Nyimbo gani inaendana na hali yako ya mahusiano?

maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,046
4,608
Hope mpo good mapopo wenzangu

Kulingana na maisha yako ya mahusiano nyimbo gani inaendana na hali yako ya mahusiano

Binafsi "cry no more" ya breezy ndo inanifariji kidogo
Pia nyimbo ya Khalid "bad luck"
 
don't tell me ๐Ÿคฆ๐Ÿพโ€โ™€๏ธ
My heart now is going ding dong ding dong..!!
Which type of limbwata you have keep into me dear..?

Mpk nimeandika kiingeleza yani we jua nakupenda sanaaaaa.. hata hilo neno naona halitoshi! Natamani hata nikumeze tu ndo nilizike..
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mbona kingeee
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mbona kingeee
So please don't let me down lady.. I only speak and write English in a real situation.. I don't know where it come from what i know your love makes me to do it so..๐Ÿ˜…

Ningependa kusikia jibu lako zuri mahabuba.. usiniweke kwenye kitendawili nikapatwa na dhoruba!.. njoo tuishi wawili kwa penzi lililoshiba..
Sema nami mrembo..๐Ÿ˜‰
 
jamani kupendwa raha๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
jamani kupendwa raha๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
Weye je hunipendi..?
Hutaki kuniruhusu kulishika pindo la vazi lako..?
Vipi je,hutaki pia nikuimbie mapambio ya kuusifu mwili wako uliojaa vizuri na kubonyea pale palipostahili.. niruhusu niitandaze mikono yangu kwenye mwili wako ili uione kazi ya ufundi stadi iliyotukuka..๐Ÿ˜‰
Urembo wako usiopimika unaufanya urijali wangu kuweweseka mbele yako!,nimekupa Moyo wangu,chagua langu tukaishi mbali na mwewe!
Nitakilinda hata kimvuli chako kisichezewe!.. nauthamini hata ukucha wako unaozalishwa na kiumbe nimpendae!
Nipe nafasi ya upunje nikuonyeshe ya nafsi yalivyomatamu usiwakumbuke hata kina andunje..
 
Back
Top Bottom