tereweni
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 617
- 361
Good afternoon wadau
After ujio wa Rais Magufuli Mwanza; government has embarked on a sh 96bn project for the expansion and upgrading of mwanza Aiport to international standards.
Ukiangalia kwa haraka unaweza sema Mwanza wamechelewa mno kwenye kurekebisha miundombinu yake ili kuendana na kasi ya ukuaji wa biashara inyodhihirika miongoni mwa nchi zetu za ukanda wa EAC.
Hivyo basi kufuatia neema hiyo ya kuanza kushughulikiwa kwa uwanja wetu wa ndege tutashuhudia watu wengi wa nyanja mbalimbali wakinufaika na kukamilika kwa project iyo; wakulima, wavuvi, na wafanya biashara wa matunda nk.