Mwanza: Uwekaji Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
13,531
18,513

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Sherehe zinazofanyika Katika Bandari ya Igogo Jijini Mwanza.
 
C
My favourite proverbs :
1. Curiosity killed the cat.
2. Charity begins at home.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Sherehe zinazofanyika Katika Bandari ya Igogo Jijini Mwanza.

Waha fanyeni nuhudi za dhati mlihamishe MV Liemba mpeleke Mwanza huko itakarabatiwa.
 
Awiiii....
Hiyo ndiyo nimeisikia kati ya vyote 😂...!
 
Jana daraja la km 3.2 leo meli na chelezo huku Tanga sijui upi mradi mkubwa unaendelea ukiachana na ule wa mu 7.kama upo mnijulishe wakuu natamani kujua hilo.
 
Back
Top Bottom