mungu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

    Salaam, Shalom. Mwenyezi Mungu amembariki ndugu Andrew Nyerere BUSARA zilizonifanya kuanzisha Uzi huu wa Leo kuongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kuogopa kuchukua sifa za Mungu. Jiulize kwanini wengi wanapoteza ndugu zao waliowategemea bila kujua kuwa sifa mlizokuwa mkimimina kwake ndizo...
  2. JamiiForums Tanzania Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

    Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka. wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Yusuph Makamba: Hayati Mwinyi ni hazina ya Mwenyezi Mungu kwa nchi yetu

    Salaam, shalom!!! Akizungumza Kwa uchungu mkubwa na majonzi alipokuwa akimuelezea HAYATI Mwinyi, amesema kuwa Mzee Mwinyi alikuwa mtu mwenye kheri, mpole na mstaarabu na muwajibikaji. Amedai kuwa ulitokea mgogoro kati ya wakulima na wafugaji akiwa mkuu wa mkoa na katika tukio Hilo, alifariki...
  4. JamiiForums Tanzania Hali gani ilikufanya ujiulize uwepo wa Mungu?

    Najua wengi tunapitia changamoto mbali mbali zinazopelekea kujiuliza kama kweli Mungu yupo. Binafsi kuna changamoto nazipitia ambazo mara kadhaa zimenifanya nijiulize hili swali. Lakini kitendo cha kwamba bado naishi na sijapata hata nguvu za kuumaliza uhai wangu mwenyewe naamini kweli Mungu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Mungu wa Israel!

    Ghadhabu yake Haina huruma hata kwa wanawake na watoto. Rejea wakati wa NUHU katika Ile gharika wanawake na watoto wa waovu wote waliangamia kwa maji. Sodoma na Gomora wanawake na watoto wote waliteketezwa Kwa moto na kiberiti. Ni Mungu ambaye hatamwesabia mtu mwovu kwamba hana hatua Bali...
  6. S

    JamiiForums Tanzania "Ukisoma, utachagua mwanaume unayemtaka". Wazazi Mungu anawaona kwa uongo huu

    Hao wanaume wa kuchagua mbona hawaonekani? Waliopo mtaani ni hawa hawa akina Juma Hali Ngumu bin Full Ma-stress. Halafu kibaya zaidi wanaopendwa ni walioishia la saba na form 4. Je, wazazi wote wakamatwe kwa uongo huu ama tumwachie Mungu?
  7. JamiiForums Tanzania Kutambua Mungu mwenye nguvu ni yupi?

    Bila kuweka Tabaka lolote la dini au imani Tutambue ni Mungu YUPI mwenye Nguvu. Sote tunajua Jamii nyingi za binadamu wanaimani zao na Mungu wanaye mwabudi Sasa basi yupe Aliye juu ya wote'? Kwanza Niorotheshe hivi. 1. Wakristo protestant Mungu Ni Mmoja na Kupitia Yesu kristo alifanyika mwili...
  8. JamiiForums Tanzania Askari wakiwa kwenye Ibada ya kumwabudu Mungu

    Very interesting worship, possibly jioni baada ya kazi https://www.youtube.com/watch?v=8AdTCDNyoBk
  9. JamiiForums Tanzania Kwa juhudi zote omba kataa roho ya madeni. Ibilisi kamwaga mapepo ya kushinikiza watu kuwa na madeni yenye uchungu

    Mtu mwenye madeni hawezi kuwa na furaha (amani). Hiyo amani ndio uzima wenyewe. Shetani anafanya juhudi kuwapiga watu na mapepo ya madeni bila wenyewe kujua. Madeni ni maumivu makali. Epuka madeni kwa namna yoyote, omba sana. Ukipigwa na roho hii ya madeni ushamalizwa kiroho. Mungu...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kijana analala kwenye jeneza zaidi ya miaka 15

    Kiranga Unazungumziqje hiki kisa TOA mtazamo wako. --- Dunia ina mengi ya kushangaza ukiachana na maajabu saba ya ulimwengu lakini pia kuna maajabu ya walimwengu wenyewe, Najua umewahi kushuhudia na kusikia habari za watu kujinunulia Jeneza kwa ajili ya maandalizi ifikapo siku ya mwisho, Leo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Moto unateketeza jengo refu Changsha city, China, tusipuuze Manabii wa Mungu

    Salaam, Shalom. Tukiwa Bado tunatafakari kuteketea Kwa mji mzima nchini Chile, na habari hiyo imehujumiwa Kwa kiasi kikubwa kutowafikia watu, wahusika wakiwa na sababu zao. Wakati huo huo tukiendelea na uzimaji moto, Bar ya kitambaa cheupe jijini Dar Salaam, Ni siku ya nne sasa imeripotiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kama unamini Mungu huwa anasikiliza na kujibu dua nzuri tu basi amini dua mbaya ya kuombea Simba ifungwe leo haitosikilizwa

    Sitaki kuanza kwa kujitetea eti mi shabiki wa team flani ila nasema haya kwa Mapenzi ya Nchi. Ila nataka niseme tu kuwa Mungu hua hasikilizi Dua Mbovu na Mbaya za kuombeana Mabaya. Ndio maana wote wanaoombea ushindwe hua maombi yao hayajibiwi. Kila la Kheri MNYAMA.🦁🦁
  13. JamiiForums Tanzania Muombe Mungu sana ukose pesa ufahamu tabia za watu zilivyo

    Tabia za watu uwezi kuziona ukiwa na pesa. Hata mpenzi wako hutamfahamu kama pesa zipo. Uwezi kujua idadi ya ndugu, jamaa na marafiki kama pesa hipo. Makosa yako mengi na matendo yako yanaweza kutunzwa na pesa bila tatizo. Kusifiwa ni kwingi hata ukijamba hadharani utaambiwa pole ni mshituko...
  14. JamiiForums Tanzania Shetani ni tajiri kuliko Mungu hapa duniani

    Luka 4:1-21 BHN Yesu alitoka mtoni Yordani akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akaongozwa na Roho mpaka jangwani. Huko alijaribiwa na Ibilisi kwa muda wa siku arubaini. Wakati huo wote hakula chochote, na baada ya siku hizo akasikia njaa. Ndipo Ibilisi akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, amuru...
  15. JamiiForums Tanzania Chama cha haki na kilichokubalika kwa Mungu, mtu, au taasisi kupitia dini akipinge, ni kujichosha tu! CHADEMA ina kibali bwana!

    Chadema inayo mambo madogo madogo ya kujirekebisha hasa kupitia wafuasi wake ambao hujikuta wakitoa maneno yaliyokosa hekima, busara, wala mwelekeo huo wa kukubalika Niliandika uzi uliotambulikana kuwa, Chadema ni chama cha wahuni? Katika maelezo yangu nilitahadharisha kauli za wafuasi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Ikiwa tunasoma kuwa Mungu na shetani walikuwa wanapiga stori, kwa nini iwe shida kwa Mbowe na Makonda kuzungumza?

    Mpo salama bila shaka! Mahasimu wakubwa wakihistoria katika imani na dini ambao ni Mungu muumbaji na Lusifa ambaye huitwa shetani licha ya uhasimu wao karibu kutoana roho na kutaka kupinduana katika siasa za rohoni, lakini tunasoma walikuwa Wanapiga stori na kuteta juu ya Wanachama wa vyama...
  17. JamiiForums Tanzania Dubai wana kituo cha kusababisha mvua kwa kumwaga nchunvi kwa kutumia ndege.Sisi huku tukimtanguliza mungu na kununua V8 new model

    Yani sijui tuna kwama wapi yani ukikaona kandege kenyewe utazani kakupeleka watalii mbugani.yani wenzetu wasio na kitu kwenye ardhi wanajaribu kisicho kuwa kitu kuwa kitu. bado na kazia ma ubongo yetu yana tumia masanturi
  18. JamiiForums Tanzania Atheists (wasioamini Mungu) ndio jamii ya watu wanaoongoza Kujiua (Suicide) Duniani

    Katika tafiti mbalimbali zinaonyesha jamii ya watu wanaoongoza kujiua ulimwenguni. Hata hivyo jamii hii inqyokuwa kwa kasi, yenye watu wajivuni wanaodhani wametaka akili mpya nakuwaita watu wa dini mambumbumbu wengi wao licha ya uchangamfu wa nje na kimaandishi ndani ni wachovu, wanamisongo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

    Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye. Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto. Dua ZENU wadau ndio...
  20. JamiiForums Tanzania Makonda, mkoa wa Mtwara una wenyewe, pole sana Mungu awaponye majeruhi haraka

    P.Makonda kabla ya kukatisha ziara yako, nilikuambia ukija mkoa wa Mtwara uje na majibu ya bei ya korosho. Pia ukija Mtwara uje na uwataje madalali wa korosho au wanaoua soko la korosho Mtwara, lakini ata kabla andiko langu halijamarza siku,leo wana Mtwara na Lindi kama kawaida yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…