sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Yani google ni majasusi waliokubuhu, Sina tatizo kwa google kutunza baadhi ya taarifa zangu kama cintacts zangu lakini kuna muda wanavuka mipaka kuchungulia hata visivyowahusu.
Chukulia mfano hata humu Jamiiforums hatupendi kufichua identity zetu, kuna watu hii nchi wanaweza kutumia vyeo vibaya (corruption9 kurenew laini yako ili kureset password ya email yako, wakizama ndani ya email wanaona passwords, usernames zako za mitandao kama jamiiforums na facebook, vitu unavyosechi, n.k.
Kiufupi mtu akipata namba yako ya simu akaingia kwenye email yako anaweza kupata passwords zako zote na kujua unachofanya mtandaoni
Kwa sasa nimehamia brave browser na wala sijutii kuchukua uaamuzi huu
- Google chrome ukiitumia historia yako ya kila kitu ulichosechi kitaonekana,
- Google chrome inatunza passwords za mitandao yote unayoingia
- Google chrome wanauza taarifa zangu binafsi kwa makampuni ya matangazo (location, jinsia, umri, elimu, vitu navyosechi, n.k)
- Google chrome ina matangazo kibao,
- n.k.
Chukulia mfano hata humu Jamiiforums hatupendi kufichua identity zetu, kuna watu hii nchi wanaweza kutumia vyeo vibaya (corruption9 kurenew laini yako ili kureset password ya email yako, wakizama ndani ya email wanaona passwords, usernames zako za mitandao kama jamiiforums na facebook, vitu unavyosechi, n.k.
Kiufupi mtu akipata namba yako ya simu akaingia kwenye email yako anaweza kupata passwords zako zote na kujua unachofanya mtandaoni
Kwa sasa nimehamia brave browser na wala sijutii kuchukua uaamuzi huu
- Hali ya usiri ni kubwa na kunifanya niwe huru
- Matangazo ni machache sana, mengi yanablokiwa
- speed ya kuperuzi ni kubwa kuzidi chrome
- inatumia bando kidogo kuzidi chrome