Kumbukumbu zangu zinaanzia kwa Mh Kasyupa Alipipi , huyu alimshinda Mwakipesile , enzi za Chama Kimoja , nilihudhuria kampeni zilizofanyika Ipande , kijiji cha Bukinga , kwenye eneo la wazi lililojulikana kama MPIKI KIMBWALA , nadhani ilikuwa mwaka 1980 ( niko tayari kusahihishwa ) wakati huo...
Ni kwamba 99% ya Wanawake Wanaotongozwa kwa Kudanganywa na Wanaume huwa wanawakubali haraka sana lakini pia 99% ya Wanaume ambao huwa wakiamua kuwa Wakweli kwa Wanawake pale wakiwa Wanawatongoza huwa wanawakosa japo wao (Wanaume) hudhani kuwa Mkweli ni 'Tiketi' ya moja kwa moja Kuuona Ufalme wa...
Ndugu wapendwa,
Niligombana na mke wangu, kwa shinikizo la wazazi wake akanipeleka polisi na kufungua kesi ya jinai kuwa nimempiga so nikawekwa mahabusu na kutoka kwa dhamana.
Baada ya ushauri alihiari kufuta kesi lakini baba yake akadai nimrudishie gharama aliyoitumia kuja kutatua matatizo ya...
Habari wakuu?
Kuna swali huwa najiuliza nimeona nililete kwenu kwa majibu.
Swali ni je mwanamke ALIYEKEKETWA anao iwezo wa kufika kileleni wakati wa tendo?
Wanabodi,
Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza...
*Mzuri wa sura sio unakuwa na demu sura kama ngiri.
*Mweupe au rangi ya chocolate au maji ya kunde na sio mweusi.
*Shepu lazima awe na msambwanda medium size,Sio shape kama Sanchoka maana ile ni kero.
*Awe mrefu kiasi sivutiwi kabisa na short chassis.
*Miguu isiwe na gaga,vidole vya miguu...
Ukikaa ukatafakari matukio uliyokwisha kutana nayo kwa wanawake utaungana na mimi. Hawa watu wanamaajabu mengi na siku zote hawaishiwi maajabu
Kuna jambo moja kwangu nataka leo mnisaidie kunifafanulia
Haya mambo hutokea hasa sehemu za makazini, mtaani na hata chuoni.
Wadada wanaonyesha kuwa...
Leo naomba nizungumze na wanawake.
Nyie wanawake baadhi yenu ni wa.pu.uzi sana. Umri ukienda ndio mnajua mnachohitaji yaani mwanaume serious mtu mzima tena mnatambua hilo baada ya kuchezewa sana sana na masharobaro na mabraza meni.
Mnapokuwa katika umri mzuri na mna mvuto mnakuwaga na nyodo...
Kwani hizi Sikukuu Kubwa Kubwa hasa za Kiimani huwa sina Siri gani Kubwa na iliyojificha na Wanawake kiasi kwamba Ukitongoza tu Wiki Mbili au Moja kabla ya Kilele cha Sikukuu za Idi, Pasaka na Krismasi uwezekano wa Wewe Kukataliwa ( Kutoswa ) naye ni 0%?
Wajuzi wa hili hebu njooni mtupe Elimu...
Au labda Mwenyezi Mungu alivyowaumba Wanawake hakuwawekea ile roho dhaifu ya kutaka Kujitoa Uhai ( Kujiua ) kama ambayo inaonekana kwa Wanaume hiyo Roho si tu kwamba aliiweka bali aliigundisha kabisa na Super Glue kama si Gesi au Shaba ili isitoke milele?
Wanawake wote mliopo hapa JamiiForums...
Habari wanajukwaa kongwe kabisa la JF, ingawa bado tunachangamoto ya kirusi hiki hatari kabisa cha COVID-19 lakini tuendeleee kunawa mikono mara kwa mara.
Ni muda wa mwaka na nusu sasa mimi kama expert member wa JF sijaweza kupost Uzi hasa katika jukwaa hili. Naenda straight to the point, mimi...
Nimeshajipima na kujitambua siwezi kuishi kabisa bila kumuona mwanamke duniani !
Ikitokea hivyo nitakufa instantly hakika.
Women hasa ambao sio bloodline hakika wananiumiza mno.Nakiri udhaifu wangu kwao.
Kifupi naumwa bila ladies.!!!
Kuna nyumba mbili napakana nazo huu ni Mwaka wa Tatu sasa naona tu ndugu wa upande wa Mwanamke (Mke) wakifululiza kuja na hata wakija huwa wanakaa hadi waamue wao kuondoka ila Ndugu wa Mwanaume (Mume) wakija huwa hawakai hata siku tatu na wakati mwingine utakuta Mwanaume ndiyo anawaambia...
Nauliza kipi bora hasa
Unakuta mwanamke mwenye mtoto watu wanamkimbia bila kujua faida zake
Ni Bora ambaye Ana mtoto maana kuna muda anakupa matumain kuwa hujaoa mgumba au akizaa watoto awafi
Unamkuta dada mdogo, hajawahi kuzaa, hajaolewa, lakini anatumia uzazi wa mpango. Hapo hapo kashatoa...
Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa.
Wanaume wengi utawakuta wameoa wanawake ambao wako nje na malengo yao ya zamani na maisha bado yanakwenda.
Wakati mwingine huwa...
Oh! Mara yule mwanamke anapenda sana Pesa, mara anatamaa sana.
Mara anazingua nampiga chini!
Tatizo sio kukuomba fedha, tatizo ni kwamba anakuomba fedha huku wewe huna?
Nje ya mada : Dada poa mmoja Alisikika akisema " tarehe za mshahara biashara inakuwa nzuri sana.
Jamani kuna kitu kimenitatiza lakini baada ya kumuuliza muhusia akawa mkali wala hakunipa jibu la kueleweka man alianza kuja juu kujifanya mtakatifu,issue yenyewe n kama ifutavyo;
Kuna mdada tunafanya nae kazi office moja anajifanya mlokoe kunizidi hadi mimi, yeye kila siku jumapili na siku za...
Mwanamke akifanya kazi bar anaweza kuwa mwaminifu? Unaweza kumuoa akawa mke mwema?
Vipi kuhusu yafuatayo
1.Kuendelea na tabia ya kuona kwamba ni jambo la kawaida kutoa penzi akapewa hela?
2.Kuwachukulia watu wote bila staha na akawaona kama wale walevi wa bar alokuwa anawahudumia?
3.Ulevi je?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.