Tanzania kuna kanisa hujiungi hadi usome mwaka mzima na ufaulu mitihani

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Jul 19, 2021
2,791
8,005
Hili kanisa lenye makabila 12 ya Israel Wapya wa Kiroho, Kanisa la Mlima Sayuni ni kanisa pekee duniani ambalo hujungi mpaka usome mwaka mzima na kufaulu mitihani mitatu kwa ufaulu wa zaidi ya alama 95%.

1695946354585.png


Maelfu wakifanya mtihani
 
Back
Top Bottom