Mwanaume akisalitiwa anaacha, mwanamke akisalitiwa analipiza, hakuna anayesamehe

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,098
Kuna wanaume wanahisi wanawake hawaumii sana kama wao kuhusu suala la usaliti, ukweli ni kuwa:

Siku mkeo anakukamata na usaliti hiyo ndo siku umemtafutia mchepuko.

Mke wangu akijafanya ujinga afanye kwa kuamua ila suala la kuchepuka siwezi fanya hivyo,

Baki njia kuu mchepuko sio deal
 
Nyama tofauti, bucha tofauti na utamu tofauti ila heshima ipo pale pale kwa mke.
Hivi nyie wanaume mnadhani sisi wanawake huwa hatukinai na hiyo sousage yenu kila siku na tunatamani kubadilisha tule hata kambale ila tunajizuia tu? Nyie kinachowashinda ni nini?
 
Hivi nyie wanaume mnadhani sisi wanawake huwa hatukinai na hiyo sousage yenu kila siku na tunatamani kubadilisha tule hata kambale ila tunajizuia tu? Nyie kinachowashinda ni nini?
Tatizo lenu mnazama moja kwa moja.
 
Mwanamke anaechwpuka nje dalili namba Moja ni kumdharau Mme wake.
Ukiona mwanamke anakudharau jua keshapata mtambo mpya nje anakuvalue
 
Back
Top Bottom