Adui wa mwanamke ni mwanamke

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411


Tanganyika tuna msemo ulioanzishwa na wanawake wana -harakati katikati ya miaka ya 90' hasa 1995 baada ya Zakia Meghji na kundi lake kutoka mkutano wa Beijing wa kutaka usawa na wanaume.

Wanawake waliohudhuria walirudi Tanganyika na mtazamo mpya, wakitaka kila kitu sawa na wanaume ama kuwazidi wanaume , tukumbuke pia ndio habari za lady pepeta zilipoanza.

Kama haitoshi ndio walianza kushajihisha sheria za kazi zibadilishwe na kuwa nusu kwa nusu na pia kutaka viti maalum Bungeni, by then alikuwa mbunge wa Moshi mjini -Mama Clementina au mama kamm-akiwa mkuu wa shule ya Weruweru ambaye pia alikuwa mbunge wa East Arica.

Kauli ya Ummy kusema Adui wa Mwanamke ni mwanamke inafikirisha sana wanaume, wanaume hao wanaodai usawa tena kwenye imani zao za dini hawaruhusiwi hata kukaa meza moja na wanaume, hawaruhusiwi kutoa mhadhara wala kuhubiri madhabahuni, hawaruhusiwi kuoga kwenye public beach, hawaruhusiwi karibu kila jambo afanyaalo mwanaume , ni utumwa full ila sasa hao hao wanapigania mambo wanayonyimwa na waume zao na dini zao yawe implimented kwenye dini zingine.

Tuna Rais Mwanamke Samia Suluhu Hassan, Tuna Spika wa Bunge Mwanamke Tulia Akson,, Tuna waziri wa afya mwanamke Ummy Mwalimu, ila ndio wakati Toto Afya imefutwa na wanawake kufia hospitali kwa kukosa 150,000 ya kupata huduma za kujifungua.

Tunajiuliza kama kwa kipindi hiki miimili imeshikiliwa na mwanamke lakini badala ya kumteua Jaji Mugasha kuwa CJ wakamuongezea Ibrahi Juma, Badala ya kumteua Advela Chesco kuwa IGP wakamwachia aliyepo japo ameboronga kwa mengi, wameshingwa sehemu nyingi kuwapa wanawake sasa sijui kama 2025 Rais mtarajiwa Makonda ataweza rudisha wanawake kwenye nafasi zao.

Ummy amevumilia imebidi aseme tu ukweli toka kifuani mwake!
 
Hakuna 50/50 Duniani haita kuja kutokea jambo hilo.Feminists ni wajinga sana yaani mtu upewe upendeleo fulani katika jamii,lakini still utake usawa wa kijinsia huo ni uwendawazimu wa wazi wazi.

Na mbaya zaidi wanataka usawa wa kijinsia katika nafasi za kisiasa hasa,na muda huo huo wanaongoza kwa kukwepa majukumu,uzuzu mtupu.
 
Hamna hoja Adui wa mtu ni yeye
Jikumbushe, Samia anatoa milioni 10 kwa kila goli la simba , Yanga na Taifa Stars na analipa tickrti bure.
Hapo hapo Samia kupitia Waziri wake mwanamke Pindi Chana anaamuru kambi ya timu ya Tifa ya wanawake [Twiga Stars ] ivunjwe kwakuwa serikali haina pesa.

Wanawake ndio wamekata rufaa kesi ya kutaka mwanamke aolewe katika miaka 18, wao bado wanataka 14-16.
 
Jikumbushe, Samia anatoa milioni 10 kwa kila goli la simba , Yanga na Taifa Stars na analipa tickrti bure.
Hapo hapo Samia kupitia Waziri wake mwanamke Pindi Chana anaamuru kambi ya timu ya Tifa ya wanawake [Twiga Stars ] ivunjwe kwakuwa serikali haina pesa.

Wanawake ndio wamekata rufaa kesi ya kutaka mwanamke aolewe katika miaka 18, wao bado wanataka 14-16.

Tatizo la nchi hii sio wanawake au wanaume ni mfumo

Chadema na ccm ni chama kimoja
Yanga na simba pia ni timu moja.
 
Ningali kijana ,namuomba MUNGU anipe afya njema na uhai niweze kushuhudia maisha ya siasa za Tanzania hadi kufikia mwaka 2045 itakuwaje?
1945 watoto wa Mwigulu wanaosoma FEZA watakuwa wabunge na mmoja naibu waziri mkuu.
Mtoto wa Nape atakuwa Waziri.
Majina utayasikia haya haya, kumbuka kuna wazee wa miaka ya 1990 walitamani kuona siasa za 2020, lakini majina ni yale yale : -
1.Yusuph Makamba-January Makamba
2.Moses Mnauye- Nape Mnauye
3. Njelu Kasaka- Kasak JR[mbunge lupa].
4. Sam Sitta- Sitta meya wa jiji Dar.
5. Abdala Bulembo- Halima bulembo
6. Nyere Julius - Makongoro nyerere
7. Samia - Hafidh
8. Kikwete Jakaya - Ridhiwani Kikwete
- Salma Kikwete
9Ali Mwinyi- Hussein Mwinyi[Rais Zanzibar]
10. Abed Karume - Karume Aman.
-Ali Karume
 
Adui wa mwanamke ni mwanamke wenyewe.

Msemo mzuri sana wakufanya divide and rule kipindi hiki cha uferminist uliokithiri.
Wanawake wote UVCCM na jumuia ya wazazi wapo kimya , hawamtetei GEKUL kwa kumuingizia kijana wa kiume chupa mk***i, hawaoni, hawaoni Gekul alishafukuza mume wake na hana mwanaume, sasa kumbuka alimvua jamaa suruali na dushe likiwa linaninginia..!
 
Wanawake wote UVCCM na jumuia ya wazazi wapo kimya , hawamtetei GEKUL kwa kumuingizia kijana wa kiume chupa mk***i, hawaoni, hawaoni Gekul alishafukuza mume wake na hana mwanaume, sasa kumbuka alimvua jamaa suruali na dushe likiwa linaninginia..!
Du Gekul ndio nan?
 
Kwa hiyo teuzi zote zikiwa za wanawake hapo ndo anakuwa rafiki wa wanawake wenzake......nafikiri imefika muda wanawake warudi kwenye majukumu yao ya asili ya kutunza familia, haishangazi kuona kadri miaka inavyoenda mambo yanazidi kuparaganyika kwa kuendekeza hizi propaganda za mabeberu wanazoita usawa wa kijinsia, sijui feminism.​
 
Siasa na vyama unavyoona ni upinzani , ni kiini macho tu , hakuna upinzani mbele ya matumbo yenye njaa .

Upinzani wa kweli utatokea mpka mseme ,bado hamjasema.
inaonekana una nywele za kwapa lakini una urge kama mtoto mdogo anayenyonya.
1. vyama ambavyo si kiinimacho vinapaswa viweje?
2.Mwenye njaa ni yupi na asiye na njaa ni yupi na unawajuaje?
3. Huo upinzani wa kweli utaujuaje?
4. Kama umetoka nywele za kwapa, na baadaye utakuja kucchumbiwa na uwe na watoto ni aibu wakija kusikia una mawazo finyu namna hii.
 
Back
Top Bottom