Uchaguzi 2020 Maajabu ya Gwajima: Waumini wananyeshewa mvua, yeye anaahidi kujenga barabara kwa pesa zake mwenyewe

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF,

Tangu nimjue Askofu Gwajima, sijawahi kuona amejnga shule muhimu kama mama Rwakatale, wala hajawaji kujenga kanisa lake mwenyewe m waumini wake daima wanakaa nje, sasa haya maendeleo anayotaka kutuletea kawe yatatoka wapi.

Huyu ahadi zake ni nyingi watu inabidi tuzipime tusije tukauuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Pesa za sadaka + fungu la kumi kazi yake ni kumlipa yeye mshahara tena ule wa kawaida na zinazobakia ni kueneza injili duniani kote hadi vijijini.

Kazi ya sadaka si kujenga barabara ya umma, hapa mtu wa Mungu amekosea kabisa, huu si Ukristo. Pesa za sadaka ni mali ya kanisa na si mali ya Mchungaji, Askofu ama Paroko.
 
Kosea Kuoa/Kuolewa
Ila Usikosee Kuchagua!! Gwajima Chali
Wee vipi ukisha kosa kuoa au kuolewa itakugharimu maishani mwako,lakini maneno ya Gwajiboy hayawezi kuninyima hata usingizi.
Huyo unaemtaka badala ya Gwajiboy anakunya Tanzanite kama Laizer?Kumbuka kuna maisha baada ya uchaguzi
 
Pesa za sadaka + fungu la kumi kazi yake ni kumlipa yeye mshahara tena ule wa kawaida na zinazobakia ni kueneza injili duniani kote hadi vijijini.

Kazi ya sadaka si kujenga barabara ya umma, hapa mtu wa Mungu amekosea kabisa, huu si Ukristo. Pesa za sadaka ni mali ya kanisa na si mali ya Mchungaji, Askofu ama Paroko.
Hizo poyoyo nani anauthibitusho nazo? Gwajima kanisa lake halina mahali lipohakikiwa kama sadaka zake zinasaidia kueneza injili kwa sababu kanisa lake halina usimamizi wa kitaasisi kama zingine.ule ni mradi wake binafsi
 
Wana JF

Tangu nimjue Askofu Gwajima, sijawahi kuona amejnga shule muhimu kama mama Rwakatale, wala hajawaji kujenga kanisa lake mwenyewe m waumini wake daima wanakaa nje, sasa haya maendeleo anayotaka kutuletea kawe yatatoka wapi. Huyu ahadi zake ni nyingi watu inabidi tuzipime tusije tukauuziwa mbuzi kwenye gunia.
Kanisa lake hili hapa

Amfifiro bhana _rolling_on_the_floor_laughing__rolling_on_the_floor_laughing__rolling_on_the_f...jpg
 
Hivi kweli mwanadamu mwenye akili timamu kabisa na mwenye Roho wa Mungu, unaweza kumwamini Gwajima?

Huyu ni tapeli wa daraja la juu ambaye ameamua kuwatapeli watu kupitia imani. Ukiweza kumhadaa mtu kiimani, basi huyo ni mateka wako.

Gwajima ambaye hajawahi hata kujenga zahanati, alisema atanunua treni kwaajili ya Tanzania? Sijui pale Ikilomije kuna shetani gani maana inaonekana ni kijiji kilichowahi kutoa watu wa ajabu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom