Dunia hii ina mengi kumbe, mwanaume unaweza kumpa limbwata mwanamke

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
355
1,854
Maisha haya bhana kuna kipindi maisha yalinipiga mjini nikapoteza direction ikabidi nijichanganye kitaani nikutana na vijana flani ivi nikawaomba mishe wakaniunganisha na jamaa wengine kazi ya kuchoma mkaa

Tukasafiri kwenda porini kijijini ndani uko kufika kuna mzee tukamkuta ana age kama 80s ivi wenyeji wangu wakanitambulisha kwake km kijana mpya kazini, cha ajabu pale pale mzee akaniwabalikia wale wenyeji wangu akaanza kufoka huyu kijana ataweza hizi kazi kweli mnamjua vizuri msije mkaleta askari uku na kazi zetu mnazijua mtu mwenyewe mzuri ivi pori ataliweza

Mzee akanambia nyoosha mkono wako leta viganja vyako nikanyoosha babu akanishika viganjani akaendelea mnaona sasa mtoto nyanya huyu rudisheni kwao la sivyo kazi hapa hakuna apo Nina buku mbili tu mfukoni na nauli mpk mjini ni 20k ivi

Basi nikaambiwa nisubirie gari itakayokuja kupakia mkaa nirudi nayo mjini. Usiku ule babu akatuita woote tulikua kama saba ivi then akamwita mkewe, mke kutoka ni binti mdogo age kama 20s ivi black beut tako tako mtoto mbiiichi eti ndo mke wa mzee yule
Mzee akaanza kuweka mikwala " hapa wengine wooote wenyeji kila kitu mnakijua hapa kuna huyu mgeni nataka ajue huyu hap ni mke wangu bado mdogo mtu ajidanyany amtongoze au kumwangalia mara mbili atafia porini na ndugu zake hawataona hata mfupa wake babu kanikazia jiicho hatari machozi yakaanza kunitoka nikajiuliza mbona natesek ivi Mimi kazi yenyew kuchoma mkaa na degree yangu kichwani. Tukalala

Asbuhi na mapema babu akaamka akaniamsha Mimi wa kwanza wenzangu wakaanza kazi ya kuandaa magogo kupanga kuchoma mkaa Mimi na babu tukaenda mtoni mzee yule akanambia kuchoma mkaa wew huwezi ntakufundisha kuvua samaki heee nikaona naisha akaniuliza stor ya maisha yangu nikamwambia kila kitu mzee akaanza kujenga upend kwangu tukaingia mtumbwini kuvua mzee akatega tega samaki tukapata kias wakaj wanunuzi ikapatk 30k tukagawan sawa kwa sawa japo Mimi cjafany kazi yoyot

Ushakaj ukakua na babu na safar ya kurud mjin akafia apo mzee yule akawa ananihadidhia mamb meng mengn ya kutisha akaanza kunifundisha dawa za miti shamba nlikaa nae kama miez mitatu baada ya hapi mishe zangu mjin zikaanza kufunguk ikabid nije kufany nikipt muda naend kwa mshkaj wangu babu kumsabahi.

Siku moja usku nikawa kwake babu akampiga saana mkewe na akamfukuza kule porini binti akaanza kufungasha aondoke nikamuuliza babu huyu mtu ataondokaje ucku huu na unampiga binti mdogo ivi na wew mzee ivi huoni kama utampoteza babu akanambia huyu haondok wakat huo binti kashafungasha mzee akanambia tulale mwache aende yule dada akaondoka.

Cha ajabu asbuhi sana yule dada anamwamsha babu eti mume wangu chai tayari kumbe ule usiku hakuondoka alijibanza sehemu tulivo lala akarudi akajibanza sehemu akaingia kweny chumb kingn akalala

Nikamuuliza babu mtu mzima kama wew binti mdogo ivi na unampiga na kuishi nae porini uku umemfanya nini babu alichonijib hivi we binti km huyu umuwk uku porin na uzee wangu huu unadhani mchezo

Mzee akanielekeza cha kufanya aisee dunia ina mambo sithubutu kumfanyia mtu. Mwanamke hata aweje awe kiburi kiasi gani hawezi kukuacha na hakuna kwenda kwa mganga wala nini
Sem babu kafariki
 
Mimi kuna dawa nilipewa juzi Kati na msela wangu, na yeye aliitoa huko singida ndani ndani.

Hiyo dawa unaiweka kidogo kwenye tundu la uume kisha unasex na mkusudiwa. Ukimumwagia tu baaaasi, akili yake yote, hisia zake zote zitakuwa kwako tu.

Nimeitumia jana najionea mabadiliko.

N:B Ni kweli lakini SIUZI WALA SITAKI PM. nilikuwa na-share tu experience
 
Hii story ilishawahi kuletwa humu jf siku za nyuma mzee ume copy na ku paste.
 
Na kwa taarifa yako siku hizi dawa hazifanyi kazi kama huna pesa
Na mwisho acha utapeli pia lipia tangazo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom