JE, WAKAZI WA HAI WAMEZIDIWA AKILI NA WAKAZI WA MWANZA?
Na, Robert Heriel
Mambo yanazidi kubadilika kila siku, jana sio leo, juzi sio kesho. Mambo yanabadilika, wa juu anakaa chini, na wachini anakaa juu.
Watu wa Kilimanjaro ni moja ya jamii ya Watanzania waliobahatika kupata wasomi wengi...
Leo nilikuwa Mwanza kwa shughuli binafsi. Bahati nzuri nikakutana na msafara wa Tundu Lissu maeneo ya Nyegezi ukitokea Shinyanga.
Kwa ambao hawaielewi Mwanza, ni kuwa Nyegezi ni eneo lililo nje kidogo takribani 20km kusini magharibi kutoka katikati ya jiji la Mwanza.
Hapa Nyegezi ndipo...
Watu watano mkoani Mwanza wamefikishwa mahakamani wakishitakiwa kwa jumla ya makosa 16 ikiwemo kujipatia fedha zaidi ya shilingi milioni 10 kwa njia isiyo halali na kufanya utapeli kwa kutumia majina ya taasisi za mama Salma Kikwete na Mo Dewji Foundation kwenye mitandao ya kijamii.
Wakisoma...
Gharama zako za matumizi kwa siku zimekaaje katika kipindi hiki? Mfano chakula, usafiri, matumizi ya simu, vinywaji na kadhalika. Tuchangie mada hii wana jf..
Kumekucha salama,
Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma.
Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
SITEGEMEI KUWA MKAZI WA MWANZA, NITAKUFA NIKIWA MASKINI KUISHI MKOA HUU.
Wananchi ni vibaraka wa kuharibu maisha ya Wazalendo, watumishi wa Umma vibaraka wa kupotoshea vyombo vya Usalama, wafanyakazi mashirika binafsi wapokeaji wataarifa za kurubuniwa.
Yaani Mwanza nzima imemfanya DON...
Habari za asubuhi,
Kwa sehemu yangu mimi ni mara ya kwanza na jana wakati naelekea kisesa niliona wanagawa maeneo na watu ni wengi... nikaona isiwe shida nilifika kisesa kinanunua maji ya jumla barafu halafu nikiashusha uwanjani na hivi jua lilikuwa limewaka nilikuwa namaliza tu nafata kisesa...
Wakati Watumishi wote
Wamepokea Mishahara yao tangu Jana ijumaa. Mimi Mpaka Leo sijapata. Hii ni dharau kubwa sana kwa Taifa maana sijawahi kupewa barua ya kufukuzwa kazi au kusimamishwa kazi. Tunaongoza Nchi kwa kutumia meno ya mabua. Wapinzani chukieni Nchi yenu CCM na IKULU yao imeshindwa...
Hizi ni jitihada za kuhakikisha reli bora inaunga kwenye bandari ya Kisumu iliyokamilishwa hivi majuzi, itasaidia pakubwa kuharakisha mizigo kuwafikia DRC, Rwanda na Burundi maana ikifika Kisumu inapokezwa kwenye meli.
Izingatiwe hayo mataifa yanatumia pia bandari yetu ya Mombasa, na...
Huku mgao wa maji huku umeme jiji limekuwa kama wanaishi wahuni hivi mkuu wa mkoa huwezi kutatua matatizo kama haya au mpaka aje Rais?
Leo umeme pia ni kero tupu maji ndo kama hivyo tunakimbizana na madumu kila siku wakati maji yapo hapa tu.
UTANGULIZI:
KUREJESHWA KWA SH. 10,000,000/= ZILIZOCHUKULIWA KWA UTARATIBU WA MIKOPO INAYOUMIZA WAKOPAJI
Mnamo tarehe 21.05.2020 Ofisi ya TAKUKURU Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza ilipokea taarifa kutoka kwa Mwalimu Mstaafu aitwaye AUGUSTINE JOSEPH NGOWI kuwa amedhulumiwa mafao yake ya kustaafu...
Tangu Serikali na Rais Magufuli atangeze kuwa Tanzania imeingia uchumi wa kati, jiji la Mwanza limekumbwa na uhaba mkubwa wa huduma ya maji!
WanaCCM wakiulizwa kulikoni uchumi huu wa kati na adha ya maji, wao wanajibu hizo ni juhudi za Rais Magufuli!
Leo pia jiji wamepita wakiwatangazia...
Mkazi wa Isamilo Mwanza atuhumiwa kuwabaka na kuwalawiti watoto watano
WATOTO watano wenye umri Kati ya miaka sita hadi saba wamebakwa na kulawitiwa kwa nyakati tofauti katika mtaa wa Isamilo msikitini kata ya Isamilo wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza.
Watoto hao ambao majina yao...
Story ipo hivi huyo dada nilikutana naye pande flani hivi maeneo ya Sokoni ilikuwa Jumapili jioni, nikamwomba namba akanitoa kiroho safi. Mahusiano yetu yakaanza tumekaa kama miezi mitatu kama sikosei.
Sikuwa namtafuta maana namba yake ilikuwa haipatikani mpaka nikaona ngoja nitulie kwanza, ila...
Leo nilitakiwa nipate huduma katika Tawi hilo kwa kulipia mapato ya TRA lakini nilipofika pale sikuamini macho yangu. Tawi lile lina madirisha matano ya kutolea huduma lakini ni dirisha moja tu ndilo lililokuwa na mtumishi wao anayetoa huduma.
Wateja tulikuwa zaidi ya 200 na wengi wa wateja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.