Mwanamke wangu hana sauti na maamuzi kuhusu hatma yake na Ex wake

faokipe

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
1,017
1,172
Kama kichwa Cha habari kinavyosema Ni Mara ya Pili nakuja Tena nikihitaji maoni, ushauri na ikiwezekana msaada wa kimawazo kuhusu hili lililo mbele yangu kwa muda huu. Niliwahi kuja humu mwezi wa Pili mwaka huu nkiwa na tatizo la mpenzi nliyekua nae na mlishapanga kufanya maisha nae Ila gafla akarudiana na x wake na mm nkapigiwa marufuku kumpigia simu au kukanyaga kwake (UZI UKO HUMU)

Kama nlivyowahi kuleta mrejesho wa sakata Hilo yule mwanamke nlifanikiwa kumrejesha kwenye himaya yangu na Hadi Sasa naendelea kula tunda la katikati kila napohitaji japo kwake sifiki maana yule x wake bado aanafika pale kila wkt anapohitaji kufanya hivyo.

Shida inayonileta kwenu Ni kuhusu maongezi ya huyu mwamnake nkiwa nae anasema hamtaki yule bwana na hawaongei hata akija pale hata mapenzi kufanya Wana miezi 3 hampi mapenzi na amekataa katu hatakuja kumpa mapenzi sababu hampemdi na kila akimuona amekuja pale kwake anapata hasira Kali Sana Ila kumtakia kua hamtaki au aondoke anashindwa!! (Hili la kutompa mapenzi Ni kweli Nina imani nalo kwa asilimia Fulani maana Mara kadhaa amekua akitegesha simu recording afu ananiletea nasikiza jamaa anavyolalamika au akiwa anataka jinsi wanavyojibizana wakiwa ndani au kitamdani na hua anafanya hivyo baada ya mm kumwambia usinidangamye.

Yaani ulale na mwanaume kitandani na kila siku anakuja kwako afu useme hamfamyi mapenzi ndio akaniambia Basi subiri ntakua narekodi kinachoendelea ndani au tukiwa kwa bedi ili uwe unasikiza Kama tuna maelewano ndani basi baada ya kusikiza Mara kadhaa na hata jinsi jamaa anavyoemda kwa ndg wa mwanamke kulalamika kuhusu kutengwa kila mtu anajifunika shuka lake ndio nikaamini kuwa jamaa halambi kitu japo anangangania kila Mara kwenda kulala pale

Sasa mwanamke namwambia Kama jamaa humpendi na hakuna maelewano baina yenu kwa Nini usimzuie kuja kwako ili tuoane!! Demu anasema Mimi siwezi kumfukuza maana nakumbuka wema aliowahi kunifanyia huko nyuma Sasa Ile kumfukuza kiumbwa mbwa siwezi Ila matemdo na matukio nayompiga ataondoka mwenyewe.

Sasa jamaa juzi Kati kaleta hoja anataka kufunga ndoa mwezi wa 6 !mwanamke kaniletea recod wanagombana jamaa anaongea na Kaka mtu kuhusu mahali demu anagombana unataka kutoa mahali umenihusisha? Demu nkamuuliza Sasa uamuzi wako Ni upi kuhusu Hilo maana jamaa anataka kuleta mahali kwa lazima akasema yeye Kama akilazimisha kuleta wachukue watajuana Mimi ntaondoka pale nyumbani watajuana wenyewe.

Sasa hapo nimebaki njia panda huyu mwanamke inaonekana Hanna sauti na maamuzi kuhusu hatima yake na huyo bwana yake! Maana kumpiga stop ameshindwa yeye anasema wewe tuendelee na Mambo yetu yeye atajiondoa mwenye maana mapenzi simpi na siongei nae. Siku moja asubuhi jamaa katoka kazini Yuko ndani nkamwita demu aje sehem nichakate mbususu demu akaniambia jamaa ndio karudi mida hii ngoja akiondoka ntakuja, nkampigia mkwara yaani Hadi aondoke ndio uje asipoondoka Ina maana hauji Sasa nakupa Hadi saa sita kama usipoonekana usije kabisa ikabidi mwanake atengemeze safari ya gafla kwa kulazimisha japo jamaa alikataa lakini demu aliondoka akaja nkapiga mashine Hadi usiku saa mbili ndio nkamuachia aondoke.

Muda wote jamaa anatuma msg za kulalamika kwa kudharauliwa!! Demu nkikuuliza Sasa haya maisha ya kuishi na mtu humpendi utayaishi Hadi lini anasema Sina namna maana yeye anangangania kwangu hata sijui anatafuta Nini! Siku moja nimemwambia Sasa nkileta posa kwenu na huyo jamaa uko nae kwako itakuaje akasema ntawaambia huyo aliyeleta posa ndio nataka niolewe nae.

Demu nkimwambia Basi nkukndoe hapo nkupagishie nyumba anakataa anasema siwezi kuacha nyumba yangu nkaenda kupanga kwingine hata ukinioa ukitaka nihame pale mahali itakua kubwa Ila ukitaka nibaki hapo mahali itakua ndogo !! Sasa waungwana naombeni ushauri maana demu kumwambia jamaa aondoke anashindwa na jamaa kuondoka hataki.

Nimebaki kila nkitaka kula mbususu naenda lodge na Mimi Nia yangu Ni kuchukua jiko jumla ! Hii hali ya jamaa kuganda pale kwa mwanamke nayetegemea kumuoa inanitesa Sana nakosa amani na utulivu wa nafsi maana kma hivi jamaa akirudi home (Ana mwanamke mwingine so hua haendi pale kila siku)demu ananipigia simu jamaa kaja Ina maana hapo siruhusiwi kupiga simu au kutuma msg yoyote Hadi demu anitafute yeye!! Hii Hali inaniumiza Sana, afu Cha ajabu huyo jamaa Wala hampi demu matumizi zaidi ya kwenda na mboga tu akienda na kuondoka atahakikisha ameila Hadi imeisha ndio anaondoka ! Akiondoka anachukua siku Hadi 4 kurudi Tena na muda wote huo hajui Dem anakula au anaishije maana kwa Sasa hivi mwanamke Hanna kipato amekaa tu nyumbani!!

Wazee nakuja kwenu, hapo nifanyeje?

Nakaribisha ushauri na mawazo mbadala

Karibuni
 
kutompa mapenzi Ni kweli Nina imani nalo kwa asilimia Fulani maana Mara kadhaa amekua akitegesha simu recording afu ananiletea nasikiza jamaa anavyolalamika au akiwa anataka jinsi wanavyojibizana wakiwa ndani au kitamdani na hua anafanya hivyo baada ya mm kumwambia usinidangamye yaani ulale na mwanaume kitandani na kila siku anakuja kwako afu usem
hapa kakupiga na kitu kizito kichwani
 
Huyo sio mwanamke bora kwasababu hana msimamo wa kile anachokitaka, kwani angekua hana hitaji la huyo jamaa anaeishi nae angekua ashamwambia mapema, alafu istoshe mwanamke anayeishi na mtu wake alafu anaruhusu pia Mtu baki unagonga basi inatakiwa ujiandae cuz kuna Masela watakugongea hivo hivo ukimuoa inaonesha ndo tabia yake. Alafu cha mwisho Tafuta mama bora kwa ajili ya watoto wako sio mama bora kwa ajili ya haja zako za kimwili. UCHAWI HAUENDI KWA MENTALI Blaza!!!!
 
Back
Top Bottom