Muongozo wa namna ya kwenda Israeli kuungana nao kuwapiga Hamas na wapalestina

Nikiwa kama mjukuu wa kilebwe kupitia kitukuu wa mjukuu na mtoto wa malikia sheba babu yangu ni yule kitukuu ambaye babu yake ni mjukuu wa kitukuu wa mtoto kupitia mimba ya nabii Suleiman kwa malkia wa sheba.......Nasema naomba muongozooo chapu.........
 
Hahaaaaa
 
Taifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa.

Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza na baada ya hapo west bank.

Kuna utaratibu uliowekwa?
Ni Vita Siyo operesheni.
 
Hebu acha udwanzi, kaa kwa kutulia ujenge nchi yako
 
Taifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa.

Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza na baada ya hapo west bank.

Kuna utaratibu uliowekwa?
Wewe ni Mtanzania mwenzangu kweli?

Una maoni gani kuhusiana na ardhi yetu ya Loliondo na mkataba wa bandari?
 
Watanzania siwezi kuwapigania maana ni waoga. Lissu kala risasi na Saanane kapotezwa wao wametulia tu.
 
Back
Top Bottom