muziki

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Kijana afariki kwa kukanyagwa na treni akiwa anasikiliza muziki

    Mkazi wa Mtaa wa Ndejengwa jijini Dodoma, Laurent David, amefariki dunia baada ya kugonga treni ya mzigo akiwa eneo la reli. Inaelezwa aliaga nyumbani kwamba anaenda kufanya mazoezi. Ajali hiyo imetokea leo, Jumamosi Desemba 30, 2023 saa 12 asubuhi kwenye Reli ya Kati. Laurent inaelezwa...
  2. Kichuguu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muziki wa Busara na Uzalendo

    Nitakuwa naweka hapa nyimbo za kitanzania ambazo mashairi yake ni ya busara na ya kizalendo kuanzia mwaka 1960 hadi leo. Jisikie free kuweka za kwako pia; nitaanza na nyimbo za 1960-1970 halafu 1970-1980, 1980-1990, 1990-2000. 2000-2010 na kumalizia na 2010-2020.
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa wamarekani weusi huchangia kuwa nyuma zaidi kimaendeleo, Vitu kama muziki wao wa hiphop sio wa kuendelea kuusikiliza unasambaza sumu

    Ni kweli kabisa wamarekani weusi walipitia utumwa lakini sio sababu ya wao kuendelea kuwa nyuma, Walichobaki kukipigia kelele ni kulipwa fidia za utumwa wa mababu zao ila ni kusubiri maembe chini ya mpera, hata waafrika wenzao weusi wanaohamia Marekani wanazidi kuwachapa gepu. Shule zipo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sina ushabiki wa kitimu kwenye muziki, ila Harmonize ni msanii wa ovyo sana

    Mimi huwa nashabikia muziki mzuri bila kuwa na U-team kama ambavyo dhana hiyo imejengwa hapa Bongo. Mfano: Team Diamond, Team ALIKIBA, Team KONDE n.k. Mimi msanii yeyote tu akiimba ngoma kali namkubali bila kujali ni Mondi,Kiba au yeyote yule. Unajua msanii ili u-maintain kwenye game ya...
  5. benzemah

    JamiiForums Tanzania Hii Hapa Kamati ya Kuratibu Tuzo za Muziki Tanzania (TMA), P Funk, Seven Mosha Ndani

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Damas Ndumbaro amefanya uteuzi wa Kamati itayohusika kuratibu Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa mwaka 2023-2024. Baraza la Sanaa la Taifa BASATA kupitia Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt Kedmon Mapana limetoa baraka zake leo kwa kamati hiyo mpya ambayo...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel imeshaua wacheza muziki na mateka. Izuiwe kujichukulia sheria mkononi

    Ukweli umeanza kujulikana kuwa waliokufa kwenye tamasha la muziki eneo la Nova wengi wao waliuliwa na helikopta za Jeshi la Israel na sio wanamgambo wa Hamas. Kuhusiana na mateka wengi wao itakuwa wameshauliwa na Israel yenyewe na wachache wametoroka na wapiganaji wa Hamas. Msemaji wa jeshi la...
  7. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania D Voice ndio future ya muziki wa bongo: Wasanii wa kibongo kazini kwao kuna kazi

    Msanii wa kizazi cha leo na kesho aliyetambulishwa recently na lebo namba moja Africa ya WCB Wasafi. Kwa jina anaitwa D Voice aka Jini aka London Boy au Temeke Boy. Huyu ndio future ya muziki wa bongo kwa ujumla. Ndio anaenda kuibeba mabegani industry ya muziki wa bongo ni suala la muda tu...
  8. Kingsmann

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuelekea Tuzo za Muziki Tanzania (TMA): BASATA yaunda kamati maalumu ili kufanya TMA kuwa na hadhi ya kimataifa

    TAARIFA KWA UMMA KUANZA KWA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA KAMATI YA KITAIFA YA TUZO ZA MUZIKI TANZANIA (TMA) Baraza la Sanaa la Taifa linapenda kuufahamisha umma wa Watanzania na wadau wote wa sanaa kuwa Kamati ya Kitaifa ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) imeanza rasmi kutekeleza majukumu yake kwa...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wakazi kaonyesha kipaji kwenye Muziki wa Taarab. Ana pesa zake nyingi kwenye Muziki wa Mwambao

    Mimi kama mtu mwenye talanta ya kuweza kuona vipaji vya watu ambapo wakati mwingine wenyewe hawavioni ninapenda kuutaarifu umma kuhusu kipaji kipya nilichokiona. Ndugu yetu Wakazi Wasira ambaye anatajwa kama mwanafamilia ya muziki wa Hiphop amekuwa akipoteza muda kurap wakati kipaji chake halisi...
  10. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa bifu zaidi ya 60 zilizowahi kutikisa Tanzania zinazohusisha wanamuziki, watayarishaji wa muziki, media nk

    Zifuatazo ni bifu zilizowahi kutokea hapa nchini ,baadhi yao ziliwahi kutokea na wahusika kumaliza tofauti zao na nyingine bado zinaendelea mpaka sasa. Clouds media vs Kalapina Clouds media vs Pfunk Clouds media vs Dudubaya Ruge vs Lady JayDee Ruge vs Sugu Ruge vs Diamond Platnumz Ruge vs...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita Azinduza Tunzo za Kimataifa za Muziki Zanzibar

    Waziri wa habari vijana utamaduni na michezo Mh. Tabia Maulid Mwita, amesema Serikali itaendelea kusimamia sanaa ya Zanzibar katika kuimarisha miundombinu itakayowawezesha wasanii kuzalisha kazi zao katika mazingira mazuri. Akizungumza katika uzinduzi wa tunzo ya Zanzibar International Music...
  12. Vincenzo Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfalme wa muziki

    Naam mfalme wa muziki Alikiba atakuwepo kama mtoa burudani siku ya ijumaa kwenye Afl super league hii ni habari mbaya kwa sadala na wenzie hii itamfanya alikiba kuangaliwa na mashabiki bilioni 5 dunia nzima
  13. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini Harmonize baada ya kuyumba kidogo kwenye muziki?

    Lazima wote tukubali moja ya products kubwa amewai zitengeneza Diamond Platnumz ni huyu dogo wa kuitwa Harmonize. Harmonize alipokuwa wasafi alikuwa anafanya vizuri sana na hata baada ya kutoka alijitahidi kwenda na upepo wa mashabiki fulani ambao ni haters wa WCB. Siku zimeenda mambo...
  14. Oscar Lyrics

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wale wapenzi wa Muziki wa Reggae

    Muziki wa Reggae ni muziki mzuri unaobeba hisia mbalimbali kama, ukombozi wa mtu mweusi, mapenzi, harakati, nk, kwa kifupi ni muziki unaogusa maisha ya mwanadamu kwa ujumla. Wasanii wa muziki wa Reggae wapo wengi ila hawa ni baadhi ya wale ninaowakubali; 1. BOB MARLEY No woman no cry Buffalo...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasafi Festival ni maonyesho ya muziki au Bongo movie?

    Wakuu ninashangazwa na kinachoendelea kwenye kinachoitwa Wasafi festival. Ikumbukwe hili ni onyesho la muziki linaloendelea mikoa mbalimbali. Kuna jambo limejitokeza ambalo mimi limenishangaza ingawa wengi wanasema ni ubunifu. Kama Wasafi Festival ni tamasha la muziki inakuwaje wasanii...
  16. Mbute na chai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Quality headphones zinaaibisha watayarishaji wa muziki (producers) bongo

    Leo nimetumia headphones QC45 za bose kusikiliza wimbo fulani wa bongo, yaani, kwa jinsi zilivyo clear kwenye kila chombo cha muziki kilichotumika, nimesikia jinsi baadhi ya vipande vya wimbo huo vilivyo na mixing ambayo haina hata quantization halafu ni wimbo mkali sana! Bora tuendelee kutumia...
  17. DodomaTZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CDEA waendesha mradi wa mafunzo ya muziki kwa vijana Dar

    SHIRIKA la Utamaduni la Maendeleo Afrika Mashariki (CDEA) linaendesha mradi wa mafunzo maalum kwa Vijana wanamuziki wanaochipukia wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwa ufadhili Braid Arts and Culture Fund, ambao watawawezesha Vijana hao kujifunza aina mbalimbali za uandishi wa muziki wa jukwaani, na...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makundi bora ya muziki kuwahi kutokea kwenye Bongo Flava

    Hii ni orodha tukufu ya makundi yaliyoweka alama kwenye muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Nyimbo zao zikipigwa hadi leo zinasisimua. 1. Hard Blasters Crew (HBC) Kundi liliundwa na Profesa Jay, Fanani na Big Willy. Albamu yao ya Funga Kazi itakumbukwa daima. Wimbo wao wa chemsha bongo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mch. Kenan Mwasomola umeongea kweli suala la muziki Kanisani

    Nimeona kwenye mitandao jinsi mchungaji kenan mwasomola alivyokuwa amewa kwa hisia kali na hasiri akikosoa uimbaji wa siku hizi makanisani kwamba sio wa roho mtakatifu. Amekosoa jinsi makanisa kutumia mitindo ya nyimbo na muziki wa kidunia kama vile Rap/R&B, Jazz, Reggae, Singeli nk na kuimba...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki kwa kwaya na ufundi wa vinanda ni sawa na samaki na maji

    Hawa Wakatoliki kwaya na ufundi wa upigaji vinanda kwao ni sawa na samaki na maji ni ngumu kuwatenganisha. Kwa kweli RC ni mafundi haswa katika upande huu wa uburudishaji kwa nyimbo zao za gospel ukichanganya na vinanda vyao. Ukikutana na mpiga kinanda fundi wa RC mpaka kichwa anatikisa huwa...
Back
Top Bottom