Kama una mzigo wowote unaitaji usafirishwe kutokea Dar na mikoa yote ya kati kwenda Mwanza wiki hii, pata msaada haraka

Kiny

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
289
57
Hello JF team,

Kama una mzigo wowote unaitaji usafirishwe kwa gari aina ya Canter kutoka Dar, Moro, Dodoma, Singida, Shinyanga hadi Mwanza.

Au kama unahitaji mzigo utoke kati ya mikoa hiyo na kwenda kati ya mikoa hiyo ndani ya wiki ya tarehe 30 hadi tarehe 5 January nitakusaidia.

Nipigie simu au WhatsApp: 0757620622 au 0756200028
 
Makokoro bila shaka ni aina fulani ya nyavu ambazo zinakokoroa kila kitu ziingiapo kazini (uvuvi). Zinavua mpaka samaki wadogo, ukikutwa nazo lazima ulisaidie jeshi la polisi.
Hapa nimetumia uelewa wa kawaida wa neno kokoroa (makokoro)
 
Ahaaaahaaaaaa hizo sipakiii boss hapo hata gari linaweza kutaifishwa na ukapewa kesi ya uujumu uchumi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom