Sidhani kama kuna mwanamke atakuja kunipenda zaidi yake!

Aen Urner

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
388
Reaction score
380
Wakuu, mimi sio mtongozaji na mpaka sasa naandika huu uzi nina takribani miaka 3 sasa sijatongoza mwanamke yoyote, na huwa siwezi tongoza mwanamke nnaefahamiana nae, nikishazoeana tu na mwanamke siwezi mtongoza

Mademu zangu mimi huwa wanajigonga wenyewe nawala halafu sikai nao, wengi huwa baadae nawapotezea au kujiengua wenyewe sababu unakuta sijawapenda...Wanakosa muda wangu.
Nahisi kwasababu ya mwonekano wangu ndo unawafanya wadate wengi wao.
Anyways, nlipofika chuo tu nkawa na mahusiano na demu fulani hivi wote tulikuwa mwaka wa kwanza akadata na mimi tukadet..katikati ya safari yetu akaingia tena binti mmoja aliyeonesha kunipenda sana, nakiri tena alinipenda sana.
Cha ajabu alijua mimi niko na mwanamke mwingine alishawahi kukuta meseji zake kwa simu yangu sio hvyo tu kuna baadhi ya wasela mav* waliokuwa wanamfukuzia walimtonya kuwa mimi nko na mtu na kunichafua kwa kadri walivyoweza lakini yule demu alichagua kubaki na mimi.

Tumedumu almost 2 years kibabe sana toka hyo 1st yr mpka 3rd yr, nikiri tu kwamba me bnafsi nimeanza kuwa matured katika maswala ya maisha na mahusiano nlipofika 4th yr ambapo nilihamua katika likizo ya 3rd yr kuingia 4th yr nimzimie data huyu demu sababu alionesha wazi kuwa na future na mimi wakati mimi hata sina habari nliona nisije nikampotezea muda zaidi, hakuweza kunipata kipindi hicho chote cha likizo.

Nakumbuka wakati tumefungua chuo aliwahi kunifata library akamwaga machozi mbele yangu, sikupenda iliniumiza sana...ila sikuwa na namna mimi ni mtu wa misimamo nikisharidhia jambo mara chache mno naweza kulibatilisha. Alitumia njia nyingi sana lakini zlishindikana sababu nilijua nini nafanya, muda wote nilimheshimu na hakuwai hata kuniona na mwanamke mwingine mpka tunamaliza chuo...
Wakuu shida ni kwamba toka nimalize chuo huyu demu haniishi akilini, namuwaza yeye tu, nkifikiria maisha ya ndoa namfikiria yeye tu, yaan nafikiria kuwa na mwanamke kama yeye tu, nikiwaza kuzaa, nawaza kuzaa na yeye tu.
Mpka sasa wanawake wengine naona ng'ombe tu, namtaka kama yeye au yeye kabisa.

Kuna muda mpka nahisi kulowekwa yaan, juzi kati mwezi jana tumekutana somewhere machoni bado anaonesha kunipenda sema hatukupata muda wa kuongea sana.

Wakuu najinasua vipi hapa?
Naomba kuwasilisha.
 
Hii Dunia ni Duara...

Ya Mungu mengi, Ya Binadamu Machache...

Mkuu Umechezewa Tayari. Hutoki!

Mjini kutesa kwa zamu, Zamu yako ya kuteswa ndiyo hii. Enjoy!
 
Umesoma chuo 4yrs
Ukamaliza?!
Now upo ktkt ajira au mtaani.
Halafu unashindwa fanya maamuzi ya kuacha kuwaza?
 
Kipindi fulaani nilipata dem yeye alinipenda japo mimi nilintamani toka day1 alikuja kujua nina dem ila alinikubali hivyohivyo

cha ajabu upendo wangu ulihama ghafla kuja kwa huyu dem wa pili na yule wakwanza nikamlia buyu tukaenda tukaenda

mara nikapoteza simu akatafuta namba yangu mpya akanipata tukaenda mawasiliano yakawa shida yaani wiki mbili hamchekiani ukimuuliza anasema nipo bize yeah nipo bize ila sio hata kujibu salamu

dah siku hiyo nikasema leo namuacha mara paap akapiga ile kupokea tukaongea mambo ya kawaida tu plus matani ilikua furaha nikashindwa kumuambia dhumuni langu

Usiku huohuo nikamtest mimi sikupendi basi tuachane akajibu msg ndefu ya kuhuzunisha na kusikitisha ikabidi nimwambie nilikua nakupima imani kama unanipenda daah nampenda sema ndio hivyo

Siku nilioamua akanitext nikamwambia tu tuachane akasema kama ulivyo amua poa toka sikuhiyo mpaka leo bado yupo kwenye akili ila ndio hivyo kamwe mwanaume kujirudisha kwa demu ni udhaifu so napambana tu na usingle wangu ambao nimeuchagua
 
Hii Dunia ni Duara...

Ya Mungu mengi, Ya Binadamu Machache...

Mkuu Umechezewa Tayari. Hutoki!

Mjini kutesa kwa zamu, Zamu yako ya kuteswa ndiyo hii. Enjoy!
Nisaidie nijinasue mkuu
 
Kipindi fulaani nilipata dem yeye alinipenda japo mimi nilintamani toka day1 alikuja kujua nina dem ila alinikubali hivyohivyo

cha ajabu upendo wangu ulihama ghafla kuja kwa huyu dem wa pili na yule wakwanza nikamlia buyu tukaenda tukaenda

mara nikapoteza simu akatafuta namba yangu mpya akanipata tukaenda mawasiliano yakawa shida yaani wiki mbili hamchekiani ukimuuliza anasema nipo bize yeah nipo bize ila sio hata kujibu salamu

dah siku hiyo nikasema leo namuacha mara paap akapiga ile kupokea tukaongea mambo ya kawaida tu plus matani ilikua furaha nikashindwa kumuambia dhumuni langu

Usiku huohuo nikamtest mimi sikupendi basi tuachane akajibu msg ndefu ya kuhuzunisha na kusikitisha ikabidi nimwambie nilikua nakupima imani kama unanipenda daah nampenda sema ndio hivyo

Siku nilioamua akanitext nikamwambia tu tuachane akasema kama ulivyo amua poa toka sikuhiyo mpaka leo bado yupo kwenye akili ila ndio hivyo kamwe mwanaume kujirudisha kwa demu ni udhaifu so napambana tu na usingle wangu ambao nimeuchagua
Daima mbele, nyuma mwiko mkuu, ila dah...
 
Kuna watu wanafurahia mahusiano na kuna watu wanateseka na mahusiano. Wapo waliopenda wasipopendwa na wapo waliopenda sehemu wanayopendwa mpaka raha. Hisia hubadirika kadri ya muda uendavyo, ni jukumu la walio kwenye uhusiano kuzilinda hisia zao.
Mapenzi yanatesa pale mnapokuwa hamuongei wote lugha moja.
 
Wakuu, mimi sio mtongozaji na mpaka sasa naandika huu uzi nina takribani miaka 3 sasa sijatongoza mwanamke yoyote, na huwa siwezi tongoza mwanamke nnaefahamiana nae, nikishazoeana tu na mwanamke siwezi mtongoza

Mademu zangu mimi huwa wanajigonga wenyewe nawala halafu sikai nao, wengi huwa baadae nawapotezea au kujiengua wenyewe sababu unakuta sijawapenda...Wanakosa muda wangu.
Nahisi kwasababu ya mwonekano wangu ndo unawafanya wadate wengi wao.
Anyways, nlipofika chuo tu nkawa na mahusiano na demu fulani hivi wote tulikuwa mwaka wa kwanza akadata na mimi tukadet..katikati ya safari yetu akaingia tena binti mmoja aliyeonesha kunipenda sana, nakiri tena alinipenda sana.
Cha ajabu alijua mimi niko na mwanamke mwingine alishawahi kukuta meseji zake kwa simu yangu sio hvyo tu kuna baadhi ya wasela mav* waliokuwa wanamfukuzia walimtonya kuwa mimi nko na mtu na kunichafua kwa kadri walivyoweza lakini yule demu alichagua kubaki na mimi.

Tumedumu almost 2 years kibabe sana toka hyo 1st yr mpka 3rd yr, nikiri tu kwamba me bnafsi nimeanza kuwa matured katika maswala ya maisha na mahusiano nlipofika 4th yr ambapo nilihamua katika likizo ya 3rd yr kuingia 4th yr nimzimie data huyu demu sababu alionesha wazi kuwa na future na mimi wakati mimi hata sina habari nliona nisije nikampotezea muda zaidi, hakuweza kunipata kipindi hicho chote cha likizo.

Nakumbuka wakati tumefungua chuo aliwahi kunifata library akamwaga machozi mbele yangu, sikupenda iliniumiza sana...ila sikuwa na namna mimi ni mtu wa misimamo nikisharidhia jambo mara chache mno naweza kulibatilisha. Alitumia njia nyingi sana lakini zlishindikana sababu nilijua nini nafanya, muda wote nilimheshimu na hakuwai hata kuniona na mwanamke mwingine mpka tunamaliza chuo...
Wakuu shida ni kwamba toka nimalize chuo huyu demu haniishi akilini, namuwaza yeye tu, nkifikiria maisha ya ndoa namfikiria yeye tu, yaan nafikiria kuwa na mwanamke kama yeye tu, nikiwaza kuzaa, nawaza kuzaa na yeye tu.
Mpka sasa wanawake wengine naona ng'ombe tu, namtaka kama yeye au yeye kabisa.

Kuna muda mpka nahisi kulowekwa yaan, juzi kati mwezi jana tumekutana somewhere machoni bado anaonesha kunipenda sema hatukupata muda wa kuongea sana.

Wakuu najinasua vipi hapa?
Naomba kuwasilisha.
Duh kuna dawa kule kwao inaitwa shuntama naona tayari umeshanenewa mkuu kubali matokeo yaishe tu.
 
Kuna watu wanafurahia mahusiano na kuna watu wanateseka na mahusiano. Wapo waliopenda wasipopendwa na wapo waliopenda sehemu wanayopendwa mpaka raha. Hisia hubadirika kadri ya muda uendavyo, ni jukumu la walio kwenye uhusiano kuzilinda hisia zao.
Mapenzi yanatesa pale mnapokuwa hamuongei wote lugha moja.

Duh kuna dawa kule kwao inaitwa shuntama naona tayari umeshanenewa mkuu kubali matokeo yaishe tu.
Na mm nawaza hivyo mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom