mungu

  1. JamiiForums Tanzania Ni Mungu gani anaesaidia mtu Mzinifu na anaezaa nje bila ya Ndoa?

    Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na Demu analalamika kuachwa na Jamaa baada ya kupewa Kibendi. Kama unavyojua penye watu hapakosi neno, basi watu wakaanza kutiririka kumpa pole na kumwambia yule Dada kuwa Mungu atamsaidia na mtoto wake. Watu wengine wakawa wanamwambia wanamuombea...
  2. JamiiForums Tanzania Mungu alimtumia Nabii T.B Joshua kama alivyomtumia Mtume Paulo

    MUNGU ALIMTUMIA NABII T.B JOSHUA KAMA ALIVYOMTUMIA MTUME PAULO. USHUHUDA WA MKE WANGU KUPONA COVID 19 BAADA YA KUMUOMBEA KWA KUTUMIA MEDIUM YA NEW ANNOINTING WATER YA TB JOSHUA. Leo 22:30hrs 20/01/2021 Bwana Yesu atukuzwe ndugu zangu,Namshukuru Mungu kwa sababu ya neema yake kuu juu yangu na...
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO mtihani wa umeme mliowaingiza watanzania ni mkubwa sana, ila Mungu anawaona

    Swala la umeme nchini mwetu linafikirisha sana,ni mzigo mkubwa sana,ambao watanzania tulio wengi tunashindwa kuubeba.Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna anayepaza sauti yake kuongelea swala la umeme,si Wabunge,viongozi wa vyama vya siasa au viongozi wa dini,kila mtu amefumba kinywa,kuna nini...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Neno la Leo Januari 10, 2024: Maombi Yenye Nguvu

    Naye Eliya akapanda juu mpaka kilele cha Karmeli; akasujudu kifudifudi, akainama uso mpaka magotini. Akamwambia mtumishi wake, Kwea sasa, utazame upande wa bahari. Akakwea, akatazama, na kusema, Hakuna kitu.*Naye akanena, Enenda tena mara saba. Ikawa mara ya saba akasema, Tazama, wingu...
  5. JamiiForums Tanzania Sadaka ya kweli ni ipi?

    SADAKA YA KWELI NI IPI? Mtoto mmoja alikuwa amesimama, bila viatu, mbele ya duka la viatu akitetemeka kwa baridi. Mwanamke mmoja alikuja na kusema: "Rafiki yangu, unatafuta nini hapa au umependezwa na dirisha la dukahilo?" Akajibu, "Nimekuja hapa kumuomba Mungu anipe jozi ya viatu." Mwanamke...
  6. JamiiForums Tanzania Kiongozi wako wa dini hatakiwi kuunganisha ukaribu wako na MUNGU, hilo ni jukumu lako

    Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini. Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana. Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika...
  7. JamiiForums Tanzania Unapata shot ya stock kwenye biashara Yako? Nipe kazi niwe stock controller wako. Mungu ni mwema SITAKUANGUSHA

    Nina uzoefu wa miaka minne na nusu ambapo nilifanya katika moja ya depot ya kampuni ya Cocacola, hizi ambazo zinaitwa SSD. Nilikuwa chini ya kampuni Fulani ambayo mshahara wangu ulikuwa ukipitia kwenye hiyo kampuni. Nilifanya kazi Kwa miaka kadhaa na niliacha kazi Kwa amani kabisa pasipo...
  8. JamiiForums Tanzania Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

    Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye. Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ikiwa Kanisa lina mlinzi ambaye ni mwanadamu iweje Watu waombe Ulinzi kwa mungu aliyeshindwa kulinda nyumba yake?

    Kwema Wakuu! Moja ya mambo yaliyozidi kunipa mashaka kwenye suala la dini ni pamoja na suala la ulinzi na usalama. Ukienda Kanisani sio ajabu ukakuta Milango. Na kama utaenda siku ambayo sio ya ibada sio ajabu ukakuta Milango imefungwa na kufuli kabisa. Kama hiyo haitoshi, Makanisa makubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mkiambiwa Mungu hapendi Kulazimishwa Jambo kwani hutupa kila Kitu kwa Kipimo hatusikii tu

    Na kaniambia hii Mvua isiyoisha Koki yake ataisahau wa Makusudi kwa muda mpaka tushike Adabu kisha atarejesha Jua lake na Joto. Ndani ya Wiki Mbili nzima kila Mtu anamlaumu tu Mwenyezi Mungu kwa Joto na Jua Kali na Wengine hata Kumchukia wakati Yeye alikuwa na lengo lake Jema tu na sasa baada...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Katika makuzi yangu nilikua nikiaminishwa kuwa viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu

    Katika makuzi yangu nlikua nkiaminishwa kua viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu, Pindi nasoma advance bahati nzuri uchaguzi wa rais, wabunge pamoja na madiwani nlikua kidato cha sita pale shinyanga high school maarufu kama SHY BUSH , nlishiriki kupiga kura lakin majibu yaliyobandikwa ktk...
  12. JamiiForums Tanzania Watu wanaamini kuna Mungu na shetani kwa sababu kuamini ni rahisi kuliko kufikiri

    Kuna tofauti kubwa kati ya uwezo wa kufikiri na uwezo wa kukariri. Ubongo usiokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri unapenda majibu mepesi. Mfano unaweza kumwambia mtu mwenye akili ya kutosha kuwa, kuiba sio vizuri kwa sababu kuna matokeo mabaya kama kufungwa, kupigwa n.k na akakuelewa, Ila mjinga...
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Happy New Year Watanzania wote na Mungu awabariki sana

    Happy New Year Watanzania wote na Mungu awabariki sana.
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka wa vipawa na nguvu za Mungu

    Ni mwaka mpya ninafurahi kwa kila ambaye atasoma uzi huu ujue umeundwa kwa ajili yako Wewe utesekaye na kulemewa mwilini hadi rohoni basi leo miujiza ya Mungu itakuwa pamoja nawe. Swali kuu ni umewahi muhisi na kuisikia sauti ya Mungu wako, umewahi omba hapo hapo likatendeka? Mungu wako si...
  15. JamiiForums Tanzania Dini zinafundisha uongo kumhusu Mungu

    Mods, nilishawahi kuweka hapa threads mbili zinazohusiana na mambo ya dini ila sijui huwa mnazifuta au mnazihamishia kwingine maana baada ya muda kidogo nikipost huwa sizioni. Ikiwa mada hizi hazitakiwi humu niambieni sio mnaziondoa bila taarifa. Kwenye mada sasa, Dini zetu hizi kubwa mbili...
  16. JamiiForums Tanzania DINI zimetugawa sana; Ikitokea Africa tukatawaliwa tena, basi tutasema ni mpango wa MUNGU

    Namsikiliza jamaa alikuwa anaongea kuhusu Afrika. Alisema kabisa dini zimetugawa pakubwa lakini ikatokea Afrika tukatawaliwa kama karne ile ya 15 basi miongoni mwetu, tena 80% watasema ni mapenzi ya Mungu. Unapitia shida.... MAPENZI YA MUNGU Unanyanyasika.... MAPENZI YA MUNGU Unateseka...
  17. JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu mwaka 2023 nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Masaki japo ni chumba kimoja

    Nilizaliwa nikajikuta niko mitaa ya Chole Oysterbay, Mwaka 1988 kufumba na kufumbua roli aina ya Bedford limekuja nyumbani kutuhamisha kuelekea Tabata, huwezi amini mizigo haikufika hata nusu ya roli lile, enzi hizo watumishi ukihamia nyumba ya Serikali unakuta vitanda, magodoro, sofa, dinning...
  18. JamiiForums Tanzania Mshukuru Mungu kwa kila jambo

    Habari wadau wote Kuna nyakati mbalimbali tunazopitia katika maisha yetu ziko nyakati za furaha , huzuni, kicheko, kupata na kukosa kuwa na kitu ama kutokuwa nacho, kuwa pekee au kuwa na watu, kuwa mtu wa juu ama wa chini yote katika maisha yapo hivyo huna budi kupambana na kujifunza na...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ni ishara ya kwamba Simba SC ni timu teule Afrika kutoka kwa Mungu

    Hili tukio la mtoto mdogo kuchagua Simba sc baada ya kuwekewa nembo ya Simba na yanga, kisha akachagua Simba sc ni ishara yakwamba Simba sc ndio timu teule kutoka kwa Mungu kuiwakilisha Tanzania, Afrika mashariki na kati,na Afrika kwa ujumla Duniani kote kama Timu bora ya nyakati zote. Pia...
  20. JamiiForums Tanzania Wataalam wa kuchambua Biblia, nini maana ya hiki kifungu?

    Mungu aliye mkamilifu, asiye fananishwa na kitu, Alfa na Omega; hapa anatamkwa namna hii? Ama kuna namna ilimaanishwa na Mwandishi wa Wakorinto?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…