👉Mimi hii ndo sababu iliyo fanya nikaacha kwenda kwenye kampeni na kuachana na mambo ya siasa🥶ni maigizo haswa ya kupretend kupata service kwenye local areas
👉Hebu tuambie nawewe nini huwa kinatokea kwenye kampeni pande zenu
👉Uzi tiyari
Ni wakati ambao wasanii tena hawakutegemea hard copies ili kuuza albamu, kaseti zilikuwa zimepigwa chini, Computer zimeingia mtaani watu wana bani CD tu. Yani muziki wa bongo ulikuwa katika dillema, yani jamaa walibaki kama show off tu
Ni wakati ambo wasanii waliingia kwenye game kipindi hicho...
Mwaka 2024 umekuwa na ushindani mkubwa katika tasnia ya muziki na filamu Tanzania. Tumeona wasanii wakichanua, wakiachia kazi kali, na kushinda tuzo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Swali linabaki – ni msanii gani amefanya vyema zaidi kwa mwaka huu?
Je, ni msanii wa muziki ambaye nyimbo zake...
Wasanii wa Bongo Flava Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii
Wasanii hawa wanaendelea kutengeneza maudhui machafu yanayozidi kusambaratisha maadili ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla kwa kupandikiza vishawishi vya ngono...
Hello!
Leo ndio ile siku ya kujua wasanii waliofanya vizuri katika tasnia ya muziki Tanzania kwa mwaka 2024.
Tuzo hizi zimeandaliwa na wanachama wa jf ku represent jukwaa letu hili la jamii.
Washindi wa vipengele mbalimbali wamepatikana kutokana na utafiti na ukusanyaji wa maoni mbalimbali...
Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
Kila shabiki kuna namna alianza kupenda muziki na hatimaye akajikuta hawezi kutoka tena!
Mi nakumbuka kwenye 90s mzee wangu alikuwa na music system ambayo alitoka nayo Russia na alikuwa akiplay ngoma kama Kesi ya kanga na nyingine za kikongo, muda ullienda baadaye nikawa nasikiliza wasanii...
Msanii wa Muziki wa Afrobeats kutoka Limpopo, Maya Wegerif a.k.a Sho Madjozi amegusia suala la kuachana na Muziki wakati atakapoachia Albamu ya 'Limpopo Champions League Vol.2' ambayo amesema itakuwa ya mwisho.
Madjozi ambaye mwaka 2020 alisaini Mkataba na Lebo ya Epic Records ya Marekani...
Umaarufu na kupendwa sana kwa muziki wa Congo(DRC) imetokana na nini wakati hata raia wa nchi hii hasa wapenzi wa huo muziki hata hawajui lugha za Kifaransa, Kikongo au Kilingala?
Amapiano japo huwa hakijulikani nini huwa kinaimbwa ila naweza kuelewa unapendwa labda kwa sababu ya makelele yake...
Huyu Tayla ni binti mdogo lakini ni hatari.
Hii nyimbo aliyo toa sasa kaziba midomo ya watu.
Mwaacheni abebe tuzo zote nyie endeleeni kuruka hizo amapiano tuzo mtazisikia kwenye bomba.
https://youtu.be/uLK2r3sG4lE?si=ui8-GXtbp_qEA1UK
Hii ni habari njema kwa Music Industry yetu kwani baada ya mwaka jana (21 October 2023) tuzo hizi kufanyika BK Arena huko Kigali, Rwanda, sasa ni zamu yetu.
Tuzo za Muziki zinazoandaliwa na Trace Group, zitafanyika Zanzibar Februari 24-26 Zanzibar, Tanzania kwenye hoteli ya The Mora.
"Sasa ni...
Issue yake ya kukamatwa iko hivi, miaka minne ilyopita rapper king von ambaye ni swahiba wa durk aliuawa kwa risasi huko Atlanta akiwa anamletea usela mavi rapper mwenzake wa chicago wa kuitwa quando rondo wakamshoot
mwaka 2022 lil durk alituma member wa kundi lake la OTF (Only the family)...
WAASISI WA MUZIKI WA RAP " HIP HOP TANZANIA"
Fresh X E - jina halisi ni Edward Mtui na
ndiye hasa mwanzilishi wa kurap kwa Kiswahili katika miaka ya 1980 na alikuwa
akiimba wimbo wake kwa kiitikio cha "Piga Makofi" ambao aliubadilisha wa Run-D.M.C. Clap Your Hands, lakini hajaurekodi.
Kwa...
Hadithi ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) inazidi kupamba moto, na sasa tumebakiza siku tisa tu hadi wasanii wetu wapate fursa ya kutunukiwa heshima kuu kwa kazi zao za ubunifu. Tuzo hizi hazina maana tu ya kusherehekea ushindi, bali zinawakilisha moyo wa kujituma, ubora na vipaji ambavyo...
Ni vizuri wale wana ojua chimbuko la muziku wakatupatia historia yake fupi.
Pia naiona ni kama modern zouk hivi (zouk iliyochangamka)
Kwa wale wasiojua style ya kompa kibongo bongo wasikie wimbo wa genius ft jay melody - far away.
Enjo mix ya kompa hapa kwa wale wa spotify...
Diamond Platnumz alipokutana na Cloutas Chama na Kenedy Musonda katika uwanja wa ndege Julius Nyerere International Airport, ilikuwa ni tukio la kufurahisha, hususan kwa mashabiki wa soka na muziki. Wakati Diamond akielekea Zimbabwe kwa ajili ya shoo, wachezaji hao walikuwa wakielekea Zambia...
Hawa BASATA mbona hawaeleweki? Naona wamelaani mashabiki na wamesahau kumfungia Zuchu kwa kutukana hadharani. Je ishara ile kwao sio tusi?
Au kwakuwa amesema mitano tena basi sheria za BASATA hazimhusu?
BASATA waache kupendelea.
📖Mhadhara wa 21:
Wakati watanzania wenye akili timamu wanajiuliza hili swali; Tupate wapi njia za kuwanasua watoto wetu kwenye wimbi baya la ubakaji, ushoga, usagaji, na ulawiti? - lakini wanaibuka watu ambao tunawaamini ni kioo cha jamii (wasanii wa bongo fleva) wanakwenda studio kurekodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.