Msaada kimawazo: Nimezaa na mwanamke ambaye anaishi na mwanaume. Mtoto kazaliwa copyright na mimi

Heater

Senior Member
May 28, 2019
164
339
Kibaya zaidi ni kwamba Mwenzangu huyo anaamini kwamba ni mtoto wake na anahudumia kama baba. Mtoto anamiezi kumi ivi sasa, Natamani sana niweze kumpata lkn nashindwa ni vipi nitaweza kumpata. Natamani hata Mwanaume huyo angeujua ukweli, lkn naogopa madhara yatakayoweza kutokea baada ya kuujua ukweli.

Toka ndani ya moyo wangu ninamuwaza sana Mwanangu huyo lkn naishia kuumia tu... Maana hata huyo Mwanamke hataki Kabisa kuwasaliana na Mimi sababu mara nyingi nilikua nikimuuliza nitampataje mtoto, basi ivi sasa kaona kwamba kuendelea kuwasiliana na mm ni kujihatarishia ndoa yake.

Sijajua wenzangu mngevivaa viatu vyangu mngechukua maamuzi ya Haina gani, Tusaidiane.
 
endelea kujaribu ndoa za watu, ipo siku, utapewa mimba na utaoteshwa miziwa, endeleaga hivyo hivyo, na usipo kuwa makini, watakuja kukupoteza, labda kama hakutolewa maali!
 
Back
Top Bottom