muongozo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba muongozo wa namna ya kuJibu hili swali kuhusu private company vs foreign company

    Isabela na wenzake 67 wanaushirika kwenye kampuni ya kitalii huko Venezuela. WakiJua kabisa Tanzania invavivutio vingi vya utalii basi wamewiwa kuJa kuwekeza Tanzania kwenye sekta hiyo ya utalii lakin hadi sasa wana machaguo mawili na wasijue nini cha kufanya. Ambayo ni 1.kuanzisha kampuni ya...
  2. Wenye uzoefu wa kuishi kwa ndugu nipeni muongozo

    Binafsi mwezi huu wa tatu hivi karibuni nilisafiri kwenda mkoa X ila ni ndani ndani mpakani na Msumbiji huku. Kwakuwa ni kwa kaka yangu sikua na mashaka kwenda, bro ameshaoa tayari na pia ana watoto wawili sema anaeishi ni mmoja mwingine yupo kwa shangazi (yaani bibi) Haya wiki ya kwanza picha...
  3. Aliyewahi kupata mikopo inayotolewa na Halmashauri atusaidie muongozo

    Wakuu nasikia halmashauri wanatoa mikopo kwa ajili ya vijana. Je, kuna yeyote humu ambaye amewahi kukopa. Atupe muongozo, kama vile masharti yao, riba zao,na kiwango wanachotoa, nk
  4. Tupeane muongozo juu ya maneno mapya toka TUKI

    Hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa maneno na maana zake. Ni katika kukuza lugha ya kiswahili nami nimekutana na maneno kadhaa hapa naomba tuendelee kushea ili kufahamu mengi zaidi kadri mtakavyopata. Yangu ni haya: 1. Kisopwa -Mwanamke anayependa kuomba omba hela hovyo. 2.Kifuvu -Mwanamke...
  5. Dkt. Slaa wewe ndio mpotoshaji mkubwa, Katiba ndio muongozo na jibu la kila kitu. Hii tuliyonayo sasa ina mapungufu makubwa

    Dunia nzima inafahamika kuwa katiba ndio supreme law of the state. Leo hii sisi watanzania tuna katiba ambayo ilitungwa mwaka 1977. Na ukiangalia ilikuwa ikireflect kujibu matatitizo na kero zilizokuwepo wakati huo. Ndio maana kumekuwepo na mabadiliko ya katiba hapa nchini kwetu zaidi ya mara...
  6. S

    Nataka kufanya biashara ya kuuza mbuzi viwandani. Ni viwanda gani wanalipa vizuri?

    Nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi Ila niuze viwandani na sio mnadani, ni viwanda gani wanalipa vizuri na hawasumbui ulipaji? Na utaratibu ikoje? Naomba muongozo
  7. K

    Naomba muongozo wa kujiunga na VETA kwa kozi fupi ya miezi mitatu

    Habari wana JF, Nilikua naomba nipate mwongizo nataka kujiunga VETA koz fup miez 3 ya ICT mwaka huu nahitaji mawasiliano nao veta DSM au mwenye kua na habari wanaanza lin na bei anifahamishe nitashukuru.
  8. C

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2022

    Habari wakuu, Kuna wadogo zetu wamepata matokeo yao ya kidato cha nne. Ni ngwe muhimu sana kwenye maisha yao, kwa sababu ndio inayotoa upepo awe nani baadae kitaaluma kwa uchaguzi anaofanya sasa japo kwa baadhi wanaweza kuwa na wigo mpana wa kuchagua tena baadae. Hapa jukwaani kuna wengi ambao...
  9. Z

    Kwanini kitabu cha Muongozo wa Utoaji Haki za Wanawake kimeandikwa kwa Kiingereza

    Jana Mhe .Rais Samia alizindua Kitabu cha muongozo kwa Majaji na Mahakimu kinachohusu jinsi ya utoaji wa Haki za wanawake na watoto ktk kesi za mirathi ndoa na talaka n.k. Sisi wananchi tunashukuru kwa hatua hiyo lakini tumeshangaa sana kuona kitabu hicho kuandikwa kwa lugha ya kizungu wakati...
  10. Nakuja Dar es Salaam kwa mara ya kwanza, nipeni muongozo huu

    Wakuu habari! Mimi ni mtanzania kijana nilie graduate chuo mwaka huu nikitokea mkoani kanda ya ziwa, kwanza niweke wazi kutokana na trend ya ajira ilivyo nchini nimeamua kupambana na kuhangaika mwenyewe katika nyanja ya kujiajiri maana nikitegemea ajira ya serikali naweza kufa njaa na ndoto...
  11. Nafikiria kuanzisha kampuni binafsi ya upelelezi, je hii inawezekana kwa hapa Tanzania?

    Habari wadau, Nimekuwa nikawaza mda mrefu kufungua kampuni binafsi ya kufanya upelelezi na kutoa ulinzi wa VIP's yaani wale watu maarufu na familia zao kama Mo-Dewji, Diamond n.k Kampuni yangu pia itahusika katika kufanya upelelezi kwa watu binafsi na serikali na kukabidhi repoti kwa wateja...
  12. M

    Naombeni ushauri na muongozo wa kazi za viwandani

    Habari ndgu zangu, Kijana wenu hapa nimekuja kuomba msaada kwenu. Kwasasa sina mtaji hivyo nimeamua kuliko kukaa bure tu na kusubiri vya kupewa nimeona bora nijikite huko VIWANDANI. Hivyo basi nimekuja hapa kuomba kujuzwa namna ya kupata hizo kazi, natakiwa kua na nini na nini ili nipate...
  13. Waziri Simbachawene acha maigizo, mpe IGP muongozo wa COVID-19 na dhana ya Mikusanyiko

    PICHA: Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, akisonga ugali wa wafungwa katika Gereza la Isupilo, Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa, alipolitembelea gereza hilo katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa taasisi zake mkoani humo. Mkuu wa Wizara ya mambo ya ndani aache hizi Comedy, Ni...
  14. Je, ni sahihi kwa wapendanao ( wanandoa & wapenzi ) kutumia video za ngono kama muongozo wawapo faragha?

    Andiko hili ni mjadala wa wakubwa kama upo chini ya miaka 18 tafuta andiko linalokufaa. Pesa ni nzuri ila ngono ni tamu. Mimi Baba Morgan ni miongoni mwa wachache tunaoamini kuwa video za ngono zilikuja kwa nia njema ya kututoa tongo tongo juu ya maswala mazima yahusianayo na tendo la ndoa kama...
  15. Wizara ya Afya yatoa muongozo wa kujikinga na COVID19 kwa taasisi za elimu

    Mwongozo huu unalenga kuweka mazingira wezeshi katika maeneo ya Taasisi za elimu ikiwa ni pamoja na; Vyuo, shule za sekondari, shule za Msingi, shule za awali na vituo vya kulelea watoto wadogo mchana (Day care centres) kabla ya wanafunzi kurejea shule na vyuo na kuendelea na masomo katika...
  16. Naomba Muongozo kutoka kwa serikali: Je, mwaka huu kutakuwepo sikukuu za Nane nane?

    Wakuu Kwema! Nafahamu viongozi wengi wa serikali wanapita humu JF. Naomba kujua Kama mwaka huu kutakuwa na sikukuu za Nane nane. Ili wakulima tujue tunafanyaje. Natanguliza shukran
  17. Helo am new here,

    Helo am new here, naomba muongozo wa jins gani naweza kupost bidhaa zangu za sofa cover kwa kitengo cha biashara, asanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…