"Ukisoma, utachagua mwanaume unayemtaka". Wazazi Mungu anawaona kwa uongo huu

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Hao wanaume wa kuchagua mbona hawaonekani? Waliopo mtaani ni hawa hawa akina Juma Hali Ngumu bin Full Ma-stress.

Halafu kibaya zaidi wanaopendwa ni walioishia la saba na form 4. Je, wazazi wote wakamatwe kwa uongo huu ama tumwachie Mungu?
 
Mwanaume kukuoa haangalii una nin,mtu akikupenda hana sababu japo kuna wanaume wadangaji huangalia wapi aoe anufaike,pia kuna familia ukizaliwa automatic una nafasi kubwa ya kuolewa au kuoa wenye uwezo wenzako
Wanaume wengu ambao wana mfumo dume hupenda kuoa la saba b hawapendi kuchalejiwa kila kitu iwe yes
 
Back
Top Bottom