muziki

  1. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wasanii wa Bongo Fleva: Sikuhizi mnaimba vitu gani?

    📖Mhadhara wa 21: Wakati watanzania wenye akili timamu wanajiuliza hili swali; Tupate wapi njia za kuwanasua watoto wetu kwenye wimbi baya la ubakaji, ushoga, usagaji, na ulawiti? - lakini wanaibuka watu ambao tunawaamini ni kioo cha jamii (wasanii wa bongo fleva) wanakwenda studio kurekodi...
  2. aka2030

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue watayarishaji muziki wa mwaka 2000 mpaka 2010

    Wakati muziki ndio unajitafuta kuna ma producer wengi walipambana sana kwa uchache P funk Master jay amit mental Said komorien Roi KGT Mika mwamba Jonnas Complex Mr ebo Lamar Dunga Baucha Bonny luv Akili the brain Shakii Enrico Kidboy
  3. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Harakati za Baba Levo kwenye muziki wa Bongo Fleva

    KUMBUKIZI YA WASANII MKOANI KIGOMA. Cliton Revocatus Chipando a.k.a Baba Levo wa kwanza kutoka kushoto enzi za ubarobaro wake, picha ya kwanza akiwa kijana mdogo kabisa, picha inayofuata akiwa kwenye show na kundi lake la OBD & GAZ akiwemo Kijukuu Zero Sifuriii ooh, huyu Kijukuu Zero Sifuri...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki

    Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki: 1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita kwenye sekta ya habari akiwa na Wasafi TV na Wasafi FM. Pia, alianzisha lebo ya muziki WCB Wasafi...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Vipengele vya Tuzo za Muziki za TMA 2024 ni Pamoto

    Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo imeanza kutangaza Vipengele vya wanavyowania tuzo za muziki nchini kwa kuanza na vipengele vitatu ambavyo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo bora wa taarabu wa mwaka na wimbo bora Afrika Mashariki, Kusini na Magharibi. Akitaja Vipengele vya...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Adele atangaza kupumzika kufanya Muziki

    Who is Adele? Jina: Adele Laurie Blue Adkins Tarehe ya Kuzaliwa: Mei 5, 1988 Idadi ya Albamu: 4 Tuzo za Grammy: 16 Mafanikio ya Nyimbo: Adele ameingiza nyimbo 19 kwenye U.K. Top 75 na nyimbo 25 kwenye Billboard Hot 100, ikiwa ni pamoja na nyimbo 8 zilizoingia kwenye Top 10. Mshindi wa...
  7. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Muziki ni infinity(hauna mwisho)

    Toka enzi za kale muziki ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo kwa wingi wa nyimbo zilizokuwepo duniani ilibidi kusiwe na melody tena but fun facts nyimbo zinaendelea kutoka zenye melody kali aina mpya za muziki zinazaliwa everyday hitsong zinaendelea kutengenezwa Kila uchwao. Muziki hauna mwisho.
  8. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Je, kunaweza kuwa na Mfalme wa BongoFlava?

    Hili jambo nimekuwa nikijiuliza muda mrefu. Ila kabla ya kwenda mbele, tupate maana ya 'Mfalme wa Muziki' fulani. Tuanze na mifano hii, ili kuweka mambo kwenye muktadha. James Brown ni Mfalme wa Muziki wa Soul, Michael Jackson ndiye Mfalme wa Pop, Robert Marley ndiye mfalme wa Muziki wa Reggae...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania KWELI Shakira aliiga ala ya muziki katika wimbo wake wa Waka Waka?

    Mwaka 2010 FIFA walimpatia nafasi Shakira ya kuandaa na kuimba wimbo maalumu kwa ajili ya michuano ya kombe la Dunia ya mwaka 2010 iliyofanyika Afrika ya Kusini. Kwa taarifa za juu ni kwamba Shakira Isabel Mebarak alitupiga na kitu kizito kwani alifanya sampling na kuiba melody ya wimbo wa...
  10. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Iwekwe siku ya kumbukumbu na kuenzi mchango wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya Kiswahili

    Katika kumbukumbu za siku ya kiswahili, sijawahi kusikia wakitajwa wasanii wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya kiswahili hasa wakati ule ambapo jamii nyingi zilikuwa Bado hazijafunguka na wengi walisthiriwa na vilugha vyao. Lakini wanamuziki wa enzi hizo kwa majitoleo na uzalendo mkubwa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Sababu Mbalimbali za Wakongwe hawa kuachana na Muziki

    Baadhi ya Wasanii Waliowahi Kutangaza Kuachana na Muziki Suma Lee Msanii huyu aliyetamba na wimbo wake wa "Hakunaga" alitangaza kuachana na muziki 2015 na kuamua kumrudia Mungu. Alisema nyimbo zake zilizobaki studio zisimame na zisitoke tena. Mzee Yusuf Alitangaza kuachana na muziki mwaka...
  12. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Tanzania Dickson Kabigumila: Wasanii wa muziki wa kidunia sio watumishi wa Mungu

    Pastor Anafunguka... Sijawahi kuona kampuni ya vilevi kama vile pombe ambayo inamtumia mteja wake mmoja aliyelewa huku anapigana na watu baada ya kulewa kwenye tangazo lake! Au amelala mtaroni kwa kuzidiwa na pombe, au amejisaidia (amejinyea na kujikojolea) huku anaongea mwenyewe maneno...
  13. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kupata nyimbo za Romain Virgo

    Hbr nashida na nyimbo za huyu msaanii Romain virgo -soul provider - stay with me na zngine Nmeshindw kuzipakua wiki sasa https://youtu.be/QiWYmjBzx7s
  14. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania P Square: Safari ya Mapacha kwenye Muziki, Migogoro na Maridhiano

    Katika ardhi ya Jos, jimbo la Plateau, Nigeria, tarehe 18 Novemba 1981, mapacha Peter na Paul Okoye walizaliwa. Kama nyota wawili wakongwe waliovutwa kwa nguvu ya ajabu, walionyesha vipaji vyao vya muziki na dansi tangu utoto wao. Wakiwa na ndoto kubwa kuliko anga, Peter na Paul walichochewa na...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kasoro: Tuzo za BMT aina Muziki unaopigwa hauendani na Waliohudhuria

    Haya ndio makosa ya mara zote yanayofanywa na waandaji wa hafla za Dar es Salaam, Wanaandaa mambo mengi yote vizuri sana lakini kwenye Burudani wanaboronga. Kwa mfano, kwenye Tuzo za leo 90% ya waliohudhuria ni Wazee, tena Wazee hasa, yaani Waziri Mkuu ndio miongoni mwa vijana waliopo, sasa...
  16. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Mdororo au anguko la Hiphop Tanzania

    Mdororo au anguko la HopHop Tz!? Kuna msemo wa waingereza wanasema,"kimya cha marafiki zangu kinanighasi zaidi ya kelele za maadui zangu". Familia ya wanaHip Hop Tz kwa sasa wamepoa sana,wapo kimya sana kiasi kwa sisi mashabiki ni bonge la ghasia,binafsi inaniudhi. Angalia mfano huu,juzi juzi...
  17. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Wadogo zangu ngoja niwape stori fulani hivi kwenye muziki wa HipHop nchini Marekani

    Miaka ya 2000 kulikuwa na wanamuziki wanne wenye majina makubwa ambao hao waliamua kuwaita kwa jina la Big Four yani Jay Z, Nelly, DMX na Eminem. Huyu jamaa unayemuona kwenye picha aliibuka tu na kuanza kupiga kelele mitaani na Mixtape yake fulani hivi. Hakuna yeyote kwenye hii Big Four...
  18. tpaul

    JamiiForums Tanzania Taja aina ya muziki usioupenda

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa mujibu wa nguli wa muziki wa dansi nchini, marehemu Remy Ongalla, muziki ni burudani, furaha, huzuni, nk. Hapa anamaanisha kuwa muziki ni kila kitu. Hakuna binadamu aliyekamilika asiyependa kusikiliza au kucheza muziki. Pamoja upenzi wa...
  19. Sauti Moja Festival

    JamiiForums Tanzania SoC04 Changamoto ya kuheshimu haki za binadamu na jinsi filamu, muziki, na sanaa zinavyoweza kusaidia kufikia Tanzania bora

    Kuheshimu haki za binadamu ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili jamii nyingi duniani, na Tanzania haiko nyuma katika hili. Kwa muda mrefu, kumekuwa na matatizo ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kama vile ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza, ubaguzi wa kijinsia, na ukosefu wa usawa wa...
  20. Abubakari Mussa

    JamiiForums Tanzania JBL party box mwamba wa muziki mnene

    Mdau , leo nakutupia hii apa Wewe unapenda mziki mkubwa? Chukua hili dudeee Hutojutiaaa Swipe kulia kuona video 👉🏽 JBL boom box 2 - 1,200,000/= JBL party box 310 - 1,650,000/= JBL party box 710 - 2,200,000/= Tupigie au whasapp - 0692690033 Tupo kariakoo mtaa wa aggrey...
Back
Top Bottom