Acha ujinga sie tunazungumzia pilau,we unazungumzia ugali...Hakuna performer Kama DIAMOND PLATINUMZ
unajua sisi waafrika kinachotuponza ujuajiMi huwa napenda sana kuangalia live perfomance za mbele kiasi ambacho nikiwaangalia hawa wasanii wetu wa bongo,hawanishawishi kabisa..kama juzi kwenye simba day walivyokuwa wakiimba dah nilikuwa naona kama wananizingua tu kiasi ambacho kama ndo ingekuwa ndo naangalia tv ningepeleka mbele...angalia show ya jay z na alicia keys ya newyork empire state of mine,angalia p-diddy show aliyopiga london katika kumbukumbu za queen elizabeth,kaangalie mtaalamu ja rule miami beach,kid ink show me miami beach...acha na hizo kuna huyu jamaa anaitwa ed sheran dah jamaa hawabahatishi
Mimi napenda kazi nzuri,sipendi kujuana..mtu kama anafanya kazi nzuri hata kama hanijui mimi huwa namsifia tu,mi sina roho mbaya jamaa..kitu kizuri hata kama hukioni "live" utaona tu kuwa ni kazi nzuri,kusifia mtu hadi awe anakujua au awe mnajuana ni aina nyingine ya ROHO MBAYA na UCHAWI...jirekebishe jamaaunajua sisi waafrika kinachotuponza ujuaji
kila kitu unataka tufanane na hao wazungu
show zenyewe unaangalia kwenye TV bure halafu unalalamika
wapo wanaoimba live hapa Tanzania ila huwendi kazi lawama na kuwasifia wapuuzi wasiokujua kabisa
Hakuna live shows ninazozikubali kama za congorese rhumba... Ferre gola, werason, jb, adolph domie, ipupa
Sikudanganya.. ila nyie ndio mliunganisha matukio mawili tofauti na nilichopost mimi...Wewe ndio yule ulidanganya kuhusu ajali ya mwanafunzi UDSM aliyegongwa na gari akafa mwaka 2012?
Hans Zimmer anajua sana vipi unamfuatiliaga Enya?Mkuu Nafaka ahsante sana kaka, nimekuwa nikifatilia sana hii sound track ya Gladiator, now we are free, nimeona version mbali mbali kutoka vikundi tofauti, bila Shaka Hans Zimmer aliumiza ubongo sana katika kutoa hii kitu, hii ni moja ya sound track bora kabisa kuwahi kutokea kwa miaka ya hivi karibuni. Wasanii wa Tz wana cha kujifunza hapa. Na pia utaona umuhimu wa kuwa na Arena zenye viwango.