muongozo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mziwanda Wa Mziwanda

    JamiiForums Tanzania Muongozo Wa Biashara ya microfinance

    Habari Zenu wakuu!!!! Nataka anzisha biashara ya MICROFINANCE lakini Nimefanya utafiti nimeona lazima niwe na mtaji wa 20M ndo nipate kibali BOT , Sasa apa nikipiga hesabu kufikisha 20M ,Ni mpaka mwakani 2026, kwa savings zangu nazofanya kwa Sasa! Swali Je, hii biashara huwezi kuiendesha...
  2. Frankmarium International

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya muongozo wa thamani za madini

    Je, umekuwa ukifanya Biashara ya Madini ya Vito pasina faida au kutokuzitambua Thamani zake halisia ? T-TanzaniteGram Blog ndio suluhisho la pekee. Nunua Vitabu vitakavyo kupatia mwongozo wa Thamani za Madini ya Vito aina zote kwa mwaka 2025. WATAALAMU. Thamani zilizo orodheshwa ndani mwa...
  3. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo wa kwenda kushtaki jirani ambaye anachanganya madawa yenye sumu Kali ya kuua wadudu shambani

    Husika na kichwa Cha Habari Wadau naombeni muongozo hapa, je hii kitu ni sawa? Kwenye makazi ya watu mtu nyumbani kwake anachanganya sumu Kali zenye harufu Kali za kuua wadudu mashambani na kwenye mazao , hivyo harufu inasambaa kwa majirani na watoto are present Hivi hizi sumu si ndio...
  4. black-tz

    JamiiForums Tanzania Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming

    Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming. Kupitia mfumo huu mpya, mtumiaji wa simu ataweza kuunganishwa na mtandao wowote uliopo karibu; bila kujali kampuni ya simu ambayo amesajili laini yake. 📶...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tunapoenda kuanza mwezi June; Aya hii ikusaidie, iwe muongozo kwako.

    TUNAPOENDA KUANZA MWEZI JUNE; AYA HII IKUSAIDIE, IWE MUONGOZO KWAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Isaya 48:17 Bwana, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni Bwana, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata. Nisikie! Mungu...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live from Four Points by Sheraton DSM: Uzinduzi wa Muongozo Mpya wa Huduma Biashara za Sekta wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC)

    Wanabodi Niko hapa hoteli ya Four Points by Sheraton jijini DSM kuwaletea uzinduzi wa muongozo mpya wa ufanyaji biashara wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) ili Kurasimisha Biashara Ndogo Ndogo na Biashara ZIsizo Rasmi za Sekta Binafsi. Karibuni Paskali
  7. Governor of Bettors-GB

    JamiiForums Tanzania WIZARA ya elimu ingetoa Muongozo unaohusu Haki za Mtoto na Mzazi ju ya muda wa Shule kulingana na Umri Darasa la nne na la Saba

    Kama Mzazi WIZARA ingetoa MUONGOZO unaohusu Haki za Mtoto na Mzazi ju ya muda wa Shule kulingana na Umri Darasa la nne na la Saba A) WATOTO kutakiwa kwenda Shule siku za Sikukuu za kitaifa Sikukuu zoote watoto baadhi ya Shule wanatakiwa kwenda Shuleni Na hata kesho,watoto hao badhi...
  8. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Serikali na wadau Wana muongozo Gani juu wagonjwa na watu wa namna hii?

    Kuna familia ipo jirani na Mimi,ni familia duni Kwa kweli, mke na mume walikuwa watu wa vibarua vibarua TU Sasa limetokea tatizo Baba amepata stroke, mwili umepooza ni mwaka wa nne huu , akiwa hapo hapo kitandani akapata tena shida ya macho na Sasa macho hayaoni mke ndo anamuuguza Kwa maisha...
  9. Anastasia21

    JamiiForums Tanzania Muongozo kuijunga team ya mpira hasa mwanamke?

    Jaman naweza pata muongozo au mwenye uelewa na team za mipira Kwa mtoto wa kike inatakiwa uwe na kigezo gani? Yaan inshort requirements?
  10. Fene

    JamiiForums Tanzania Muongozo biashara ya vyombo

    Salaam Wanajukwaa. Kama heading ijielezavyo, katika kuendelea na harakati, leo Wanajf nimekuja tena kuomba muongozo wa biashara ya vyombo kwa mwenye kuijua hata kwa uchache wake 1.Je kwa uchache at least mtaji uanzie kiasi gani. 2.Kama nitaanzia kwa mtaji mdogo bidhaa zipi sio za kukosa au za...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa jinsi ya kuwa mke mwema

    Uwe tayari kwa sex wamesahau.
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kutoa Muongozo wa Kuajiri Wanaojitolea

    SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA KUAJIRI WANAOJITOLEA Serikali imeeleza kuwa iko hatua za mwisho kukamilisha mwongozo utakaoangazia jinsi ya kuwaingiza katika mfumo watumishi wanaojitolea nchini. Hayo yameelezwa, Jumatano, Januari 29, 2025, na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa...
  13. chrispny

    JamiiForums Tanzania Walifungiwa app za mikopo walichokifanya ni kubadilisha majina ya hizo app na bado wanaendelea kufanya utapeli

    Habari wana JF. Kuna suala linaloendelea juu ya app za kukoposhe ONLINE. Hii mikopo imekaa kiunyonyaji sana. Mtu anakopa pesa online anapewa lakini mwisho wa siku usumbufu unakuja kwa watu ambao hawahusiki na huo mkopo. Nimekuwa nikipokea message kutoka kwa hawa jamaa wakidai nimewekwa kama...
  14. notyfeky

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa biashara ya mifuko

    Habari nduguzangu. Kuna hii mifuko inayotumika kubebea mahitaji mbalimbali ya nyumbani, ambayo rejareja huuzwa 200, 300 na 500. Bei ya jumla inauzwaje? Na je inakaa mingapi? Inapatikana wapi kwa Dar es Salaam. Nataka kuagiza nizungushe kwenye manuka kwa bei ya jumla jumla.
  15. MUCOS

    JamiiForums Tanzania Muongozo: Wapi naweza kuprint vitabu vyangu?

    Wakuu heshima kwenu. Nina vitabu vyangu nahitaji kuviprint. Tafadhali mwenye kujua kampuni nzuri au mtu mzuri kwa hapa Dar Es Salaam ninayeweza kufanya naye kazi haraka anipe muongozo tafadhali. Nahitaji wachapishaji wazuri wenye gharama wezeshi(affordable) na wenye kukamilisha kazi kwa...
  16. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya China yatoa muongozo muhimu na kuwa kichocheo katika juhudi za Afrika kuelekea usasa

    Katika mwaka 2024, Afrika ilichukua nafasi kubwa kwenye ajenda ya maendeleo ya kimataifa, ikionesha uthabiti wa bara hilo na uhusiano wake wa kina na China na nchi za Dunia ya Kusini kwa ujumla katika medani ya kimataifa. Kuanzia Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi Zisizofungamana na Upande wowote...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar, Nahitajika kuwa na vitambulisho gani?. Naenda kutafuta kazi.

    Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo...
  18. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Kijana wenu anahitaji muongozo

    Wataalamu wa mambo toeni mwongozo
  19. mrPhysics

    JamiiForums Tanzania Wajuvi wa rotary scholarship naomba muongozo

    Wanajanvi habari za wakati hu, Samahani kwa yoyote mwenyewe ABC Za rotary club of osterbay scholarship, I mean when to apply, inatumia muda gani kutoa majibu na majibu yanamfikiaje applicants please share here Thanks in advance
  20. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kama FB,Instagram na Whatsup ili kuwafikia watu wengi zaidi kibiashara

    Naamini miongoni mwenu kuna wanaotumia mitandao ya kijamii kibiashara nami nahitaji kuwa miongoni mwao.Nahitaji kuwafikia watu zaidi kupitia mitandao hii kwa ajili kuwafanya wawe aware na uwepo wangu kwenye biashara fulani.Nimeilenga mitandao 3.Insta,FB na Whatsup.Pia kama kuna yeyote mwenye...
Back
Top Bottom