Dodoma: Kijana afariki kwa kukanyagwa na treni akiwa anasikiliza muziki

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,566
Mkazi wa Mtaa wa Ndejengwa jijini Dodoma, Laurent David, amefariki dunia baada ya kugonga treni ya mzigo akiwa eneo la reli.

Inaelezwa aliaga nyumbani kwamba anaenda kufanya mazoezi.

Ajali hiyo imetokea leo, Jumamosi Desemba 30, 2023 saa 12 asubuhi kwenye Reli ya Kati. Laurent inaelezwa alikuwa amekaa juu ya reli akisikiliza muziki kwenye spika za masikioni, hivyo hakusikia honi za treni.

Athumani Sweya, aliyeshuhudia tukio hilo amesema aliiona treni ilipokuwa inapita na ilipiga honi lakini kijana huyo hakusikia.

Anasema alipotaka kumsukuma ili atoke relini treni tayari ilikuwa imeshafika na kuigonga.

David Zabron, baba mzazi wa Laurent, akizungumza akiwa eneo la tukio amesema kijana wake aliondoka nyumbani saa 11 alfajiri akisema anaenda kufanya mazoezi uwanjani.
 
Pole Sana , vijana wanakufa Sana aisee
 
Unaweza sema hakusikia honi kumbe sheitwani alimng'ang'aniaa hadi akagongwaa hapo..
Jamani tukitoka ma kwetu tukumbuke Mungu jamani tusali kila hatua dua.
 
Daah kuna haja sasa nipewe tenda ya kuzungushia reli uzio au nipewe tenda ya kusambaza vijana maeneo reli inapopita kufunga maspika ya matangazo ya tahadhari.may his soul rest in peace
 
Back
Top Bottom