Uchaguzi 2020 John Pambalu ni nani, ametumia mbinu gani kuua CCM Mwanza?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,343
217,376
Huyu kijana ni kama amemaliza kazi ya kuiteketeza CCM Mwanza lakini amepata wapi uwezo huu?

IMG_20200830_134547.jpg
 
Huyu kijana ni kama amemaliza kazi ya kuiteketeza ccm Mwanza , lakini amepata wapi uwezo huu ?

View attachment 1553031
Moja kati ya majiji tunayoenda kuyachukua kiulaini ni mwanza, dar, arusha, na mbeya ..kwa miji ni bukoba , moshi, iringa geita mjini shinyanga mjini musoma na njombe mji , sumbawanga bila kuisahau Tabora na mpanda
 
Kuichukua halafu muipeke wapi?. Halafu?, halafu?

Back
Top Bottom