Sina ushabiki wa kitimu kwenye muziki, ila Harmonize ni msanii wa ovyo sana

Vladmir Putini

JF-Expert Member
Mar 22, 2022
777
1,442
Mimi huwa nashabikia muziki mzuri bila kuwa na U-team kama ambavyo dhana hiyo imejengwa hapa Bongo.

Mfano: Team Diamond, Team ALIKIBA, Team KONDE n.k.

Mimi msanii yeyote tu akiimba ngoma kali namkubali bila kujali ni Mondi,Kiba au yeyote yule.

Unajua msanii ili u-maintain kwenye game ya muziki vizuri, siyo tu kuimba nyimbo nzuri,personality yako kwa jamii pia inakusaidia wewe upendwe na mashabiki wa muziki mzuri.

Lakini HARMONIZE kwenye personality amefeli vibaya kabisa, na mbaya zaidi anaingiza hadi vitu flani vya hovyo kwenye mashairi yake.

Kwangu mimi HARMONIZE tangu atoke wasafi namchukulia kama msanii flani hivi wa HOVYO, LIMBUKENI,HAJITAMBUI, MSHAMBA wa kutupa ambae hajawahi kutokea TANZANIA.

HIVI NDIVYO VITU VINAVYOFANYA NIMWONE HARMONIZE NI MWEHU : 👇

1.Kuimba imba watu alio kosana nao kwenye karibu kila wimbo wake : Hapa huyu mmakonde amefeli sana siyo kidogo.

Mwanaume unakuwaje unaimba imba majungu kuwataja watu wengine, as if imekuwa taarabu sasa au singeli siyo bongo flavour tena.

Huu ni ushamba, unaweza kuta ameimba wimbo mzuri (melody) ila sasa humo ndani ya wimbo kataja tu watu kimajungu majungu.

Mfano : Nyimbo kama "WAPO" ni nyimbo moja kali sana na huwa napenda kuisikiliza, ila sasa huwa inaniboa kitu kimoja tu kwamba humo ndani kamsema Boss wake wa Zamani (Diamond).

Hata kama hajamtaja kwa jina ila unaona kabisa hapa mlengwa ni Mondi.

Mstari kama "Kama wazazi ni nguzo ya Dunia wapende wote wawili, siyo wa kike anacheka wa kiume analia lia bila msaada wowote".

Unaona kabisa hapa alimlenga mondi siyo mtu mwingine.

Nyimbo nyingine ni kama "CHAMPION REMIX" ya kontawa, unaweza kuona humo ndani kaimba upuuzi tu wa kusema sema watu,sijui kiparandezi sijui manini yani hovyo hovyo.

Sasa kwa msanii ambae tayari ulishatoka na kufika level flan hupaswi kuimba majungu ya hovyo kama hayo.

Hizo ni mifano michache tu, ila zipo nyimbo nyingi tu kaimba imba tu watu kwa majungu kisa alikosana nao.

2.Harmonize anapenda sana kutafuta huruma kwa watanzania kama siyo duniani kwa ujumla : Hivi mnakumbuka siku harmonize aje afanye interview pale airport na kuelezea SAKATA ZIMA LA KUTOKA WASAFI mpaka akalia ! Mnakumbuka vizuri ?

Aliongea akatia huruma akatoa mavhozi, na watanzania, wakenya sijui wanaijeria wakaona huruma kweli kamba jamaa alikuwa akionewa sana WASAFI LABEL na kunyonywa sana.

Watu wakamwona Diamond ana roho mbaya sana kumlipisha harmonize milion 500 ili avunje mkataba wasafi,

watu wakamwona Diamond ana roho mbaya sana kuchukua asilimia 60% ya mapato ya msanii wake kwa kila show anayofanya, mnakumbuka lakini ?

Harmonize huyo huyo kaenda kaanzisha KONDE GANG kachukua wasanii alafu kawasainisha mikataba migumu kuliko hata ile ya Diamond ambayo siku ile alilia pale kwenye interview na watanzania wakaona ni unyonyaji.

Kina Killy na CHIDY na Angela aliwasainisha mkataba ambao ukitaka kutoka kwenye Label inabidi uilipe KONDE GANG Bilion moja.

Mkumbe yeye alililia watanzania pale airport kwamba diamond alimlipisha million 500 kama ni kubwa ila yeye katoka hapo kaenda konde gang kawasainisha bilion moja ukitaka kuvunja mkataba.

Ogopa sana mtu mpenda huruma ya watu wengi, huwa wanafiki sana watu kama hawa.

3. Unafiki na maigizo : Harmonize ni mnafiki na mwigizaji wa vitu fake sana.

Unakuta kwenye ma-interview yake mengi mbele ya camera anatia huruma eti "....oooh...Mimi namheshimu sana mwenyezi Mungu na namwini kwa sababu yeye ndiyo kila kitu kwangu..."
sijui nyoko nyoko gani, then badae kesho yake instagram unaliona na mimoshi ya mibangi sijui misigara.

Sasa unajiuliza ni Mungu gani jamaa anaesema anamheshimu kwa hizi characters zake ? Labda Mungu wa wamakonde.

Mungu gani anaruhusu mitatuu hivo mgongoni eti kachora sijui li tembo, mara kajala kachorwa, yaani hovyo hovyo.

Msanii inabidi uwe na identity yako inayokutambulisha kwa watu siyo upo upo tu kinafiki nafiki hueleweki.

Kama wewe ni Bad boy kuwa bad boy jamii ikujue hivyo, kama wewe ni smart boy kuwa smart boy jamii ikujue hivyo siyo kuigiza igiza.

Si mnaona Burnay boy na mibangi yake lakini avuma kwa sababu siyo mnafiki anaishi vile yeye ameamua,

huwezi kumwona burna boy leo na mibangi alafu ukamwona kesho ana act kwenye camera eti ooh...unajua mimi namheshimu sana Mungu, Mungu yupi ? kama anavyofanya harmonize.

Waangalie kina Wiz Khalipha, snoop dog, rick ross ni mibangi, misigara na wako saccesfull kwa sababu ndiyo wamejitambulisha hivyo kwa jamii ni ID yao hawabadiliki badiliki kutia huruma na unafiki kama anavyofanyaka harmonize.

Sijawahi kuona msanii mnafiki kama huyu mshkaji, harmonize ? Duuh..

Eti kaimba "MTAJE" amemwimbia kajala, mara namjua tangu mabanda ya sinema miaka nenda rudi hazeeki,

Juzi ameachana nae anaanza kumsema kila kukicha mara "tafta wazee wenzio mimi siyo level zako".

Alafu lilivyo lijinga hata halioni aibu lenyewe limwanaume ndiyo linaongea ongea kuliko hata dem (kajala) na wala hata hamjibu chochote.

Ni aibu mno kwa mwanaume umeachana na dem alafu wewe mwanaume ndiyo unakuwa kimbele mbele kunyanyua mdomo kusema mabaya ya kipindi uko nae, huo siyo uwanaume kabisa.

Yaani mnafiki ni mtu mmoja anae stahili hata kuuwawa, kwenye MTAJE kaimba kajala miaka nenda rudi hazeeki, alafu ameachana nae anaanza kumwambia atafte wazee wenzie, kwani kipindi akiwa nae hakujua kuwa ni mzee ? 😂😂😂

Kwa unafiki tanzania harmonize ni namba moja.

4.Kuimba kwa kutaka kushindana na boss wake wa zamani; Harmonize alitoka wasafi akawa anajaribu kuimba kana kwamba kuna namna flan anataka kushindana na diamond, hapo anafeli.

Yeye angefanya muziki bila nia ya kushindana na upande flan, angeshafika mbali mno.

Hata kuanzisha lebo ni kama alikuwa anajaribu kushindana na mondi, akakurupuka kuchukua wasanii kibao mwisho wa siku yakamshinda kambakiza mmakonde mwenzie tu (Ibra).

5.Kutoa nyimbo mfululizo bila break nako ni tatizo lingine kwa Harmonize, kuna wakati anafululiza mno kutoa nyimbo bila kuzipa muda ziende viral mpaka sasa inakuwa inaboa.

Kuna mda harmonize alikuwa anatoa zaidi ya nyimbo moja kwa wiki mara kidogo album nyimbo 17 inakuwa siyo siri ya kukua kimziki hiyo.
 
Mimi huwa nashabikia muziki mzuri bila kuwa U-team kama ambavyo dhana imejengwa hapa Bongo.

Mfano : Team Diamond, Team ALIKIBA, Team KONDE n.k.

Mimi msanii yeyote tu ukiimba ngoma kali namkubali bila kujali ni Mondi,Kiba au yeyote yule.
Hiki kiumbe kina ujinga ujinga flani.....kama ambavyo umeelezea hapa
 
We mwenyew acha kufatilia maisha ya watu mbn hata mond anaimba a watu mfano bado sana,nasema nawe,niache,sikomi
Yaani "SIKOMI" unafananisha na maujinga ya harmonize.

Hivi nikikwambia nyimbo ya "NIACHE" diamond alikuwa amemwambia nani amwache utanijibu ?

Jua kutofautisha nyimbo za usengenyaji na nyimbo za hisia za mapenzi mtu bibafsi.
 
Ninakubaliana na wewe kwamba hayo mambo yote uliyoandika ni ya hovyo lakini sidhani kama yamemuathiri kama msanii.

Tukiweka utim pembeni, pamoja na yote hayo Bado amebaki kuwa juu kisanii. Hata nikipinga mimi, namba zake zinaongea.

In short kama binadamu ndio hivyo lakini kama msanii bado ni mahili sana hapa Tanzania na Africa mashariki kwa ujumla.
 
Mimi huwa nashabikia muziki mzuri bila kuwa na U-team kama ambavyo dhana hiyo imejengwa hapa Bongo.

Mfano: Team Diamond, Team ALIKIBA, Team KONDE n.k.

Mimi msanii yeyote tu akiimba ngoma kali namkubali bila kujali ni Mondi,Kiba au yeyote yule.

Unajua msanii ili u-maintain kwenye game ya muziki vizuri, siyo tu kuimba nyimbo nzuri,personality yako kwa jamii pia inakusaidia wewe upendwe na mashabiki wa muziki mzuri.

Lakini HARMONIZE kwenye personality amefeli vibaya kabisa, na mbaya zaidi anaingiza hadi vitu flani vya hovyo kwenye mashairi yake.

Kwangu mimi HARMONIZE tangu atoke wasafi namchukulia kama msanii flani hivi wa HOVYO, LIMBUKENI,HAJITAMBUI, MSHAMBA wa kutupa ambae hajawahi kutokea TANZANIA.

HIVI NDIVYO VITU VINAVYOFANYA NIMWONE HARMONIZE NI MWEHU :

1.Kuimba imba watu alio kosana nao kwenye karibu kila wimbo wake : Hapa huyu mmakonde amefeli sana siyo kidogo.

Mwanaume unakuwaje unaimba imba majungu kuwataja watu wengine, as if imekuwa taarabu sasa au singeli siyo bongo flavour tena.

Huu ni ushamba, unaweza kuta ameimba wimbo mzuri (melody) ila sasa humo ndani ya wimbo kataja tu watu kimajungu majungu.

Mfano : Nyimbo kama "WAPO" ni nyimbo moja kali sana na huwa napenda kuisikiliza, ila sasa huwa inaniboa kitu kimoja tu kwamba humo ndani kamsema Boss wake wa Zamani (Diamond).

Hata kama hajamtaja kwa jina ila unaona kabisa hapa mlengwa ni Mondi.

Mstari kama "Kama wazazi ni nguzo ya Dunia wapende wote wawili, siyo wa kike anacheka wa kiume analia lia bila msaada wowote".

Unaona kabisa hapa alimlenga mondi siyo mtu mwingine.

Nyimbo nyingine ni kama "CHAMPION REMIX" ya kontawa, unaweza kuona humo ndani kaimba upuuzi tu wa kusema sema watu,sijui kiparandezi sijui manini yani hovyo hovyo.

Sasa kwa msanii ambae tayari ulishatoka na kufika level flan hupaswi kuimba majungu ya hovyo kama hayo.

Hizo ni mifano michache tu, ila zipo nyimbo nyingi tu kaimba imba tu watu kwa majungu kisa alikosana nao.

2.Harmonize anapenda sana kutafuta huruma kwa watanzania kama siyo duniani kwa ujumla : Hivi mnakumbuka siku harmonize aje afanye interview pale airport na kuelezea SAKATA ZIMA LA KUTOKA WASAFI mpaka akalia ! Mnakumbuka vizuri ?

Aliongea akatia huruma akatoa mavhozi, na watanzania, wakenya sijui wanaijeria wakaona huruma kweli kamba jamaa alikuwa akionewa sana WASAFI LABEL na kunyonywa sana.

Watu wakamwona Diamond ana roho mbaya sana kumlipisha harmonize milion 500 ili avunje mkataba wasafi,

watu wakamwona Diamond ana roho mbaya sana kuchukua asilimia 60% ya mapato ya msanii wake kwa kila show anayofanya, mnakumbuka lakini ?

Harmonize huyo huyo kaenda kaanzisha KONDE GANG kachukua wasanii alafu kawasainisha mikataba migumu kuliko hata ile ya Diamond ambayo siku ile alilia pale kwenye interview na watanzania wakaona ni unyonyaji.

Kina Killy na CHIDY na Angela aliwasainisha mkataba ambao ukitaka kutoka kwenye Label inabidi uilipe KONDE GANG Bilion moja.

Mkumbe yeye alililia watanzania pale airport kwamba diamond alimlipisha million 500 kama ni kubwa ila yeye katoka hapo kaenda konde gang kawasainisha bilion moja ukitaka kuvunja mkataba.

Ogopa sana mtu mpenda huruma ya watu wengi, huwa wanafiki sana watu kama hawa.

3. Unafiki na maigizo : Harmonize ni mnafiki na mwigizaji wa vitu fake sana.

Unakuta kwenye ma-interview yake mengi mbele ya camera anatia huruma eti "....oooh...Mimi namheshimu sana mwenyezi Mungu na namwini kwa sababu yeye ndiyo kila kitu kwangu..."
sijui nyoko nyoko gani, then badae kesho yake instagram unaliona na mimoshi ya mibangi sijui misigara.

Sasa unajiuliza ni Mungu gani jamaa anaesema anamheshimu kwa hizi characters zake ? Labda Mungu wa wamakonde.

Mungu gani anaruhusu mitatuu hivo mgongoni eti kachora sijui li tembo, mara kajala kachorwa, yaani hovyo hovyo.

Msanii inabidi uwe na identity yako inayokutambulisha kwa watu siyo upo upo tu kinafiki nafiki hueleweki.

Kama wewe ni Bad boy kuwa bad boy jamii ikujue hivyo, kama wewe ni smart boy kuwa smart boy jamii ikujue hivyo siyo kuigiza igiza.

Si mnaona Burnay boy na mibangi yake lakini avuma kwa sababu siyo mnafiki anaishi vile yeye ameamua,

huwezi kumwona burna boy leo na mibangi alafu ukamwona kesho ana act kwenye camera eti ooh...unajua mimi namheshimu sana Mungu, Mungu yupi ? kama anavyofanya harmonize.

Waangalie kina Wiz Khalipha, snoop dog, rick ross ni mibangi, misigara na wako saccesfull kwa sababu ndiyo wamejitambulisha hivyo kwa jamii ni ID yao hawabadiliki badiliki kutia huruma na unafiki kama anavyofanyaka harmonize.

Sijawahi kuona msanii mnafiki kama huyu mshkaji, harmonize ? Duuh..

Eti kaimba "MTAJE" amemwimbia kajala, mara namjua tangu mabanda ya sinema miaka nenda rudi hazeeki,

Juzi ameachana nae anaanza kumsema kila kukicha mara "tafta wazee wenzio mimi siyo level zako".

Alafu lilivyo lijinga hata halioni aibu lenyewe limwanaume ndiyo linaongea ongea kuliko hata dem (kajala) na wala hata hamjibu chochote.

Ni aibu mno kwa mwanaume umeachana na dem alafu wewe mwanaume ndiyo unakuwa kimbele mbele kunyanyua mdomo kusema mabaya ya kipindi uko nae, huo siyo uwanaume kabisa.

Yaani mnafiki ni mtu mmoja anae stahili hata kuuwawa, kwenye MTAJE kaimba kajala miaka nenda rudi hazeeki, alafu ameachana nae anaanza kumwambia atafte wazee wenzie, kwani kipindi akiwa nae hakujua kuwa ni mzee ?

Kwa unafiki tanzania harmonize ni namba moja.

4.Kuimba kwa kutaka kushindana na boss wake wa zamani; Harmonize alitoka wasafi akawa anajaribu kuimba kana kwamba kuna namna flan anataka kushindana na diamond, hapo anafeli.

Yeye angefanya muziki bila nia ya kushindana na upande flan, angeshafika mbali mno.

Hata kuanzisha lebo ni kama alikuwa anajaribu kushindana na mondi, akakurupuka kuchukua wasanii kibao mwisho wa siku yakamshinda kambakiza mmakonde mwenzie tu (Ibra).

5.Kutoa nyimbo mfululizo bila break nako ni tatizo lingine kwa harmonize, kuna wakati anafululiza mno kutoa nyimbo bila kuzipa muda ziende viral mpaka sasa inakuwa inaboa.

Kuna mda harmonize alikuwa anatoa zaidi ya nyimbo moja kwa wiki mara kidogo album nyimbo 17 inakuwa siyo siri ya kukua kimziki hiyo.
Yes they call me boss, Kama hutaki sikuforce...

Nisamehe kama nakukera, Ila kitaa ndo kimenipa bendera,
Narusha masela mpaka walio jela, Of course of course of course...
 
Hajitambui.
 
Back
Top Bottom