mwanza

  1. JamiiForums Tanzania Kwa Mwanza, wapi nitapata KYB Shocks? Genuine and New?

    Nahitaji kuweka shock ups full set (mbele na nyuma). Wengi wanarecommend KYB brand, wanasema ni soft shocks zinafaa kwa rough roads. Nahitaji KYB shocks original genuine and new. Kwa jiji la Mwanza, nitapata duka gani?
  2. JamiiForums Tanzania Club Villarpark ya Mwanza imefungwa, nini chanzo?

    Kwa wale waliowahi kuishi Mwanza hii club ilikuwa ikibamba sana kipindi cha nyuma. Juzi nilikuwa Mwanza kama kawaida nikataka kwenda kurelax kufika tu nikakuta pako kimyaaa kuuliza nikaambiwa pamefungwa kitambo sana, nini tatizo?
  3. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akagua na kuridhishwa na Ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi, Mwanza

    Ujenzi wa mradi huo mkubwa wa kimkakati unagharamiwa fedha za ndani tshs Bilioni 700. Daraja hilo lina urefu wa kilometa 3.2 na ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi
  4. JamiiForums Tanzania Mamlaka tunaomba zitusaidie, daladala za Mwanza zimezidi kuwekewa ‘Tinted’

    Habari Wakuu naomba kuwakilisha hili suala la usafiri wa abiria hasa tumezoea kusema daladala kwa upande wa mkoa wa Mwanza zimezidi kuwekewa Tinted Yaani asilimia kubwa zimewekewa tena nyeusi hasa Tafadhari hata kama gari zenu lakini mnabeba abiia iweje mchana tu hata kuona nje inakuwa shida...
  5. JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari Toyota Raum inauzwa- Mwanza

    Gari Toyota RAUM , ya 1999 inauzwa. Rangi: Zambarau, Milango: 5, Mileage: Km 128,000, Engine size : 1490cc, Airbag: 2 , Automatic transmission, Fuel: Petrol, BEI: 6,000,000- Milioni 6 tu Imetunzwa na iko vizuri sana. PIGA: 0713962628/ 0718481042 MAHALI: MWANZA
  6. JamiiForums Tanzania Jiwe Lililoko Kamanga Fery Jijini Mwanza Libadilishwe jina Kutoka Bismack Rock na kuwa Muujiza wa Mwanamalundi

    Wakuu, Hili ni bandiko la ushauri kwa mam;laka husika lakini kuwekwa kwenye mjadala kuhusu jiwe kubwa la aina yake ambalo linatumika kama utambulisho wa jiji la Mwanza. Jiwe hili liko pembezoni mwa mwa ufukwe wa ziwa Viktoria karibu na feri ya Kamanga na sambamba na barabara ya Nasser...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nawauliza Viongozi wa Jiji la Mwanza

    Hata kama sio viongozi mliopo hivi sasa kwenye ngazi ya uongozi wa Jiji, swali hili linawahusu na ikiwapendeza jaribuni kulifikiria na kulifanyia kazi, kubadili au kupunguza heshima kubwa anayopewa kiongozi huyu kwa kutambuliwa kwa hadhi asiyoistahili kwa uongozi wake hapa nchini, Afrika...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza mwanza

    mwanaume Nina miaka 38 natafuta mwenza awe mwanza umri miaka 24 nakuendelea 0685104379
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania It is stupid to compare Mwanza to Mombasa

    Mwanza is comparable to Kisumu and Nakuru. Anyone who compares Mwanza to Mombasa has a big problem with his head.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea, Wafadhili hawatatoa fedha na huo ndio utakuwa mwanzo wa Wabunge wasio na ridhaa ya chama kugeukwa

    Ni imani yangu kuwa Wafadhili mpaka sasa wana taarifa zote za nini kinaendelea, taarifa zinazotuweka pabaya kama nchi katika swala zima la demokrasia kitu ambacho wenzetu wanakipa uzito na kukipigania. Kwahiyo, kutokana na haya yanayojiri, Wahisani wataona huu ni upuuzi wa kiwango cha SGR na...
  11. JamiiForums Tanzania Tunakata Belo Mwanza

    Karibuni wale wa Mwanza jumatatu kuanzia saa tano asubuhi nakata Belo la bwanga za design Kama hii kwa 6000 rejareja na 5000 ukichukua kuanzia 10. Tupo kiloleli Mwanza ulipokua mnada zamani. Tuwasiliane 0684190026
  12. W

    JamiiForums Tanzania Wala bata wa Mwanza huu ndio uzi wenu kupata taarifa mbalimbali

    Wadau pokeeni salaam kutoka Mwanza, Huu uzi utakuwa mahususi kwa taarifa mbalimbali kwa wala bata walioko Mwanza hata wageni, unaruhusiwa kuuliza taarifa yoyote itakayokufanya ule bata na kufurahia neema za Mungu zinazopatikana katika jiji hili tamu na zuri. Karibuni sana.
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania Premier League: Kuna ulazima wa klabu moja wapo (Simba au Yanga) iondoke Dar na kuhamia Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania mimi binafsi ninadhani; Kuna umuhimu wa klabu moja wapo kubwa (Simba au Yanga) kuondoka Dar na kuhamia majiji mengine makubwa kama Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka katika Tanzania...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa mwanza

    Nauza kiwanja mwanza maeneo ya bwiru kwa maelezo zaidi nicheki
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanza: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mwanza una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9 ambayo ni:- Ilemela: Angelina Mabula (CCM) - Kura...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli jinsi Mamlaka ya Maji ya Mwanza (MWAUWASA) unavyokuhujumu usipate kura zetu

    Kwa siku za karibuni tangu uanze kampeni zako Mamlaka ya Mji wa Mwanza (Mwauwasa) umekuwa na huduma mbaya kwa wateja wengi wa maji katika jiji hili. Tangu Injinia Sanga atoke kwenye Mamlaka hii na kupewa wadhifa mwingine huduma zimekuwa mbaya sana. Nitoe mfano hai, tangu ijumaa mpaka leo...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi Ukiamua kutafuta kazi kwa Mikoa ya Tanzania kwenye makampuni, ofisini, viwandani, mtaani, kwa siku tatu utakosa kweli

    Maana mimi sina kazi na nipo kanda ya ziwa elimu yangu ni darasa la saba mkondo 'B' niseme tu hivyo sababu nina cheti cha primary school sina cha Secondary. Kufika nilifika ila niliishia form two nikaachia hapo kwa sababu ya utukutu wangu acha maisha yanipige tu.
  18. JamiiForums Tanzania Leo nimemkumbuka mwanamuziki Kikumbi Mwanza Mpango, King Kikii, aliposema "Tushike ya kwetu, tusiwape muda karagosi", karagosi ni nani?

    Wanabodi, leo nikiwa natoka mahali kwa kutumia public transport, ukapigwa wimbo wa King Kikii, kitambaa cheupe, hivyo from no where, nimetokea kumkumbuka mwanamuziki mkongwe huyu, jina kamili ni Kikumbi Mwanza Mpango, aka King Kikii, kumbe pia alikuwa na vibwagizo fulani vya kisiasa vya kiaina...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni vipi unawashawishi wakazi wa Dar waliobomolewa nyumba kwa upanuzi wa barabara wakati kwa wakazi wa Mwanza ulisema wasibomolewe walikupigia kura?

    Kuna wakati najiuliza kati ya wanasiasa na wapiga kura ni nani ana kumbukumbu fupi zaidi. Kwa mfano, wakati fulani kulikuwa na kampeni ya kubomoa nyumba bila kulipa fidia hapa Dar, na wananchi wote wakalaani sana kitendo hicho. Hivi katika wale waliolaani kitendo hicho ndio walewale...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani bora za mabasi Dar kwenda Mwanza?

    Wasalaam wapendwa. Wakuu nataka kusafiri kwenda Mwanza basi gani nzuri inayoweza kunifikisha kwa siku moja tu, iwe luxury ya kisasa. Karibuni tujuzane wakuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…