Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,771
Tukio lilitokea tarehe 26/10/2019. Watuhumiwa walikamatwa na kupelekwa ofisi ya kata ya Kahama Ilemela Mwanza. Watuhumiwa waliteswa na kupigwa na mwanajeshi akishirikana na Migambo wa mtendaji wa kata.
Mtendaji wa kata alikuwepo na mwenyekiti alikuwepo. Wananchi walijazana hapo kwenye ofisi ya kata na walishuhudia jinsi walivyoteswa na kupigwa, mmoja wa hao watuhumiwa alifariki. Kibaya zaidi polisi walitaka kupotosha kuwa wamepigwa na wananchi.
So tukio kama hili limetokea mchana kweupe kwenye ofisi ya serikali polisi wanapeleleza nini? Hakuna mtu anayetetea uhalifu ila hii nchi inatawaliwa kwa misingi ya sheria .Watuhumiwa walikamatwa kwa nini wasipelekwe polisi alafu mahakamani? Mtendaji anageuza ofisi yake kama mahakama.
Na kuruhusu watu kuteswa na mmoja anakufa. Au mpaka mke wa marehemu amuone rais!