mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Cannabis

    JamiiForums Tanzania TCRA: Ukikutwa unatumia VPN Tanzania, faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja

    Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imewataka wananchi na makampuni kiujumla ambazo kwa asili ya kazi zao hawawezi kuepuka matumizi ya VPN kutoa taarifa juu ya VPN wanazotumia na taarifa muhimu kabla ya Oktoba 30 mwaka huu. Aidha mamlaka hiyo imesema iwapo itabainika umetumia VPN kinyume na kanuni...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti ADRN: Serikali za Afrika zinatumia zaidi ya Tsh. Trilioni 2.5 kwa mwaka Kufuatilia Watu na Mawasiliano yao

    Ripoti ya African Digital Rights Network (ADRN) inayohusu Nchi zinazotumia Teknolojia ya Ufuatiliaji wa Watu Barani Afrika, imeitaja Serikali ya Nigeria kuongoza katika matumizi ya Fedha zaidi (Zaidi ya Tsh. Trilioni 6.77 ndani ya miaka 10) katika uwekaji wa Mifumo hiyo. Mifumo inahusisha...
  3. Issuna

    JamiiForums Tanzania INAUZWA PikiPiki Boxer 125cc inauzwa 1.8m, ina Mwaka full document

    Pikipiki imenyooka kama rula, mkoa wowote ulipo inakufikia kwa kuendeshwa sio kusafirishwa. Cc 125 powerfull boxer haijawahi fanya boda boda hata siku 1, ina mwaka katika matumizi na Km 10,000 imemwagwa oil mara 10 tu tangu inunuliwe. Bei iko fixed, mahali ilipo GOBA CONTACT : 0695697796...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sekondari iliyofunguliwa 2006 yaamua kuanza kujenga maabara za masomo ya sayansi

    SEKONDARI ILIYOFUNGULIWA MWAKA 2006 YAAMUA KUANZA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI Nyanja Sekondari ni ya Kata ya Bwasi yenye vijiji vitatu (3) vyenye jumla ya vitongoji ishirini na vitatu (23). Vijiji hivyo ni Bugunda, Bwasi na Bugunda. Sekondari hii ilifunguliwa Mwaka 2006, na kwa sasa...
  5. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania Bondia Hassan Mwakinyo afungiwa kujihusisha na mchezo wa ngumi mwaka mmoja

    Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) imemfungia Bondia Hassan Mwakinyo kujihusisha na mchezo wa ngumi nje na ndani ya Tanzania kwa muda wa mwaka mmoja na faini ya shilingi milioni 1 Hatua hiyo imekuja kutokana na kugomea pambano lake lililokuwa lifanyike septemba 29.2023, Dar es...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuweke hisia pembeni Israel ni ya Waisrael

    Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi? ndivyo ilivyo nao waisrael walivamiwa wakahamishiwa ulaya kimabavu, Ardhi ya Israel wakahamia wapalestina lakini baada ya miaka...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ungefanya nini ? unagundua kila mwaka mke huenda kwao kutambika baada ya kuona watoto wamerudi na chale walipomsindikiza mama yao.

    Kuna anko anaenda miaka kama 43 hivi ana familia yake yenye watoto wawili wa kiume. Mke wake yuko fresh sijawai sikia malalamiko, ni mtiifu, anawajali ndugu wa mme wake, anafua nguo za mmewe japo kuna housegirl, kanisani anaenda, n.k. Kila mwaka unapoisha siku 2 baada ya krismas kwenye tarehe...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Duh hii Kali ya mwaka, nimepokea simu kutoka kwa mwana ukoo ambae ni black sheep kwenye familia yake. Alichoniambia kimenishangaza

    Black sheep ; Mdogo wangu shemeji yako ana mimba ina miezi minane sasa nakupa taarifa mapema kabisa ujue kaka mwezi ujao anajifungua so nikija kukupigia simu kukuomba msaada usishangae. Pambana pambana kaka unitafutie hela kidogo ili isaidie atakapo jifungua. Me: siko powa kaka siwezi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Iwapo mwaka ujao Sheikh Ponda akisema kama Waislam tumeamua kumpigia kura Rais Samia

    Katika uchaguzi uliopita Sheikh Ponda allibukia kuiunga mkono CHADEMA na akatoa kuwa 'WAISLAM TUMEKUBALIANA KURA ZOTE ZA URAIS TUTAMPIGIA TUNDU LISSU'. Kauli hii iliungwa mkono kwa kiasi kikubwa na Waislam isipokuwa Bakwata ambao mkakati wao wamejiegemeza zaidi kwa CCM. Bahati mbaya kwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mwaka Jana nilikuwa na mpango wa kutoa kitabu cha Facebook Ads Manager, lakini sikufanikiwa kwa sababu hii

    Kwenye laptop niliyokuwa ninatumia kukiandaa, nilikuwa nimetengeneza Folder maalumu kwa ajili ya kazi hiyo. Ndani yake nilijaza screenshot ya hatua zote (muhimu) ambazo mtu yeyote (beginner) anaweza akazifuata na kuishia kutengeneza matangazo ya Sponsored ads yenye matokeo mazuri. Ila kila...
  11. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi ya kuchoma yaniingizia tsh milion 24 kwa mwaka

    Mwalimu WA Hesabu nimerudi Mahesabu ya kupata milion 24 haya hapa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Napendekeza mwaka 2025 Waziri Mkuu apeperusha bendera ya CCM kuwania kiti cha urais

    Nimekuwa nikifuatilia hotuba, maamuzi, ushauri, ufuatiliaji wa shughuli za Serikali na kufanya kazi kama timu moja napendekeza Mhe. Waziri Mkuu apeperushe bendera ya CCM mwaka 2025 kwa nafasi ya mgombea wa CCM kama Rais.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini chuo cha MUST Mbeya kinawafanya wanafunzi warudie mwaka wa masomo kwa sababu mifumo inasumbua. Hasa wa Diploma

    Nimeona niulize huku labda naweza pata msaada wa mawazo tofauti kwa watu wanaopitia hii changamoto. Nna ndugu yangu amesotea Diploma pale MUST Mbeya kwa miaka mitano badala ya mitatu na mpaka sasa hivi bado hajatoboa, na tatizo sio kufeli. Ni mifumo yao. Wanaambiwa mfumo umebadilika so mwalimu...
  14. T

    JamiiForums Tanzania 2/10/2023: siku 90 zimebaki, mwaka 2023 kumalizika. Nini umeshindwa kukitimiza na ulikipanga ?

    Habari wakuu. Katika maisha kuna malengo na matamanio ambayo mwanadamu huyaweka ili kuyatimiza ndani ya kipindi flani lakini maisha yana mambo mengi waswahili husema mipango sio matumizi, unaweza kupanga vingi na ukashindwa kuvitimiza. Wengine hupanga mipango kuhusu mahusiano wengine ujenzii...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tarehe 30 mwezi wa 9 kila mwaka ni siku ya utafsiri duniani. Hivi hapa ni vitabu kumi vilivyotafsiriwa zaidi duniani na nchi kumi zinazotafsiri zaidi

    Siku hii ilianzishwa kumuenzi St. Jerome. Huyu alikuwa mtu wa mwanzo mwanzo kutafsiri biblia. Tarehe 30/9 ni siku yake ya kufa. Utafsiri umechangia sana katika kusambaza maarifa duniani. Hata vitabu maarufu na vilivyopendwa na wengi Tanzania kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Abunuwasi, Mashimo ya...
  16. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna kanisa hujiungi hadi usome mwaka mzima na ufaulu mitihani

    Hili kanisa lenye makabila 12 ya Israel Wapya wa Kiroho, Kanisa la Mlima Sayuni ni kanisa pekee duniani ambalo hujungi mpaka usome mwaka mzima na kufaulu mitihani mitatu kwa ufaulu wa zaidi ya alama 95%. Maelfu wakifanya mtihani
  17. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukomo wa mara ngapi mtu ana fall in love kwa mwaka

    How many times would a man fall in love in his life time?
  18. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Milioni 50 kwa Mwaka

    Habari za Wakati huu; Uzi huu ni Maalum kwa ajili ya kujadili Namna ambavyo unaweza kutengeneza Milioni 50 kwa Mwaka kulingana na mahali ulipo,Ujuzi na uzoefu wako pamoja na shughuli zako za kiuchumi.Karibuni tujadili kwa pamoja.Nitaweka kwenye Comments Namna mbalimbali kwa kadiri ya Mahali...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mawazo binafsi: Kwanini Tanzania tusiahirishe Uchaguzi Mkuu wa 2025 hadi mwaka 2026 ili kupata Katiba mpya?

    Serikali imepanga kutoa elimu ya katiba. Inaonyesha hadi mwaka 2025 katiba Mpya itakuwa haijapatikana kwa sababu elimu itakuwa inaendelea kutolewa. Sasa, kwanini Uchaguzi Mkuu usiahirishwe Ili ufanyike mwaka 2026 tukiwa na katiba Mpya?
  20. U

    JamiiForums Tanzania Tazama orodha ya Makanisa duniani na mwaka wa kuanzishwa kwake!

    Wadau hamjamboni nyote? Sabato njema Nimeweka Orodha ya Makanisa duniani kwa kuzingatia mwaka wa kuanzishwa na jina la muasisi wake. Nimevutiwa kuona kanisa langu limeasisiwa mwaka 1844 Karibuni tujadili na tupate elimu Kama Kuna makosa yeyote kwenye takwimu hizo basi tunaomba muwe huru...
Back
Top Bottom