Kutambua Mungu mwenye nguvu ni yupi?

BIG STONE AND CONER STONE

JF-Expert Member
Mar 11, 2023
320
495
Bila kuweka Tabaka lolote la dini au imani Tutambue ni Mungu YUPI mwenye Nguvu.

Sote tunajua Jamii nyingi za binadamu wanaimani zao na Mungu wanaye mwabudi Sasa basi yupe Aliye juu ya wote'?

Kwanza Niorotheshe hivi.
1. Wakristo protestant Mungu Ni Mmoja na Kupitia Yesu kristo alifanyika mwili Akakaa na wanadamu.

b. Wakristo wakatoliki wameongezea hapo na bikira maria kuwa naye miongoni. Hapa wataeleza wengine.

2. Waislam ni Allah kupitia mwamedi na kupitia ishara kama nyota na mwezi.

3. Wahindi krishna na baadhi ya wanyama wakubwa, tembo, ngombe.. na viumbe wengine.
hapo sijui Sana.

4. Wayahudi..Yehova ndie Mungu Aliye jifunua kupitia Ibrahim kwenda isaka na yakobo hadi nabii Musa...na kuchagua wafalme kama Mfalme Daudi. suleman na wengineo kama samson hapo awali kabla ya wafalme.

5. Zoroastrianism huko iran kupitia Masda. Nuru na giza. Mwenye kujua Anaweza elezea vizuri.

6. Wagiriki...walikuwa na Mungu Wao pia.

7. WaMisri wa kale walikuwa na Mungu Wao.

8. Wachina wana Mungu Wao kupitia joka dragon.

Orotha ni ndefu waweza ongezea hapo.

Sasa Basi ni Yupi Mungu Mkuu Aliye Juu ya vyote na wote'?

Chambua kwa hoja ya Matendo yake Aliyofanya , sio alisema mtu No, sio mtume, sio hivi. Tutaje Matendo yake Makuu tu Aliyofanya.
Thibitisha Matendo yake Makuu ndipo Aweze kuaminiwa.
 
Naomba niuwasilishe huu ujumbe kwa kiswahili ili wote waelewe...
SURATUL; IKHLAS
ILITEREMSHWA; MAKKA
HII SURA INA AYA 4

Sema: Yeye mwenyezimungu ni mmoja tu.
Mwenyezimungu tu ndiye anayestahiki kukusudiwa(viumbe vyake vyote vinajukumu la kumuabudu, kumuomba n kumtegemea yeye tu.)
Hakuzaa wala hakuzaliwa.
Wala hana anayefanana naye hata mmoja.

Duniani kuna dini moja tu inayomuamini mwenyezimungu kuwa ni mmoja tu. Ni moja tu inayoamini uwepo wa manabii wote. Ni moja tu inayoipa sehemu ya ibada heshima. Ni dini moja tu inayowahitaji waumini wake wajisafishe na wawe safi kabla hawajaingia kwenye swala. Ni moja tu yenye kitabu kimoja tu bila ya editions. Ni moja tu yenye lugha moja. Ni moja tu inayowatenganisha Wanawake n mwanaume wakati wa ibada. Ni dini moja tu yenye muunganiko dunia nzima. Ni dini moja tu ambayo sio biashara duniani.

Mwisho, akitolewa kijana mpogoro asiyekijua kiswahili ila anaijua dini ya kiislamu vzuri, basi hata akipelekwa china/urusi/india/ufaransa au sehemu yeyote ile duniani, basi ataiongoza ibada na wote watamuelewa kwa utuo. Ninachomaanisha, hii dini ni universal n ni moja tu bila madhehebu yanayotofautiana kama kwengine.

Kumalizia, msiihusishe dini ya kiislamu na vikundi vya kigaidi kama Al shabaab, Al Qaida, taifa la Israel au kikundi chechote kile kingine cha kigaidi. Hivi vikundi ni vikundi vinavyofadhiliwa na mabepari ili kuvunja amani kwa lengo la kuwanufaisha mabepari kikoloni.

Mwisho nina ombi: Tafadhali, mwenyezimungu ni mmoja tu, hakuzaa wala hakuzaliwa. Hajamchagua yeyote kuja kumrepresent duniani. Nitarudi kesho au kesho kutwa kwa ajili ya chapisho jingine. Hakika ninakiri kuna mungu mmoja tu apasaye kuabudiwa kwa haki ila mwenyezimungu. Ninakiri kuwa hakika Muhammad ni mtume wa mwenyezimungu.
 
Huyo aliyeteremsha ndio kutudanganya kuwa nyota ni makoboroa ya kupigia majini wakitaka vuka mbingu ya Kwanza. Allah hajui kitu kabisa kama alivyo yehova ni story tuu za walevi wa Saudia na Palestina
 
Naomba niuwasilishe huu ujumbe kwa kiswahili ili wote waelewe...
SURATUL; IKHLAS
ILITEREMSHWA; MAKKA
HII SURA INA AYA 4

Sema: Yeye mwenyezimungu ni mmoja tu.
Mwenyezimungu tu ndiye anayestahiki kukusudiwa(viumbe vyake vyote vinajukumu la kumuabudu, kumuomba n kumtegemea yeye tu.)
Hakuzaa wala hakuzaliwa.
Wala hana anayefanana naye hata mmoja.

Duniani kuna dini moja tu inayomuamini mwenyezimungu kuwa ni mmoja tu. Ni moja tu inayoamini uwepo wa manabii wote. Ni moja tu inayoipa sehemu ya ibada heshima. Ni dini moja tu inayowahitaji waumini wake wajisafishe na wawe safi kabla hawajaingia kwenye swala. Ni moja tu yenye kitabu kimoja tu bila ya editions. Ni moja tu yenye lugha moja. Ni moja tu inayowatenganisha Wanawake n mwanaume wakati wa ibada. Ni dini moja tu yenye muunganiko dunia nzima. Ni dini moja tu ambayo sio biashara duniani.

Mwisho, akitolewa kijana mpogoro asiyekijua kiswahili ila anaijua dini ya kiislamu vzuri, basi hata akipelekwa china/urusi/india/ufaransa au sehemu yeyote ile duniani, basi ataiongoza ibada na wote watamuelewa kwa utuo. Ninachomaanisha, hii dini ni universal n ni moja tu bila madhehebu yanayotofautiana kama kwengine.

Kumalizia, msiihusishe dini ya kiislamu na vikundi vya kigaidi kama Al shabaab, Al Qaida, taifa la Israel au kikundi chechote kile kingine cha kigaidi. Hivi vikundi ni vikundi vinavyofadhiliwa na mabepari ili kuvunja amani kwa lengo la kuwanufaisha mabepari kikoloni.

Mwisho nina ombi: Tafadhali, mwenyezimungu ni mmoja tu, hakuzaa wala hakuzaliwa. Hajamchagua yeyote kuja kumrepresent duniani. Nitarudi kesho au kesho kutwa kwa ajili ya chapisho jingine. Hakika ninakiri kuna mungu mmoja tu apasaye kuabudiwa kwa haki ila mwenyezimungu. Ninakiri kuwa hakika Muhammad ni mtume wa mwenyezimungu.
Huyu Mungu allah unayemtaja ndo huyu YHWh au Krishna au Mulungu?are they really the same?
 
Huyo huyo ndio alisema Ratio baina ya dunia na vilivyopo angani ni kama uchovye kidole kwenye Bahari, maji yaliyobakia kwenye kidole ndio dunia na maji ya Bahari ndio mbingu.

Huyo huyo ndio alisema Anga ni kama kama protective barrier kwetu

Huyo huyo ndio alisema bodies zote, Dunia, jua etc vinazunguka kwenye orbit zake,

Huyo huyo ndio alisema jua pia linatembea

So defenetely sio maneno Ya mropokaji ila ni maneno ya mtu exactly anachojua kusema.
 
Bila kuweka Tabaka lolote la dini au imani Tutambue ni Mungu YUPI mwenye Nguvu.

Sote tunajua Jamii nyingi za binadamu wanaimani zao na Mungu wanaye mwabudi Sasa basi yupe Aliye juu ya wote'?

Kwanza Niorotheshe hivi.
1. Wakristo protestant Mungu Ni Mmoja na Kupitia Yesu kristo alifanyika mwili Akakaa na wanadamu.

b. Wakristo wakatoliki wameongezea hapo na bikira maria kuwa naye miongoni. Hapa wataeleza wengine.

2. Waislam ni Allah kupitia mwamedi na kupitia ishara kama nyota na mwezi.

3. Wahindi krishna na baadhi ya wanyama wakubwa, tembo, ngombe.. na viumbe wengine.
hapo sijui Sana.

4. Wayahudi..Yehova ndie Mungu Aliye jifunua kupitia Ibrahim kwenda isaka na yakobo hadi nabii Musa...na kuchagua wafalme kama Mfalme Daudi. suleman na wengineo kama samson hapo awali kabla ya wafalme.

5. Zoroastrianism huko iran kupitia Masda. Nuru na giza. Mwenye kujua Anaweza elezea vizuri.

6. Wagiriki...walikuwa na Mungu Wao pia.

7. WaMisri wa kale walikuwa na Mungu Wao.

8. Wachina wana Mungu Wao kupitia joka dragon.

Orotha ni ndefu waweza ongezea hapo.

Sasa Basi ni Yupi Mungu Mkuu Aliye Juu ya vyote na wote'?

Chambua kwa hoja ya Matendo yake Aliyofanya , sio alisema mtu No, sio mtume, sio hivi. Tutaje Matendo yake Makuu tu Aliyofanya.
Thibitisha Matendo yake Makuu ndipo Aweze kuaminiwa.
Kuna abrahamic religion na dini nyengine, hizo dini nyengine kama za Wachina, Wahindu etc Mungu sio top, ni stage kama stage nyengine.

Mfano Krishna anaweza Kuuliwa, kutekwa etc Na kuna vitu vina nguvu kushinda Krishna.

Same kwa wachina hata wewe unaweza cultivate kuwa Mungu, kwao unakuwa enlighted na kupaa mbinguni, na kuna vitu vipo juu zaidi kwao kama vile Tao/Dao

Ila kwa Abrahamic religion Mungu ni top, hakuna ambacho anashindwa.
 
Huyo huyo ndio alisema Ratio baina ya dunia na vilivyopo angani ni kama uchovye kidole kwenye Bahari, maji yaliyobakia kwenye kidole ndio dunia na maji ya Bahari ndio mbingu.

Huyo huyo ndio alisema Anga ni kama kama protective barrier kwetu

Huyo huyo ndio alisema bodies zote, Dunia, jua etc vinazunguka kwenye orbit zake,

Huyo huyo ndio alisema jua pia linatembea

So defenetely sio maneno Ya mropokaji ila ni maneno ya mtu exactly anachojua kusema.
Mungu wa waisrael anawezaje kuwa Mungu wa wajita and at the same time akawa wa wachaga, waarabu,wachina wahindu na kadhalika?Are these people from different geographical backgrounds worshiping the same God?Is their Gods of the same substance and Mighty?Do these people share the common heavenly/paradisal perceptions?
 
Bila kuweka Tabaka lolote la dini au imani Tutambue ni Mungu YUPI mwenye Nguvu.

Sote tunajua Jamii nyingi za binadamu wanaimani zao na Mungu wanaye mwabudi Sasa basi yupe Aliye juu ya wote'?

Kwanza Niorotheshe hivi.
1. Wakristo protestant Mungu Ni Mmoja na Kupitia Yesu kristo alifanyika mwili Akakaa na wanadamu.

b. Wakristo wakatoliki wameongezea hapo na bikira maria kuwa naye miongoni. Hapa wataeleza wengine.

2. Waislam ni Allah kupitia mwamedi na kupitia ishara kama nyota na mwezi.

3. Wahindi krishna na baadhi ya wanyama wakubwa, tembo, ngombe.. na viumbe wengine.
hapo sijui Sana.

4. Wayahudi..Yehova ndie Mungu Aliye jifunua kupitia Ibrahim kwenda isaka na yakobo hadi nabii Musa...na kuchagua wafalme kama Mfalme Daudi. suleman na wengineo kama samson hapo awali kabla ya wafalme.

5. Zoroastrianism huko iran kupitia Masda. Nuru na giza. Mwenye kujua Anaweza elezea vizuri.

6. Wagiriki...walikuwa na Mungu Wao pia.

7. WaMisri wa kale walikuwa na Mungu Wao.

8. Wachina wana Mungu Wao kupitia joka dragon.

Orotha ni ndefu waweza ongezea hapo.

Sasa Basi ni Yupi Mungu Mkuu Aliye Juu ya vyote na wote'?

Chambua kwa hoja ya Matendo yake Aliyofanya , sio alisema mtu No, sio mtume, sio hivi. Tutaje Matendo yake Makuu tu Aliyofanya.
Thibitisha Matendo yake Makuu ndipo Aweze kuaminiwa.
Wachaga walikuwa na Mungu....wakiomba mvua asubuhi mchana yanyesha...
 
Mungu wa waisrael anawezaje kuwa Mungu wa wajita and at the same time akawa wa wachaga, waarabu,wachina wahindu na kadhalika?Are these people from different geographical backgrounds worshiping the same God?Is their Gods of the same substance and Mighty?Do these people share the common heavenly/paradisal perceptions?
Ukiwa na Ego kuuuuuubwa ndio unaweza ukafikiria kama hivi, ila ukitumia akili kidogo tu, Dunia ni kama kimchanga tu kwenye hii Universe, we are nothing, who ever created us kama yupo zaidi ya mmoja Ugomvi wao mdogo tu tungeshapotezwa siku nyingi tu.
 
Bila kuweka Tabaka lolote la dini au imani Tutambue ni Mungu YUPI mwenye Nguvu.

Sote tunajua Jamii nyingi za binadamu wanaimani zao na Mungu wanaye mwabudi Sasa basi yupe Aliye juu ya wote'?

Kwanza Niorotheshe hivi.
1. Wakristo protestant Mungu Ni Mmoja na Kupitia Yesu kristo alifanyika mwili Akakaa na wanadamu.

b. Wakristo wakatoliki wameongezea hapo na bikira maria kuwa naye miongoni. Hapa wataeleza wengine.

2. Waislam ni Allah kupitia mwamedi na kupitia ishara kama nyota na mwezi.

3. Wahindi krishna na baadhi ya wanyama wakubwa, tembo, ngombe.. na viumbe wengine.
hapo sijui Sana.

4. Wayahudi..Yehova ndie Mungu Aliye jifunua kupitia Ibrahim kwenda isaka na yakobo hadi nabii Musa...na kuchagua wafalme kama Mfalme Daudi. suleman na wengineo kama samson hapo awali kabla ya wafalme.

5. Zoroastrianism huko iran kupitia Masda. Nuru na giza. Mwenye kujua Anaweza elezea vizuri.

6. Wagiriki...walikuwa na Mungu Wao pia.

7. WaMisri wa kale walikuwa na Mungu Wao.

8. Wachina wana Mungu Wao kupitia joka dragon.

Orotha ni ndefu waweza ongezea hapo.

Sasa Basi ni Yupi Mungu Mkuu Aliye Juu ya vyote na wote'?

Chambua kwa hoja ya Matendo yake Aliyofanya , sio alisema mtu No, sio mtume, sio hivi. Tutaje Matendo yake Makuu tu Aliyofanya.
Thibitisha Matendo yake Makuu ndipo Aweze kuaminiwa.
Ni yule aliyejitoa kwa watu wake na kuonesha upendo mkubwa usio na kikomo, Yesu Kristo.
 
Naomba niuwasilishe huu ujumbe kwa kiswahili ili wote waelewe...
SURATUL; IKHLAS
ILITEREMSHWA; MAKKA
HII SURA INA AYA 4

Sema: Yeye mwenyezimungu ni mmoja tu.
Mwenyezimungu tu ndiye anayestahiki kukusudiwa(viumbe vyake vyote vinajukumu la kumuabudu, kumuomba n kumtegemea yeye tu.)
Hakuzaa wala hakuzaliwa.
Wala hana anayefanana naye hata mmoja.

Duniani kuna dini moja tu inayomuamini mwenyezimungu kuwa ni mmoja tu. Ni moja tu inayoamini uwepo wa manabii wote. Ni moja tu inayoipa sehemu ya ibada heshima. Ni dini moja tu inayowahitaji waumini wake wajisafishe na wawe safi kabla hawajaingia kwenye swala. Ni moja tu yenye kitabu kimoja tu bila ya editions. Ni moja tu yenye lugha moja. Ni moja tu inayowatenganisha Wanawake n mwanaume wakati wa ibada. Ni dini moja tu yenye muunganiko dunia nzima. Ni dini moja tu ambayo sio biashara duniani.

Mwisho, akitolewa kijana mpogoro asiyekijua kiswahili ila anaijua dini ya kiislamu vzuri, basi hata akipelekwa china/urusi/india/ufaransa au sehemu yeyote ile duniani, basi ataiongoza ibada na wote watamuelewa kwa utuo. Ninachomaanisha, hii dini ni universal n ni moja tu bila madhehebu yanayotofautiana kama kwengine.

Kumalizia, msiihusishe dini ya kiislamu na vikundi vya kigaidi kama Al shabaab, Al Qaida, taifa la Israel au kikundi chechote kile kingine cha kigaidi. Hivi vikundi ni vikundi vinavyofadhiliwa na mabepari ili kuvunja amani kwa lengo la kuwanufaisha mabepari kikoloni.

Mwisho nina ombi: Tafadhali, mwenyezimungu ni mmoja tu, hakuzaa wala hakuzaliwa. Hajamchagua yeyote kuja kumrepresent duniani. Nitarudi kesho au kesho kutwa kwa ajili ya chapisho jingine. Hakika ninakiri kuna mungu mmoja tu apasaye kuabudiwa kwa haki ila mwenyezimungu. Ninakiri kuwa hakika Muhammad ni mtume wa mwenyezimungu.
Maelezo mengi lakini "circular reasoning" tupu
 
Back
Top Bottom