Bondia Hassan Mwakinyo afungiwa kujihusisha na mchezo wa ngumi mwaka mmoja

Cicadulina

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
961
2,345
Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) imemfungia Bondia Hassan Mwakinyo kujihusisha na mchezo wa ngumi nje na ndani ya Tanzania kwa muda wa mwaka mmoja na faini ya shilingi milioni 1

Hatua hiyo imekuja kutokana na kugomea pambano lake lililokuwa lifanyike septemba 29.2023, Dar es Salaam dhidi ya mpinzani wake Julius Indongo kutoka nchini Namibia,

Siku moja kabla ya maamuzi hayo kutolewa, kupitia mitandao binafsi ya kijamii ya Hassan Mwakinyo aliandika maneno yafuatayo:

"Nilielewa mapema sana huu mchezo mchafu, nia ovu pamoja na dhamira zenu na hatma iliyotengenezwa kwa thamani ya pesa, nafikiri sasa bila kupepesa macho tunalazimika kuweka vitu wazi wazi hadharani kwenye hili, ili inapotokea tena ishu kama hii kuwe na adabu ya maamuzi hususani kwenye mchezo wetu, ni kweli pesa inaweza nunua haki na utu wa mtu lakini hio ni kwa mtu 'boya' asiyejuwa thamani na haki zake za msingi..., see you soon..."
 
hao waliomfungia jamaa ni wahuni tu kama akina sholomwamba
 
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini TPBRC, imemfungia kwa muda wa mwaka mmoja bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo kufuatia kitendo chake kugomea kupanda ulingoni katika pambano lililoandaliwa na Kampuni ya PAF Promotion mwezi uliopita.

Mbali ya kumfungia kwa mwaka mmoja, TPBRC chini ya katibu wake George Silas imempiga faini ya shilingi milioni moja huku ikisisitiza adhabu hiyo haiwezi kuzuiwa PAF kwenda mahakamani kama walivyoeleza kwenye taarifa zao kwa waandishi wa habari.
 
Sasa nae aligomaje?Ina maana hakutarifiwa mapema kuhusu mchezo?Na alikuwa wapi kugoma kabla ya siku ya pambano?Ulevi ea sifa za kijinga,sheria ifuate mkondo wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom