Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

Singom

New Member
May 5, 2022
2
3
Wapendwa wa Jamii Forums,

Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa aina hii nayotafuta umwelekeze yeye mwenyewe awasiliane na mimi. Nataka kuoa. Sifa zangu na za huyo nayemtafuta ni kama ifuatavyo: -

KUHUSU MIMI (mwanaume)
  • Elimu: Chuo Kikuu (Master Degree)
  • Kazi: Nimeajiriwa katika Sekta Binafsi
  • Dini: Mkristo
  • Umri: 40+ (Kujua exact age njoo inbox)
  • Mahusiano ya zamani: Njoo inbox nitakueleza
  • Lengo: kuoa kabisa
KUHUSU WEWE (mwanamke)
  • Elimu yako? Yoyote (Std 7 and above). Sifa nyingine za mhusika zinaweza kuficha mapungufu ya elimu hata kama ni ndogo
  • Una Kazi? Si lazima uwe nayo. Lakini angalau uwe unafundishika. Je, unapenda ujasiriamali? Kama ndiyo basi poa.
  • Umri wako? 18+ (ukomo wa juu ni 35). Kama unazaidi ya hapo tuwasiliane. Huenda ikawa "AGE IS JUST A NUMBER".
  • Una mtoto / Watoto? Naweza kuvumilia mwenye mtoto. Ila asizi mmoja. Pia napenda kujua ana umri gani?
  • Lengo la uhusiano huu? Liwe ni kuolewa.

Mambo mengine tutaelezana zaidi wakati wa mawasiliano. Niko serious na hili jambo.

Karibuni inbox. Walengwa tu tafadhali.
 
Hivi mkuu unaanzishaje urafiki na mtu kwa lengo la wazi la kumwuoa
Mimi nafikiri ungeanzisha urafiki kwanza kisha baadaye uone kama inafaa kumwambia lengo
 
Hilo neno AGE IS JUST A NUMBER Naomba mungu na [mention]Kelsea [/mention] alione
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom