TMA yawatahadharisha Wananchi wa Ukanda wa Pwani kuhusu mvua kubwa kwa siku 4

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,402
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa tahadhari ya kunyesha kwa mvua kubwa ndani ya siku nne kuanzia leo Aprili 17, 2020 hadi Aprili 20, 2020 katika maeneo ya Ukanda wa Pwani.

Katika taarifa yake, Mamlaka hiyo imetoa angalizo kuwa kwa siku za Aprili 17 na 20, mvua kubwa itanyesha katika baadhi ya maeneo ya Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na maeneo machache ya Tanga, Dar, Pwani na visiwa vya Mafia

Imeeleza kuwa kiwango cha athari zinazoweza kutokea katika siku hizo (Aprili 17 na 20) ni cha wastani na baadhi ya athari ni makazi kuzungukwa na maji na ucheleweshwaji wa usafiri.

Mvua kubwa inatarajiwa kunyesha katika baadhi ya maeneo ya Mikoa ya Tanga, Dar na Pwani pamoja na katika visiwa vya Unguja, Pemba na Mafia.

Kiwango cha athari zinazoweza kutokea Aprili 18 na 19 ni kikubwa ikiwemo mafuriko, ucheleweshwaji wa usafiri pamoja na kusimama kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi na kijamii.

EVueOS2XgAI-Y2z.jpg
 
Amini usiamini wachawi wana kipindi kigumu sana - JamiiForums

Jr
 
mi naona mwisho wa ndo huo ushafika sasa!
 
Nia ni nzuri lakini ina dalili za unyanyapaa. Je utajuaje kwamba unauma covid 19 kama hujapimwa ikathibitishwa?
 
Back
Top Bottom