Mwanamke wa 4 adai alibakwa na Diddy wakati akiwa na miaka 17

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
DIDDY ATUHUMIWA NA MWANAMKE WA 4 K UBAKAJI WAKATI AKIWA NA MIAKA 17

Huenda Rapa na Mfanyabiashara Sean Combs maarufu kama Puff au Diddy akawa katika nyakati ngumu kutokana na tuhuma za Unyanyasaji wa Kingono zinazozidi kuibuliwa dhidi yake, licha ya yeye kukanusha uhusika wake

Na hiyo ni baada ya Mwanamke aliyetambulika kwa majina ya Jane Does kufungua kesi akimtuhumu Diddy kuwa alishirikiana na wenzake kumfanyia Ukatili wa Kingono mwaka 2003 wakati akiwa na miaka 17 na Diddy akiwa na miaka 34

Kesi imefunguliwa chini ya Sheria ya Ulinzi ya Waathirika wa Ukatili wa Kijinsia inayowapa waathirika nafasi ya kufungua mashtaka ya Unyanyasaji ambapo zaidi ya kesi 2,500 zilifunguliwa chini ya Sheria hiyo itakayofutwa Machi 1, 2025.

attachment-Diddy.jpg
 
Mo Money Mo Problems
I don't know what they want from me
It's like the more money we come across
The more problems we see
I don't know what they want from me
It's like the more money we come across
The more problems we see
I don't know what they want from me
It's like the more money we come across
The more problems we see
What's going on? (Oh, what's going on?)
Somebody tell me (what's going on?)
 
Hawa wanawake wengi wao walikubali wenyewe kwa kutaka pesa au kupenda starehe.

Sasa wengine wanajutia na wengine wameona fursa ya kujipatia pesa tena.

Hii iwafikie watu maarufu hapa nyumbani TZ miaka kadhaa ijayo ya aweza kuwatokea haya.

Kuna aina flani ya ukatili wa wanawake dhidi ya wanaume unaendelea sasa duniani hasa nchi za magharibi na wafuasi wao nchi zetu shithol* countries.

Sasa ukitaka kutongoza mwanamke inabidi uombe cheti cha kuzaliwa au NIDA card, how will you know if she is under 18 na machips yai na broilers yote haya?
 
Haya mambo yapo sana, hakuna hata cha mkakati wa kuwashusha ni vile tu huko mbele watu washapiga hatua.

Kuna mtu aliwahi kunisimulia kuwa akiwa mdogo mama ake alikua anauza pombe pale home, sasa akiwa bize watu wanamchukua yeye (mtoto) wanambeba kucheza nae wengine wanatoka nae na kumrudisha.

Kuna jamaa alikua anamchukua anaenda kumnyonyesha dudu, alikua anasema nlikua naona mbona kama kamasi zinatoka (mnaelewa) lakini hakuwahi kumweleza mtu yeyote hadi kawa mkubwa ndo kutambua nini alikua anafanyiwa. Hizo kesi za hao majamaa naamini hakuna cha mkakati.
 
Mtu amekubali mwenyewe orgy au threesome baadae anakuja kusema alilazimishwa, bad enough unakuta alimficha umri kumbe alikuwa na miaka 16 au 17. Akina Diamond, Marioo, Harmonize, Ali Kiba mjiandae.

Ali Kiba yamesha anza kumkuta yule dada msomi anamchafua sana kwenye media anadai kunyanyaswa na Kiba eti pia hakujua Ali alikuwa kaoa!

Ndoa ya Kiba na Amina taarifa kibao zipo mitandaoni hadi kesho kutwa msomi wa masters toka Spain kashindwa kuziona.
 
Hizi kesi zote Diddy atashinda. Amepitia nyakati ngumu kuliko sasa na alishinda.

Wakati anasoma Howard University aliandaa tamasha la muziki , watu wakajaa kupita kiasi mpaka kuna watu walipoteza maisha. Akafunguliwa mashtaka akashinda kesi.

2001 ndani ya club Puffy alizinguana na mtu ambae alijaribu kumdhihaki , matokeo yake kukatokea majibizano ya risasi ndani ya club. Watu watatu walijeruhiwa. Kesi hii alishinda Kimafia.

Hizi kesi za unyanyasaji kijinsia naamini atashinda pia.
 
Back
Top Bottom