Mwanza, Salum Othuman (44) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita kwa tuhuma za kuwajeruhi watu wawili, akiwemo mpenzi wake Happiness Israel (32). Anadaiwa kumpiga risasi ya mguuni mpenzi wake baada ya kutokea ugomvi wakati wakiwa chumbani...
  19. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Wanawake Misungwi Mwanza wawajengea waume zao nyumba bora

    Wanawake Misungwi Mwanza wawajengea waume zao nyumba bora HIKI ni kitu ambacho hakijawahi kutokea hapa nchi baada ya wanawake kujiunga katika vikundi vidogo vya maendeleo na kuanza kuwajengea waume zao nyumba bora, ikilinganishwa na maeneo mengine ya Tanzania tulivyozoea kuona wanaume ndio...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kusema Mwanza ni jiji la pili, limechoka, linachekesha, halmashauri hazina hela

    Kama anakuja mgeni mwanza unamuambia eti mwanza ndilo jiji la pili Tanzania atakushangaa sana,last time nilikuwepo huko 6 years ago kulikuwa na ahueni,nipo huku sasa kwa miezi kadhaa tangu mwaka jana Ndugu zangu ambao hamjaja mwanza muda mrefu hali ya huku ni kichekesho,ngoja niseme machache...
Back
Top Bottom