mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni rahisi mwanamke kutaka wapime kabla ya sex ila ni ngumu kwa wanaume kupendekeza hivyo, tatizo ni nini?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Huwa ni rahisi sana kwa mwanamke anapopata mwanaume au anapotongozwa na mwanaume na kumkubalia kuomba kabla ya tendo la kujamiiana wapime kwanza hasa Ugonjwa wa Upungufu wa Kinga Mwilini(UKIMWI) ila huwa ni ngumu sana kwa mwanaume anapomtongoza mwanamke...
  2. Hivi kibongo bongo ni sahihi mwanaume au mwanamke asiye na degree kumiliki mtu mwenye degree?

    Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good? Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani? Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate...
  3. Tofauti ya mwanamke na mwanaume katika kushughulika na mchepuko

    1. Mwanaume akifurahishwa na mchepuko, mara nyingi hakuna mabadiliko kwa mwandani wake. Inakuwa kawaida tu. 2. Mwanamke akifurahishwa na mchepuko, anazidisha furaha nyumbani na ana act unusual, too existed, extra caring and unnecessary story. Remember: few professional cheaters acts normal...
  4. Mwanamke ameumbwa na mali ndani yake ila sio mwanaume

    Siku hizi vijana wengi wa kiume wanaona ni haki yao kusaidiwa na mwanamke kwenye mambo ya kiuchumi, yaani mwanamme atafute na mwanamke atafute. Kuna wengine ndo wanataka walelewe kabisa yani wao ndo watafutiwe na mwanamke wapewe. Ila nawakumbusha. Mwanamke analetwa duniani akiwa na mali ndani...
  5. Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

    Ndugu zangu, Ijumaa iliyopita mume wangu mtarajiwa alileta watoto wake (wetu) walale kwangu ili Jumamosi nikawafanyie shopping ya mavazi. Jumamosi nikawawafanyia watoto wetu shopping hadi hela yote alonipa baba yao ikaaisha na baada ya kuridhika kuwa watoto wamepata nguo za kutosha nikaona sio...
  6. Kuna kisa cha kweli kwa fumanizi ambalo mwanaume aliekutwa kalala na mke wa mtu aliachwa aondoke kwa amani, hali yake ilikuwaje?

    Huwaga naskia stori kwamba kwenye fumanizi ni heri upewe kichapo kizito sana kuliko uachwe uende kwa amani. Kuna kisa ambacho kimetamba sana ila nadhani ni stori ya kijiweni tu nadhani wengi mtakua mmesikia, Hapa tumiwite mwenye mke anaitwa Michael, sasa kuna siku Michael alistukiza kurudi...
  7. Mwanaume, kutojiamini ndo adui yako mkubwa kwenye mahusiano na sio pesa wala mwanamke. Kwanini?

    Kutojiamini inajionesha kwenye tabia yako. Hata kama ulijificha lakini matendo yako yataonesha tu hujiamini. Na kama ulipata mwanamke anaweza kukuacha au kukusaliti. Sababu unaonesha tabia za kutojiamini. Kwanini wanawake wanawaacha watu wasio jiamini? Kwanini kutojiamini ni adui yako mkubwa...
  8. Hizi kazi akiwa nazo mwanaume anaweza kula tunda hadi kusaza bila kuhonga ama kutumia gharama ndogo sana

    wanaokula bila kuhonga Wachungaji, maustadh na waganga - Hasa kwa wadada wanaotafuta watoto kwa maustadh, wachungaji na waganga feki. Mdada anaambiwa dawa inabidi iingie kwa kuchomekwa, kuna pepo lipo ndani inabidi litolewe kwa **oo yenye upako, n.k. 😂 😂 Wanawake wengi sana wanatoa kwa hii...
  9. Mwanaume mwenye wake 15 asema Wanaume wenye Mke Mmoja wana Akili Ndogo Sana: "Wanaweza Kuongelea jambo moja kwa saa 3”

    Mwanamume mmoja ambaye ni mume wa wanawake wengi amewachamba wanaume ambao wameoa mke mmoja tu. Kaluhana mwenye umri wa miaka 63 anasema wanaume wenye mke mmoja wana akili ndogo sana na hawezi kuelewana nao kwa sasa Kaluhana ana wanawake 15 nchini Kenya na Uganda na anasisitiza kuwa hatachoka...
  10. Onyo Kali: Mwanaume usithubutu kuacha ghetto lako na kuhamia kwa Mwanamke. Ni hatari, utaumbuka mbeleni

    Hi, Ni onyo kali hata iweje usiache ghetto ukahamisha vitu vyako ukaenda kuishi na mwanamke kwake awe amejenga au amepanga, au kama mmepanga yeyw mwanamke ndiye awe anafahamika kwa mwenye nyumba ni kosa kubwa. Kwa asili wanawake hawatabiriki na hawana upendo wa kudumu, mwanamke anataka kitu...
  11. Mwanaume tajiri anafaidika vipi na ndoa zaidi ya ngono tu?

    Habari kwenu, nyote Nilikuwa najiuliza kwa mfano ww ni mwanaume tajiri au una hela za kutosha,, na umri wako ni 35+ huko Lets say kwa mwezi unaingiza 87M, ila hujaoa lakini wazazi wako, na ndugu wanakulazimisha uoe, Lakini pia ukiangalia vitu vyote wanavyopata wanaume wenzako kwenye ndoa...
  12. Mwanaume alivyo katika maamuzi na maisha yake ki ujumla ni matokeo ya utamaduni

    Hellow africa Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika kuwa wanaume ni wabinafsi,waongo, wanyonyaji, watesaji, wababe, hawataki kusaidia kazi za nyumbani na mengine mengi Ukweli upo hivi Culture imemtengeneza mwanaume kuwa jasiri na mtoa maamuzi ya mwisho katika familia ndio maana ata kama...
  13. Kosa kubwa utakalolifanya mwanamke ni kujilinganisha na mwanaume!

    Anaandika Robert Heriel. Wanawake wengi waliokosa malezi na kufundwa wameingia katika tabu na madhila makubwa kutokana na kujilinganisha na mwanaume. Hilo ni kosa kubwa mno. Kosa ambalo wengi limewaacha kwenye matatizo makubwa. Taikon ninawalea mabinti zangu kwa kuwafundisha kuwa wao ni sawa...
  14. Kati ya mwanaume na mwanamke, nani ana uzao (kizazi)?

    Hapo vipi, Kwanza kwa tafsiri ya Kizazi au uzao ni ile hali au hasili ya muendelezo wa watu wenye asili ya damu, sura, umbile, rangi na tabia ya watu wenye asili inayofanana kutoka nyakati na nyakati (enzi na enzi). Sasa kwa tafsiri rahisi niliyotoa hapo juu. Je, kati ya mwanaume na mwanamke...
  15. Sitaki Kukosa Kipindi cha Raha za Uswahilini cha EFM Radio nimsikie Dada mwenye Sindano Ukeni iliyokuwa Ikimchoma kila Mwanaume Aliyemuingilia

    Kikubwa GENTAMYCINE nataka nimjue tu kwa Jina na ikiwezekana hata kwa Sura ili nisikosee njia Siku moja na Kumtongoza kisha akinipa Uume wako Uchomwe na Sindano iliyojicha Ukeni mwake bila ya Yeye kujua na Wanaojua ni Wanaume tu waliokuwa Wakimbandua. Asanteni EFM Radio na Kipindi chenu cha...
  16. Mwanaume kama hauli vizuri ukashiba basi kuna hatari kubwa Mbele yako

    Sifa kuu ya mwanaume ni kuwa na nguvu. Unahitajika kuwa na nguvu kubwa Ili ukatatute ridhiki, siku hizi maarufu kama hela, ndio ridhiki yanyewe. Ukiwa na nguvu utafanya kazi Kwa umakini na kwa muda unaotakiwa. Ukiwa dhaifu hutamaliza majukumu yako sawasawa. Familia inakutegemea utumie nyuvu...
  17. Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

    Awe na mwili umejengeka kiasi, awe na kakitambi kidogo. Asiwe amekonda kwa kweli mimi wanaume vimbaumbau wakae mbali kabisa nami. Mwanaume awe anajiamini. Mpole lakini pia mkorofi akichokozwa na awe anajiamini. Napenda mwanaume ambaye muda mwingi in public yupo serious. Ila aliwa nami room au...
  18. J

    Mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo: Inauma sana asikuambie mtu. Nyie wanawake nyie!

    Inauma sana. Hebu piga picha , Wewe ndo umetongoza, Wewe ndo umepeleka posa na pesa kiasi kwenye bahasha, Wewe ndo umetoa mahari, Wewe ndo unaanda sherehe, Mke unamkaribisha nyumbani kwako, Wewe ndo umempa heshima mkewe kwa jamii, Wewe ndo unamuhudumia mkeo, Kitandani mnafurahi wote, Mnapata...
  19. Rais Museveni asaini muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja

    My Take: Vikwazo vikiwekwa watakaoumia ni nyasi wala sio kina Museveni, so watu wawe tayari kwa matokeo. -- President Museveni has signed the anti-gay bill into law following improvements adopted to make it tougher for people engaging in LGBQT. "President Museveni has executed his...
  20. Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

    Hellow africa Acheni sifa ambazo wengi mnazibeza kuhusu wanaume wa dar japo nyingi ni za uongo msingekuwa mnatoka mkoani kuja kufwata penzi dar Il uwe mwanaume wa dar must having money Sifa za mwanaume wa dar Kwaza tupo smart kuliko kawaida na wasafi sana yaani tunapiga pamba kali af kwa bei...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…